majibu ntawapa baadae kama kimeeleweka au ndio niendelee kuchase,akijifanya niendelee kumchase imekula kwake got no time for that!😂it's true the night has a story to tell, just waiting for one woman to finish kula msosi halafu nimuimbishe
majibu ntawapa baadae kama kimeeleweka au ndio niendelee kuchase,akijifanya niendelee kumchase imekula kwake got no time for that!
Nakataa!Under
Huyo avatar ni wewe,, ooh vzrUnder 45 mkuu
Kwa umri huo mbn ndo muda mzuri wa kilingeni??
Kwanini alaumiwe bata kuhara wakati ndio kuya kwakeView attachment 3609336kwanini alaumiwe dobi kutotakatisha kaniki ilihali tunajua rangi ya nguo
🤣🤣
Mshana Jr baada ya kupost hii video umenifanya nimkumbuke my love wa zamani sana,huyu ndio msichana pekee aliniambia ni kiasi gani ananipenda,alinifanya nijue uzur wa kupendwa,na niliuona upendo wake
Hahahaha ningetamn kujua mengi Ila muda sio rafiki na utayari wa muhusikaShetani akizeeka huwa malaika😂