ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,741
- 42,173
😆😆 mie kazi yangu ni kucheka tu
😆😆 mie kazi yangu ni kucheka tu
😅😅Unaongeza sk za kuishi😆😆 mie kazi yangu ni kucheka tu
Sema mimi stimu zangu hazipo kwenye maziwa kaabisa yaan hata sijui nipoje hata utembee kifua wazi mbele yangu sishtuki kabisa mimi nikiona tako lako limetuna na kuvimba km una nundu nyuma ya mgongo kwa chini mwanvuli wangu lazima ufunguke.
Story taamu D ♥️♥️ inavutia kusoma😊Mvua haikunyesha tu; ilikuwa na harufu ya ardhi iliyolowa na upepo mwanana, ikijaza kile chumba kidogo cha kupanga, Cheupe alikaa karibu na dirisha, akigusa kioo cha baridi, huku akisikiliza mlio mzito wa matone ya mvua yakipiga paa la bati.
Mlango ulifunguka, na Cheusi akaingia. Alikuja na harufu ya ulimwengu wa nje—hewa safi ya baridi, koto lililolowa, na harufu hafifu ya Valuer iliyochanganywa na bitter lemon...! Hakuzungumza kitu....! Bali alitembea tu kuvuka chumba, viatu vyake vikitoa sauti nyepesi kwenye sakafu ya mbao.Alipomfikia, alinyosha mkono wake. Kiganja chake kilikuwa cha moto kwenye taya yake yenye baridi, na kidole chake gumba kilikuwa kigumu lakini chenye upole wa ajabu kikipapasa ngozi yake.
Tofauti hiyo ilimfanya Cheupe asisimke...! Cheusi aliinama, na Cheupe akafunga macho yake, akilenga kabisa sauti ya dhoruba iliyokuwa nje na mdundo tulivu wa pumzi ya Cheusi...
Midomo yao ilikutana. Ilikuwa na ladha hafifu ya Valuer aliyokuwa amekunywa kabla—tamu na nzito. Ulimwengu mzima ulitoweka na kubaki kwenye mguso huo mmoja, wimbi la ghafla la joto lililofanya baridi yote ya chumba kupotea kabisa.....View attachment 3609369
Sanaa😆😅😅Unaongeza sk za kuishi
Hayo ni malovee au ni sarakasi🙌🏿🤣![]()
Duhh kasheshe, nawe unalo?Sema mimi stimu zangu hazipo kwenye maziwa kaabisa yaan hata sijui nipoje hata utembee kifua wazi mbele yangu sishtuki kabisa mimi nikiona tako lako limetuna na kuvimba km una nundu nyuma ya mgongo kwa chini mwanvuli wangu lazima ufunguke.
Save hio kwanza.
Nisha-share na mimi.
Nipo macho🤪Tupia watoto wamelala😂🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Gudubaiiiii🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🙌🏿🙌🏿🤣
Sema mimi stimu zangu hazipo kwenye maziwa kaabisa yaan hata sijui nipoje hata utembee kifua wazi mbele yangu sishtuki kabisa mimi nikiona tako lako limetuna na kuvimba km una nundu nyuma ya mgongo kwa chini mwanvuli wangu lazima ufunguke.
Save hio kwanza.
Nisha-share na mimi.