The Next Move: Lowassa, Karamagi wakutana nje ya nchi

Heshima mbele Mkjj

Nilimwona EL kwenye ITV jana akiwa Dodoma kwenye NEC, lakini hivi kweli ataweza kukaa kikao ambacho Intelligence haina taarifa nazo, i doubt it.

Loo basi atakuwa na double wake... Hahaa.. Ukweli ni kuwa ORIGINAL alikuwa Dodoma..
 
Mkuu Mwanakijiji,

Hako ka-inzi kako kalilewa gongo wiki hii nini? Kameona jangwa la Dodoma kakafikiri ni Dubai?
 
Just wait for Mwanakijiji to resurface, vijana wa mjini wanasema tulizeni ball
 
Vyanzo vya KLHN ambavyo weekend hii vilikuwa vinazunguka zunguka Dubai vinadokeza kuwa wanaohusika na mradi wa Dowans na marafiki zao wamekuwa na "kikao" huko Dubai, UAE. Miongoni mwa wahusika ni Edward Lowassa na Nazir Karamagi. Peter Serukamba naye ameruka majuu kupitia Uswisi akieleleka NY ambako ameulizia habari za "mwanakijiji" ili anipe nafasi ya kusikia "upande wa pili".

Mkutano wao wa Dubai umekuja siku moja baada ya tukio ambalo kwa sasa linabakia kifuani. Nilitarajia wangefanya move yao, lakini sikutarajia wafanye move hiyo ASAP.

Na wale wabunge wawili ma"dokta" nao salamu zao nimezipata loud and clear. Nawashauri mikutano yao bora waifanyie humo humo Tanzania.. yule nzi katotoa!

Chess: It is your move.

Mwanakijiji naona watu humu hawajakuelewa, nilipohighlite hujasema Edward Lowassa alikuwa Dubai bali "wanaohusika na mradi wa Dowans...akiwemo Edward Lowassa..."

Maana yake ni kuwa:

a-Lowassa ni mhusika mmojawapo wa Dowans
b-Wahusika wa Dowans walikuwa na mkutano huko Dubai
c-Lowassa hajatajwa kuwa alikuwa Dubai
d-Wahusika wenzake na Lowassa ndio walikuwa Dubai

As far as the post is concerned wahusika ndio walikuwa Dubai ila hapa tu ni kwamba Mwanakijiji katutajia baadhi ya wahusika wa deal zima la Dowans. Guys we just need reasonable common sense to decipher Mwanakijiji"'s message
 
Ibambasi you can be a good personal assistant of MMK!! unaweza kuwa sahihi lakini ngoja tuvute subira MMK aje hapa kuchanganua...

Thanks
 
Vyanzo vya KLHN ambavyo weekend hii vilikuwa vinazunguka zunguka Dubai vinadokeza kuwa wanaohusika na mradi wa Dowans na marafiki zao wamekuwa na "kikao" huko Dubai, UAE. Miongoni mwa wahusika ni Edward Lowassa na Nazir Karamagi.

THEN

Mwanakijiji naona watu humu hawajakuelewa, nilipohighlite hujasema Edward Lowassa alikuwa Dubai bali "wanaohusika na mradi wa Dowans...akiwemo Edward Lowassa..."

Maana yake ni kuwa:

a-Lowassa ni mhusika mmojawapo wa Dowans
b-Wahusika wa Dowans walikuwa na mkutano huko Dubai
c-Lowassa hajatajwa kuwa alikuwa Dubai
d-Wahusika wenzake na Lowassa ndio walikuwa Dubai

As far as the post is concerned wahusika ndio walikuwa Dubai ila hapa tu ni kwamba Mwanakijiji katutajia baadhi ya wahusika wa deal zima la Dowans. Guys we just need reasonable common sense to decipher Mwanakijiji"'s message

Bandugu, Hii lugha yetu nakuwa ngumu sana..!!!
 
Heshima mbele Mkjj

Mimi naamini huu mjadala wa Dowans haukutakuwa kufika hapa ulipofika, na siyo vizuri hata sisi wa JF kusimama kumtukana Dr Idris kwamba amenunuliwa. Mimi nilimwangalia kwenye taarifa ya habari mwenyewe ya TBC, akielzea hali ya umeme ilivyo nchini na akasisitiza, SIYO LAZIMA DOWANS, lakini hali ni tete, wameenda kwa serikali wanaomba solution. Kwa common sense ya kawaida, DOWANS ni ideal, kwasbababu zote za msingi - technically and commercially, lakini kama siasa zetu zinasumbua, serikali ije tu na kusema solution nyingine, haina haja ya sisi kulumbana.

Nilimwona EL kwenye ITV jana akiwa Dodoma kwenye NEC, lakini hivi kweli ataweza kukaa kikao ambacho Intelligence haina taarifa nazo, i doubt it.

Na kuongezea ni kwamba kwa tunaomfahamu Dr Rashid, ni kwamba alisoma pale Boston University kule Marekani kwa taabu sana na akarudi nyumbani na hata kuwezesha kuanzishwa idara ya computer pale BOT.

Ni mtu anaefanya mambo kisomi ila watu wanajaribu kucheza na siasa ambapo yeye tunamfahamu si mwanasiasa.

Pia ni mtu ambae anakosa "chance" za kuleta mabadiliko lakini kama angeweza angeibadilisha Tanesco ila msaada wa kufanya hivo haupo.
 
Richard,

Ningekubaliana na wewe kama zile dola kutoka kwa Chenge zisingetumbukia kwenye account yake nje ya nchi.

Unataka tumwamini Idrisa? Kwa mimi nitoe, mtu aliyechota bila aibu na wala ameshindwa hata kufafanua ilikuwaje, nitamwamini vipi?

Mimi na hawa wasomi wetu ambao wanalipwa mapesa mengi sana na bado wamekuwa majambazi nitakuwa mbali nao kabisa.
 
Richard,
Nakubaliana na wewe, hata yale mazuri na nidhamu iliyokuwepo BOT ni yeye aliyeijenga huwa hana upendeleo wa kijinga jinga. Tanesco inadili na maisha ya watanzania walio wengi moja kwa moja hivyo ili kuirekebisha ni kazi saana maana itabidi tupitie maumivu makali ambayo watanzania walio wengi hawako tayari kuyapitia.
 
Richard,

Ningekubaliana na wewe kama zile dola kutoka kwa Chenge zisingetumbukia kwenye account yake nje ya nchi.

Unataka tumwamini Idrisa? Kwa mimi nitoe, mtu aliyechota bila aibu na wala ameshindwa hata kufafanua ilikuwaje, nitamwamini vipi?

Mimi na hawa wasomi wetu ambao wanalipwa mapesa mengi sana na bado wamekuwa majambazi nitakuwa mbali nao kabisa.

Mkuu,

Kama ushahidi upo si afikishwe mahakamni kujibu tuhuma?

Utawala wa sheria pale Tanzania na Afrika nzima haupo na ndio maana watu wanajifanzia mambo yao wanavyotaka.

Ila suala la DOWANS ni katika hayohayo ya kumegeana 10%.
 
Na kuongezea ni kwamba kwa tunaomfahamu Dr Rashid, ni kwamba alisoma pale Boston University kule Marekani kwa taabu sana na akarudi nyumbani na hata kuwezesha kuanzishwa idara ya computer pale BOT.

Ni mtu anaefanya mambo kisomi ila watu wanajaribu kucheza na siasa ambapo yeye tunamfahamu si mwanasiasa.

Pia ni mtu ambae anakosa "chance" za kuleta mabadiliko lakini kama angeweza angeibadilisha Tanesco ila msaada wa kufanya hivo haupo.

Dr Rashid amepata 'chance' kubwa sana na si mara moja. Alikuwa gavana wa benki na sasa DG wa Tanesco. Hakuwa middle manager kwamba labda mabosi wake walimzuia, he had the ultimate decision making positons but he failed. There is no excuse for his failure! Sasa kule Tanesco nani alimzuia asifanye reforms including kupanga mapema kununua jenereta na si kusubiri mpaka mkataba wa Dowans uishe alafu wanunue? Je hilo la rada nalo alilazimishwa?

Hata hivyo thread hii haimhusu Dr Rashid, lakini niko tayari kuku-debate in another thread, but plz stop excusing this man!
 
Sasa wewe ukiwa mjuzi wa mambo , na ukazuiwa kufanya jambo unalotaka, na zaidi ya hapo ukapewa jambo la kijinga na wewe ukalibeba jambo la kijinga, basi wewe unakuwa mjinga zaidi. Ni kimaanisha hivi Dr ni mtu makini na anajua jambo lililo sahihi, lakini wanasiasa or who ever akamwambia Dowans ndio solution, hili hali yeye anajua sio solution, then akatuletea sisi hilo jambo, basi yeye ni mjinga zaidi ya huyo aliye mtia ujinga.
kwa sababu kwa mtu mchumi kama yeye Dowans sio dawa ya matatizo yetu, na pia kwa mtu wa level yake Dowans ni cha mtoto, yeye anatakiwa kufikiria Miradi mikubwa kama Stigler, ukiangalia cost effectiveness na ya huo mradi, na vichocheo vingine vya kiuchumi. kama kuweka umeme mpaka vijijini , kukuza elimu na hivyo viwanda etc, sio umeme wa dowans utakao saidia maybe 0.05% ya mahitaji yetu. na wakati huo huo una sijui Organisation ya Umeme vijijini, si ni upotevu wa Pesa tu? hiyo agency or Organisation itapelekaje huo umeme ambao haupo?, maana hata mahitaji ya Dar hayatatuliwi yote kwa huu umeme tulio nao
 
Kikao cha NEC kilifanyika lini Dodoma na kilikuwa cha siku ngapi?
 
Mwanakijiji naona watu humu hawajakuelewa, nilipohighlite hujasema Edward Lowassa alikuwa Dubai bali "wanaohusika na mradi wa Dowans...akiwemo Edward Lowassa..."

Maana yake ni kuwa:

a-Lowassa ni mhusika mmojawapo wa Dowans
b-Wahusika wa Dowans walikuwa na mkutano huko Dubai
c-Lowassa hajatajwa kuwa alikuwa Dubai
d-Wahusika wenzake na Lowassa ndio walikuwa Dubai

As far as the post is concerned wahusika ndio walikuwa Dubai ila hapa tu ni kwamba Mwanakijiji katutajia baadhi ya wahusika wa deal zima la Dowans. Guys we just need reasonable common sense to decipher Mwanakijiji"'s message
Makubwa sasa hapa ndo umeelewa!kazi kweli kweli
 
Swali la pili: inachukua masaa mangapi kwenda Dubai na kurudi? Kitu ambacho watu wanaweza kumiss ni kile ambacho sikukisema mwanzoni nimekiashiria tu kuwa mkutano huo ulikuwa ni lazima ufanyike mapema iwezekanavyo baada ya "move" yetu J'mamosi...
 
Sasa wewe ukiwa mjuzi wa mambo , na ukazuiwa kufanya jambo unalotaka, na zaidi ya hapo ukapewa jambo la kijinga na wewe ukalibeba jambo la kijinga, basi wewe unakuwa mjinga zaidi. Ni kimaanisha hivi Dr ni mtu makini na anajua jambo lililo sahihi, lakini wanasiasa or who ever akamwambia Dowans ndio solution, hili hali yeye anajua sio solution, then akatuletea sisi hilo jambo, basi yeye ni mjinga zaidi ya huyo aliye mtia ujinga.
kwa sababu kwa mtu mchumi kama yeye Dowans sio dawa ya matatizo yetu, na pia kwa mtu wa level yake Dowans ni cha mtoto, yeye anatakiwa kufikiria Miradi mikubwa kama Stigler, ukiangalia cost effectiveness na ya huo mradi, na vichocheo vingine vya kiuchumi. kama kuweka umeme mpaka vijijini , kukuza elimu na hivyo viwanda etc, sio umeme wa dowans utakao saidia maybe 0.05% ya mahitaji yetu. na wakati huo huo una sijui Organisation ya Umeme vijijini, si ni upotevu wa Pesa tu? hiyo agency or Organisation itapelekaje huo umeme ambao haupo?, maana hata mahitaji ya Dar hayatatuliwi yote kwa huu umeme tulio nao

Nimekuelewa, ila sasa hata kama ni wewe leo hii unapewa Tanesco uiongoze itabidi ufikirie miradi hiohio mikubwa kama Stigler lakini unakumbana na urasimu wa kugharimia huo mradi.

Kuna kamji kamoja nimewahi kuishi kanaitwa Enfield huku Ughaibuni.Ni mji mkubwa kidogo unaoweza kulingana na Ilala na Kinondoni kwa pamoja. Mji ule unapata umeme kutoka grid ya taifa ambao ni kama 400 MW na unatoka katika "single shaft" ifananayo na tuseme pale Ubungo.

Hii 400 MW inaingizwa katika electric pool yoote ya UK kama ikihitajika. Huu ni mradi mmojawapo tu na ipo mingine katika mji huu kama Ne-on na mingine.

Kwa hio ukiangalia kwa undani ni kwamba wasomi waliosomea mambo ya umeme walipaswa kusaidiwa na serikali kuanzisha miradi hii bila kungoja watu fulani wacheze dili kama inavyofanyika sasa katika Tanzania yetu.
 
Last edited:
Mkuu,

Kama ushahidi upo si afikishwe mahakamni kujibu tuhuma?

Utawala wa sheria pale Tanzania na Afrika nzima haupo na ndio maana watu wanajifanzia mambo yao wanavyotaka.
Ila suala la DOWANS ni katika hayohayo ya kumegeana 10%.

Ohh poor Richard,

what a contradiction

kwa hiyo bado unamaintain kuwa the Dr. anatufaa? Ni kweli kajifanyia mambo anavyotaka...USD 600,000 without any explanation let alone being brought to justice is surely defilement of our legal system.
 
Dr Rashid amepata 'chance' kubwa sana na si mara moja. Alikuwa gavana wa benki na sasa DG wa Tanesco. Hakuwa middle manager kwamba labda mabosi wake walimzuia, he had the ultimate decision making positons but he failed. There is no excuse for his failure! Sasa kule Tanesco nani alimzuia asifanye reforms including kupanga mapema kununua jenereta na si kusubiri mpaka mkataba wa Dowans uishe alafu wanunue? Je hilo la rada nalo alilazimishwa?

Hata hivyo thread hii haimhusu Dr Rashid, lakini niko tayari kuku-debate in another thread, but plz stop excusing this man!

Mkuu,

Itakuwa ni jambo la uzuri kama unanielewa naekea wapi na hii ndio maana ya mjadala.

Hapa sijamtetea Dr Rashid kwa jambo lolote ila ninachosema ni kwamba kama wanasiasa wa aina ya Karamagi na Lowasa bado wanapewa nafasi ya kuongoea mambo ya madili ya umeme ilhali wao si wajuzi wa mambo ya umeme, basi huo na ujinga.

Watu waliosomea mambo ya nishati wapo wapi na ni sababu zipi ziwawafanya washindwe kutatua tatizo la umeme katika Tanzania yetu?
 
Ohh poor Richard,

what a contradiction

kwa hiyo bado unamaintain kuwa the Dr. anatufaa? Ni kweli kajifanyia mambo anavyotaka...USD 600,000 without any explanation let alone being brought to justice is surely defilement of our legal system.

Mkuu,

Hii sio contradiction na wala si-maintain kufaa au kufaa kwa Dr.

Tuendelee na na mjadala kama DOWANS haifai ni njia ipi nzuri itumike kuzalisha umeme Tanzania?

I think that is the question/
 
Swali la pili: inachukua masaa mangapi kwenda Dubai na kurudi? Kitu ambacho watu wanaweza kumiss ni kile ambacho sikukisema mwanzoni nimekiashiria tu kuwa mkutano huo ulikuwa ni lazima ufanyike mapema iwezekanavyo baada ya "move" yetu J'mamosi...

Pia wakumbushe kuwa Lowassa is no longer a political power in Tz so hahitaji kutangaza safari zake kama wengine isitoshe being now as he is he could and can be anywhere in the globe at any moment...by the way kwani anahitaji kutuaga?
 
Back
Top Bottom