The ONE thing you Love Most!

The ONE thing you Love Most!

Ni vizuri kutoji-engage kwa baadhi ya watu/vitu ili ubakie real you

mara nyingi hali inakuwa more worse kwa kutokua honest

Tatizo ukiwa honesty sana, watu-sensitive hukimbia reality na kufikiri unawapinga

very true....
 
If you don't mind... How do you Love??? lol

You also want to love love? ... BE IT, express it dearly, express it in your words, thoughts, feelings and express it in all your actions. It will be you , will grow with you ...you will love it ...and you will love the way it comes from within ... an without ... will love loving it!!
 
Ni vizuri kutoji-engage kwa baadhi ya watu/vitu ili ubakie real you

mara nyingi hali inakuwa more worse kwa kutokua honest

Tatizo ukiwa honesty sana, watu-sensitive hukimbia reality na kufikiri unawapinga

Cmon BMbaya, you said it all ... Wala usiharibu tena ..!!

Hali inakuwa more worse kwa kutokuwa hoest .. Hivyo? Be honest and dont mind the consequences ..
Mtu huhitaji sababu wala usizitafute sababu za kukufanya kuwa honest ... simply Be It ... Hicho ulichokiita tatizo ... Nakiita TOUGH LOVE ... and I Love Loving tough Love!

Bila Upendo wa aina hiyo unaotokana na Honesty, we cant be real us na hakuna ...chochote cha maana kitakuwa na mendelea ya maana ...kwenye mahusiano yoyote ya ... familia, marafiki, kazini couples etc!!
 
umesahau uchokozi pia....
yaani nilipita wakati najihesabia haki yangu uzi ukapotelea wapi sijui,kha!
bado jibu linahitajika?
King'asti bado linahitaji haswaa

mkuu tayari umempata maana kuna mahali nimeona umejipaka majivu unaomboleza kwamba hakusikii kilio chako! LOL...

love....I wont say a word here in case I spill the beans....(twende home I need u babe)

.....lol.... I kind of knew you would say that Sweetie.... (I am all yours Love... I am more than ready to go)

Treat her well...she is the only sisy i have....

Dah!!! Nilifikiri Kaizer angepita juu kwa juu tu kwenye hii thread lol
 
Can someone tell me kwanini huu uzi umefikia huku bila ya ODM kujua?

Hilo kwanza afu ndo niwamwagie kile nachokipendea kwa ODM mwenyewe.

AshaDii popote ulipo, waweza kunambia kwanini hujanitendea haki?

Ngoja nikachukue bakora yangu.
 
Kukuthibitishia kwamba umezeeka! Kwamba hata ukiresti in pisi wao wataendelea kusonga.....lol!
Pole biggy! Unajipendeaga nini wewe?
 
Kukuthibitishia kwamba umezeeka! Kwamba hata ukiresti in pisi wao wataendelea kusonga.....lol!
Pole biggy! Unajipendeaga nini wewe?
Ahsante mamushka....angalau weye umenikumbukaga lol

Hivi mamushka ushawahi kuyaona meno yangu?
 
Ayaaaa papushka.........!!!
Mamushka umeona kile chakula chetu kimerudishwa? Kagua hapo chini: Na kaLIKE nimekugongea pia si unajua mimi na wewe hatunyimani?........

The Following User Says Thank You to bht For This Useful Post:

Asprin (Today)​
 
Si ndo mmekaona nkasema dah sakrament ya biggy hii....invizibo kakuweza na kitubio utafanyiaga humu humu sasa....
 
Si ndo mmekaona nkasema dah sakrament ya biggy hii....invizibo kakuweza na kitubio utafanyiaga humu humu sasa....
Tatizo weye unaposti vaya mobaili huwezi nilisha sakramenti yangu bana...........hebu do the needful na invizibo akuwezesha bana!
 
You also want to love love? ... BE IT, express it dearly, express it in your words, thoughts, feelings and express it in all your actions. It will be you , will grow with you ...you will love it ...and you will love the way it comes from within ... an without ... will love loving it!!

Dah! No comment....lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom