Mkuu nakurekebisha
Chenge alipewa hizo $1.5 million na yeye akampa Dr Rashid $600,000 ambazo amedai alimkopesha kufanya biashara ya fenicha
Sasa huu si upuuzi mtupu pesa yote kapata muhindi na heshima wamepoteza wao
Chenge kama asingefanya huu utaahira angefika mbali sana kwani CCM wanamtegemea kwamambo mengi sana
Hawa wawili ndio watakaofuata kisutu... kila kitu kimeshaiva unangojewa muda tu nao watinge.
Chenge hayupo Nchini au hamna habari ? Ameshayayuka ,pengine mkaambiwa ameenda kimatibabu na si muda mkaambiwa kakitoa.
Inawezekana kabisa mimi ni mtazamaji wa kipindi cha bunge hajaonekana
Mkuu nakurekebisha
Chenge alipewa hizo $1.5 million na yeye akampa Dr Rashid $600,000 ambazo amedai alimkopesha kufanya biashara ya fenicha
Sasa huu si upuuzi mtupu pesa yote kapata muhindi na heshima wamepoteza wao
Chenge kama asingefanya huu utaahira angefika mbali sana kwani CCM wanamtegemea kwamambo mengi sana
Mkuu nakurekebisha
Chenge alipewa hizo $1.5 million na yeye akampa Dr Rashid $600,000 ambazo amedai alimkopesha kufanya biashara ya fenicha
Sasa huu si upuuzi mtupu pesa yote kapata muhindi na heshima wamepoteza wao
Chenge kama asingefanya huu utaahira angefika mbali sana kwani CCM wanamtegemea kwamambo mengi sana
Nilitamani sana utamaduni kama huu ungekuwapo huku kwetu Afrika. Lakini shida ni nani atabaki!
-- Sisi wananchi ni waongo, I mean taifa zima ni waongo, wezi, waumini wa uchawi, wanafiki, halafu masikini ya Mungu tunategemea viongozi wetu wa siasa wawe tofauti na sisi wananchi, it does not work tumekwama maana sasa nani wa kumfunga kengele paka? - Hili ni taifa gani ambalo wote tumeharibikiwa?
Sisi wananchi ni waongo, I mean taifa zima ni waongo, wezi, waumini wa uchawi, wanafiki, halafu masikini ya Mungu tunategemea viongozi wetu wa siasa wawe tofauti na sisi wananchi, it does not work tumekwama maana sasa nani wa kumfunga kengele paka?
Kama wote wanaisha basi na waishe.... (ila bado naamini kuna waadilifu japo wachache).Lakini shida ni nani atabaki!
Nakubaliana na maneno ya Zitto Kabwe kuwa Kunahitajika suluhisho la kitaifa katika mambo yahusuyo Nchi hii na wala siyo chama cha siasa.