Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
Mkuu hawa jamaa sio mchezo. Inabidi serikali iwe na nguvu kwelikweli ku-deal nao na i-deal nao kwa moyo wa dhati, sio kuzuga zuga. Wanajua kuwa sasa hivi si Mr Presdent or Mr PM wenye uwezo wa kuwagusa, mtandao wao ni mkubwa na una nguvu sana. Kama wameanza hata kuogopa kufanya vikao ndani ya nchi wanaenda nje, basi hii inatia moyo kiasi fulani. Lakini bahati mbaya ka-nzi ka Mwanakijiji kametotoa mayai mengi.
Sasa kama nchi imewashindwa hao, kuna haja ya kuwa na uongozi wa nchi?