DoubleOSeven
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 661
- 145
Vyanzo vya KLHN ambavyo weekend hii vilikuwa vinazunguka zunguka Dubai vinadokeza kuwa wanaohusika na mradi wa Dowans na marafiki zao wamekuwa na "kikao" huko Dubai, UAE. Miongoni mwa wahusika ni Edward Lowassa na Nazir Karamagi. Peter Serukamba naye ameruka majuu kupitia Uswisi akieleleka NY ambako ameulizia habari za "mwanakijiji" ili anipe nafasi ya kusikia "upande wa pili".
Nani kaishika kaya pabaya? Inasemekana kwamba wametishia kumwaga hadharani kila wanachojua kuhusu Richmonduli endapao shauri lililopo Ufaransa litasikilizwa. Eti suluhu ni kaya kukubali Dowans. Hapo hapo kumbukeni Ngeleja na Dr Rashid walifanya kazi Vodacom at some juncture. Je kampuni gani inwakilisha kaya kwenye swala la Dowans mahakamani Ufaransa?