Unajua this is what i am talking about, habari za ukweli I mean hata ukiwa kipofu ukasomewa hii article, you can tell kwamba huu ni ukweli na sio blah! blah! blah! au abla! abla! za kawaida hapa JF.
Waziri Chenge, aliyekuwa mwanasheria mkuu na hatimaye kuwa waziri majuzi tu, ameyapata wapi haya mapesa? Aliwahi kufanya kazi nje? Akiwa mwanasheria mkuu serikali au vyombo vyetu vya usalama vilikuwa aware kuwa huyu mkuu ana mapesa kiasi hiki nje? na kwamba ni zake kihalali? I mean lets be fair, hzio hela nyingi sana kwa kiongozi mbongo kuwa nazo nje, sasa ni lazima iwekwe wazi alzipata lini?
Halafu ni kwa nini yeye anakuwa witness na sio mshitakiwa? Hapo bado sijaelewa?
6. He said he was only involved in minor aspects of the radar deal, which was promoted by other ministries and approved by the Tanzanian cabinet. His bank records, he said, would show investigators that "there is no connection to the BAE Tanzanian radar deal".
Haya ni makubwa, hata JK anasoma haya bado anampa majukumu ya kiserikali? JK and chenge must have something in common.
Wakulu, $1M kwenye accunt ya Civil Servant, c'mon this stinks amehusika au hakuhusika..... Hivi ile mambo ya viongozi wa serikali kuweka bayana mali zao huyu Mkuu aliweka kweli?? kama aliweka na hakuijumuisha hii $1M then ina maana kwamba amedanganya Serikali na hivyo tayari amejiondoa kwenye Chama (unless CCM hawana kipengele cha Uongozi Bora)!!
Duh, kweli sasa pakacha limeshafunguka tuone viangukavyo.....
Mungu Ibariki Tanzania na waTanzania...........
Hey Chenge, can you please step down from the position you are holding. The accountable and responsible man would have done it all ago! wake up and act wisely
Either JK is absolutely idiot or he is part of all this!! Being the head of the country, and with all the support network around him, I can certainly say he is both (idiot and part of it)...HUYU NDIO MCHAWI MWENYEWE, hapa jf Chenge has been discussed way back... Inamaana hakusikia?? Kama raisi amechukua uamuzi gani mpaka saa hivi?
Either JK is absolutely idiot or he is part of all this!! Being the head of the country, and with all the support network around him, I can certainly say he is both (idiot and part of it)...HUYU NDIO MCHAWI MWENYEWE, hapa jf Chenge has been discussed way back... Inamaana hakusikia?? Kama raisi amechukua uamuzi gani mpaka saa hivi?
Unajua hapa ameweka mkwara mzito, Tanzania tunahitaji sheria za ku-deal na hizi ishu maana huenda hatuna hata sheria za kumbana aseme amepata wapi hizo hela, nafikri nimesikia kuwa TRA siku hizi wamejiwekea hii sheria kuwa ukionekana account zako zinazidi kutuna ukiwa pela, basi ni lazima uatulizwa kisheria umanpata wapi, nafikiri as a nation tunahitaji kuiga TRA.
Kinachonitisha na kuniumiza roho kuliko yote ni hili: ilikuwaje Rais Kikwete akamteua Chenge awe sehemu ya baraza lake la mawaziri, na kikubwa zaidi, ilikuwaje, hata baada ya kupata nafasi ya kubadilisha baraza lake, akamrudisha tena Chenge? I mean what is the wrong with our president? Au mimi ndiyo ninayeshangaza kwa kumshangaza JK?
why going around to burst trafic in ur brain system??
Chenge,JK,lowasa,balali,kalamangi.BWM=1