The Next Move: Lowassa, Karamagi wakutana nje ya nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The Next Move: Lowassa, Karamagi wakutana nje ya nchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Mar 9, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Mar 9, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Vyanzo vya KLHN ambavyo weekend hii vilikuwa vinazunguka zunguka Dubai vinadokeza kuwa wanaohusika na mradi wa Dowans na marafiki zao wamekuwa na "kikao" huko Dubai, UAE. Miongoni mwa wahusika ni Edward Lowassa na Nazir Karamagi. Peter Serukamba naye ameruka majuu kupitia Uswisi akieleleka NY ambako ameulizia habari za "mwanakijiji" ili anipe nafasi ya kusikia "upande wa pili".

  Mkutano wao wa Dubai umekuja siku moja baada ya tukio ambalo kwa sasa linabakia kifuani. Nilitarajia wangefanya move yao, lakini sikutarajia wafanye move hiyo ASAP.

  Na wale wabunge wawili ma"dokta" nao salamu zao nimezipata loud and clear. Nawashauri mikutano yao bora waifanyie humo humo Tanzania.. yule nzi katotoa!

  Chess: It is your move.
   
 2. O

  Ogah JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mwanakijiji,

  ........nimefurahi kusikia ka-inzi kametotoa
   
 3. M

  Magezi JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145

  Jamani mi nauliza hivi serikali haiwezi kutaifisha mitambo ya dowans? Na je kwa nini Idris Rashid asifukuzwe kazi?
   
 4. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2009
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kweli Ka-inzi kametotoa na Serukamba atakapoongea basi yai litaenguliwa kwani yaelekea yeye ndie MC wao wa shughuli hii
   
 5. W

  WildCard JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2009
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Wasahau. Nchi hii haitaendelea kutafunwa tena kama zamani. Washukuru wametoka salama MADARAKANI.
   
 6. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135

  Mkuu huwezi kujua hao jamaa wanataka kucheza karata gani. Lakini swali linakuja kwanini waruhusiwe kutoka nje? Hapa tayari kuna mengi sana ya kujiuliza. Ndani kuna namna fulani ya kubanwa naona wanatafuta breathing space na launch pad ya makombora yao. Kuelekea 2010 tutaona mengi yakufurahisha, huenda wamekwenda kukusanya hela za mission zao.
   
 7. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Yaani nchi nzima inatetemeshwa na watu watatu tu!!!!!
   
 8. K

  KGBtz Member

  #8
  Mar 9, 2009
  Joined: Mar 5, 2007
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heshima mbele Mkjj

  Mimi naamini huu mjadala wa Dowans haukutakuwa kufika hapa ulipofika, na siyo vizuri hata sisi wa JF kusimama kumtukana Dr Idris kwamba amenunuliwa. Mimi nilimwangalia kwenye taarifa ya habari mwenyewe ya TBC, akielzea hali ya umeme ilivyo nchini na akasisitiza, SIYO LAZIMA DOWANS, lakini hali ni tete, wameenda kwa serikali wanaomba solution. Kwa common sense ya kawaida, DOWANS ni ideal, kwasbababu zote za msingi - technically and commercially, lakini kama siasa zetu zinasumbua, serikali ije tu na kusema solution nyingine, haina haja ya sisi kulumbana.

  Nilimwona EL kwenye ITV jana akiwa Dodoma kwenye NEC, lakini hivi kweli ataweza kukaa kikao ambacho Intelligence haina taarifa nazo, i doubt it.
   
 9. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Nimesikia kwenye mdahalo katika one of the TV chanels za Bongo kwamba, kama kuna ukiukwaji wa taratibu za manunuzi kama ilivyofanyika na Richmond (eg not delivering as per contract) then mitambo ilitakiwa kutaifishwa. Jamaa walikuwa wanasema hiyo inatokana na sheria za manunuzi worldwide. Sijapata kwa undani kuhusu hili ila mwenye data kuhusu utaifishaji na sheria za manunuzi za kimataifa ambapo TZ nayo imeridhia anaweza kutuelimisha.
   
 10. W

  WildCard JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2009
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Mkuu,
  Kwenda kwao nje hakuna wa kuwazuia. Si unajua walijiuzuru nafasi zao kwa kuwajibika tu! Tumwombee Mzee Mwanakijiji ka inzi kaendelee kutotoa tu.
   
 11. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mungu awabariki sana! Wazidi kumwomba Mungu (hata vibaka na mafisadi huomba tu) ili angalau siku moja ndoto zao za kufika keko/segera zitimie. Naona wanapatafuta kwa nguvu. Nina wasi wasi wanafanya jitihadi wasimwache JK. Wanampenda sana.
   
 12. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Mimi kwa upande wangu naamini kabisa kuwa wanatafuta namna nyingine tena ya kufanya UFISADI baada ya deal ya kununua mitambo ya DOWANS kufa ghafla.
   
 13. H

  Hume JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 338
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Ni weekend huu mkutano umefanyika au ni katika weekend hii vyanzo vyako vilikuwa vinazunguka huko dubai?

  Manake itashangaza Lowassa awe Dubai na wakati huohuo awe Dodoma kwenye vikao vya CCM!
   
 14. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #14
  Mar 9, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280

  watakuwa wana mikakati wabovu kabisa ...kwenda ziarani wakati huu wa kikao cha NEC nao ni wajumbe ..obvious kila mtu angewaulizia...untimely....
   
 15. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2009
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  sote tumemuona edward akiwa ni mwingi wa furaha mjini Dodoma. Kainzi kafanye home work yake upya
   
 16. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nina Maneno macheche kwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.

  I tell you it will not work.

  Never It wont...

  You have to do it.

  Now...!!!

  Speak Out!!

  Give a correction ... firmly and solidly..

  Loud and clear!!! With all your Love for the Country!

  Stand up for IT. I know you can do it!!

  Dare... Just dare and do it!!!

  We know you can do it!!

  Even if you shake to death ..move foward and confront...

  Just do it!! Close your eyes, make a first step ..I tell move and do it ..

  Many will be behind you!! Dont Care the reactions, what am telling you is from God, totaly correct and right...The spirit of all people in Tanzania will be with you....The power of PEOPLE is much more stronger than The Evil power of Three dark force!!

  Waiting to here from you!

  Godbless Sir!!
   
 17. Ibambasi

  Ibambasi JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2009
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 6,658
  Likes Received: 2,464
  Trophy Points: 280

  Sasa hapo umeongea nini?
  Au ni mimi tu ndo sijakuelewa?
   
 18. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Habari nyingine, sasa sijui nijadili ya kifuani!!!, ama sijui niijadili hiyo move ambayo haikutarajiwa ifanyike ASAP ambayo haijatajwa. Kama ka-nzi kametotoa, basi na Lowassa atakuwa katotoa kama alivyokuwa Saddam (tuliambiwa wako zaidi ya mmoja), manake Lowassa mmoja yuko Dom na mwingine Dubai!!!.
   
 19. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mimi nilishasema huko nyuma kuwa labda hawa watu wanajulikana na system maana kwanza kutokana na utapeli wa Richmond walitakiwa wawe wamefunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi wa nchi na mitambo ya Dowans/Richmond ingekuwa imekwisha taifishwa.Sasa watu hawa wanaiyumbisha serikali na fedha zao za wizi halafu system imekaa kimya labda wanajuana na uigizaji wao kuelekea 2010.
   
 20. J

  Jujuman JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2009
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MMKK Salam baba,
  Tafadhali chungulia huku na kule katika buku la tarehe na matukio nautubainishie huyo EX PM alikua anga zipi DODOMA?? kama inavyodaiwa au DUBAI kama ulivyoripoti???
   
Loading...