Looh! tayari wanaanza kurukana. Muhimu ni kuendelea kumvizia mmoja mmoja.
Hata vitu vibaya hawajui kuvifanya vizuri.
Of all places, unaenda kuweka hela ulizokwiba Tanzania kwenye a British Crown dependant island barely 100 kms from the shores of England.Despite all the extradition treaties and Commonwealth ties?
Smart lawyer indeed, hakusikia kilichompata Professor? Hakuwa hata na hesabu za kujua Liechenstein, Luxembourg Switzerland au Monaco ambako sheria za privacy ni ngumu zaidi ya UK?
Ujinga wake ndoyo faida yetu, maana sasa waingereza wamemuaibisha kashindwa hata kukataa imebaki anasema hizo pesa sio za BAE.
With AG's like these, no wonder we have such horrible contracts.
Looh! tayari wanaanza kurukana. Muhimu ni kuendelea kumvizia mmoja mmoja.
Sijui mheshimiwa rais ataunda tume ya kumchunguza Chenge na the usual blah blah blah ifuate...
Mpaka sasa sina data za uhakika kwamba Waziri Chenge anakosa gani? Nadhani kilichoonekana ni hela... source bado haijajulikana tusubiri tutajua.
Tunajenga taifa la kipumbavu sana kwa mtu kama Chenge kuwa/kumiliki TZS 1.2 Billion ni hela ndogo sana!!! Huu umaskini ndio unatusumbua...
Of course nikifa bila kumiliki utajiri usiozidi hapo... nitakuwa nimekufa nikiwa maskini...

Tatizo siyo hela,
Chenge atueleze ameipataje kwa kazi yake na mshahara wake.
Atueleze kwa nini yeye kama ofisa mkubwa wa serikali ameshindwa kuiweka hiyo hela nchini isaidie kukuza uchumi wetu na kuamua kuiweka nje, je alikuwa ana nia ya kuificha? Kwa nini?
Atueleze kama katika declarations wanazofanya katika tume ya maadili ya viongozi alitaja mali hizi.
Ni hayo tu kwa sasa, hamna mtu anayekataa Chenmge kuwa na hela, ila maswali yetu ayajibu.
Pundit;
Kutokuwa na uzalendo wa kuweka hela ndani nadhani ndio moja ya hoja nzito dhidi ya Chenge. Vinginevyo, hana mzigo wa kuthibitisha aliko zipata, mpaka labda ashitakiwe. Na mzigo bado uko kwetu kuangalia kama alitangaza hizi mali, sio yeye akafungue daftari la Serikali atusomee.
Hapana kaka unakosea!!, mmojaX2 hatutowaweza hawa!!dawa sasa ni Kurusha 'KOTA' kwenye matawi yote,bila shaka zitaanguka nyingi tu mchanganyiko,zile mbivu basi twafyonza,zile mbichi twavundika kwa ajili ya kesho.Looh! tayari wanaanza kurukana. Muhimu ni kuendelea kumvizia mmoja mmoja.
Naelekea Kufikiri umaskini upo wa aina mbaliX2,sina uhakika unazungumzia umaskini upi haswa?Mpaka sasa sina data za uhakika kwamba Waziri Chenge anakosa gani? .
Tunajenga taifa la kipumbavu sana kwa mtu kama Chenge kuwa/kumiliki TZS 1.2 Billion ni hela ndogo sana!!! Huu umaskini ndio unatusumbua...
Of course nikifa bila kumiliki utajiri usiozidi hapo... nitakuwa nimekufa nikiwa maskini...
Mhh ....
Siamini kama hii umeitoa wewe mkuu!
Hebu isome tena kwa sauti usikie vile inasound!
Chenge akija na maelezo ya jinsi alivyoipata hiyo hela yakiwa tofauti na tunavyotaka tutaendelea kuhoji na kunung'unika..kilichobaki tusubiri mpaka uchunguzi utakapokamilika.
kwani ile fomu ya kutaja mali aliziweka na hizo pesa au hazimo na ni nani anatunza hizo fomu.