The ONE thing you Love Most!

The ONE thing you Love Most!

Can someone tell me kwanini huu uzi umefikia huku bila ya ODM kujua?

Hilo kwanza afu ndo niwamwagie kile nachokipendea kwa ODM mwenyewe.

AshaDii popote ulipo, waweza kunambia kwanini hujanitendea haki?

Ngoja nikachukue bakora yangu.

My Darling Shem... I hope na akili haijazeeka... Jana you told me you had a five hour meeting.... (nishakusoma unanibambika makosa)
 
Kukuthibitishia kwamba umezeeka! Kwamba hata ukiresti in pisi wao wataendelea kusonga.....lol!
Pole biggy! Unajipendeaga nini wewe?

Bht.... yaani bila ODM sidhani kama naweza survive...lol... Ananifaa kwa meeeeeengi (hasa kutunza ndoa yangu....)
 
Kheee bibie huyu huyu au mwengine? Umemwaminia nini? Shauri yako (heheheee just kidding, i trust my bro ile mbaya)....hapo kwake ndo nilithibitisha utu uzima kwa wengine kumbe kweli ndo busara)
 
Huwezi amini Bht... majority hawamuelewi kabisa....lol... Uaminifu umekuja as a result ya Matendo yake dhidi yangu... (ila sometimes hafai kabisa...lol)
 
Lol...anajifanyaga hamnazo ndo maana!
Hivi umemuuliza anajipendea nini?
 
Lol...anajifanyaga hamnazo ndo maana!
Hivi umemuuliza anajipendea nini?

Namsubiri kwa hamu ile mbaya!! lol... Maana nashindwa hata ku contemplate....
 
Hivi shem......sawa kusoma hujui, hata picha nayo imekushinda? LOL

Ndio umeona gear ya kuniingilia baada ya tuhuma za kutokupa taarifa?? Am not letting you go easily....
 
Hahahaha..... shem bana khaa...gotchaa!

Orait..ODM kazini apa....
Sababu kuu tatu kwaninni ODM anayapenda meno yake:

Meupe na yamepangika njema, nikichia tabasamu mama Matesha anapona kama alikuwa anaumwa.
Suhitaji dawa zenye kemikali nyingi ili kuyafanya yawe masafi, chupa mbili za bia sina haja ya kupiga mswaki
Yananisaidia sana pale opener inapokosekana........ chupa zinafunguka bila matatizo yoyote pale mhudumu anapohaha kutafuta opener.
 
Hii post umesamehewa madhambi yoote waweza enda kwa amani; Source; Babu

(ila tu nimeshangaa why unamuonea huruma mhudumu na ndo kazi yake)
 
hommie umepitia hapa...https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/179777-wanaume-tuwe-wasafi-jamani.html
 
Hii post umesamehewa madhambi yoote waweza enda kwa amani; Source; Babu

(ila tu nimeshangaa why unamuonea huruma mhudumu na ndo kazi yake)
Hapa shem si kumwonea huruma mhudumu, bali kuitii kiu! Unajua kiu inavyokera shem? Afu hi leo ni Juma ngapi vile? Nahisi kama koo linakwangua kitu flani hivi........TGIF!
 
Pole shem... uwe unaweka za akiba nyumbani kama hommie it helps... TGIF Shem... Waweza tii kiu yako.... Nikupe JD?? (huku ukisubiri your fav)
 
Shem umeamua kuulizia nywele saluni siyo hebu do the needful bana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom