kati ya vitu vinavo niboa nihicho
hahahaha..... Wifi acha kunibania bana!! hebu niambie pleeeease; (la sivo kakako ataipata....lol)
Ha ha ha ha mweeehhh haya bana..........................................................
Sio siri mie katika vitu navovipenda ni kudekeza na kudekezwa......................vingine vipo lakini hiii ndo ya muhimu (Ha ha ha huna ubavu kwa my bro hapo huchomoi hata kwa ncha ya upanga)
Dah! baba akiiona hii post atajua kweli bado wampenda.... na I wonder huko kama apendwa kama hapa... Pole saana. Hata hivo nasubiri jibu....lol
i mean ubwabwajaji wangu...Pal... umeniacha njia panda....lol.. As in the way it looks or The way you are good with words??
domo langu tu, ndilo linaloniweka mjini
kichwa kipi? nina viwilikichwa vp?akikuwek mjin?KICHWA?
Hii post sasa imenifurahisha wifi... naona nishaelewa (nimegundua nitalikoroga hivo nakua mpole....lol)
kichwa kipi? nina viwili
i mean ubwabwajaji wangu...
domo lenyewe wala halivutii, kubwa kama la shabba ranks
ashadii my smile watu huwa wananikubali kwa ilo ni strength yangu kwa mambo mengi
ningekuwa na furaha nadhani lingetoka zaidi basi tu......
Hapo tuko msitari mmoja sasa (Vipi baridi huko? lakini huwezi amini eti huku kuna joto kama dar wajameni nimeshangaa kweli leo asubuhi NB Thread inaruhusiwa kuchakachuliwa???)
Mamndenyi mtaalam wa ku diverge wewe....lol... Kitu gani unapenda kwako mwenyewe??