Hahah wana gari yao 1 hio tata safari vx naikutaga sehemu imepaki daah yani ni shapeless/colourless/mvutoless ikiwashwa inalia kama vile vibajaji vya Mo Dewji wkt ni mid-size SUV.Yaani the new Jimny, Wrangler na G-wagon zote ziko on point, ila hawa TATA naona wametengeneza the Mahindra
Hehehee. Yaani jana nimepishana na 110 ikabidi nicheke tu.Hahah wana gari yao 1 hio tata safari vx naikutaga sehemu imepaki daah yani ni shapeless/colourless/mvutoless ikiwashwa inalia kama vile vibajaji vya Mo Dewji wkt ni mid-size SUV.
Saana. Hawakujiuliza why gari halijabadilika significantly kwa zaidi ya miaka 60. Land Cruiser watapiga bao sana na 70 series yao. Hivi kweli waasi watanunua gari la hivyo kwenda nalo mstuni?Aaarh wapi mkuu hata jeshi la mgambo haliwezi kutumia gari hili,ki ukweli wame-mess up big time.
Uwezekano huo ni mkubwa sana....sasa hivi umeme mwingi ili kubana mafuta lakini kuhakikisha nguvu ya kutosha ilihali mafuta yanayotumika ni kidogo...Sijakataa.
Ila inaweza jazwa umeme na teknolojia za kufa mtu.
Najaribu kuhisi kutakuwa na hybrid version ya LC.
Changamoto ya umeme ni suala la reliability. Mfano this new LR 110 ina air suspension. Sasa hayo madude yakizingua huwa ni balaa. Na pia kwa jinsi bodi lake lilivyo, sipati picha ukigonga hata mbwa tu ukiwa polini. Au FFU wakilitumia kwenye ghasia likapigwa mawe.Uwezekano huo ni mkubwa sana....sasa hivi umeme mwingi ili kubana mafuta lakini kuhakikisha nguvu ya kutosha ilihali mafuta yanayotumika ni kidogo...
Pia suala la mazingira
Sure...Changamoto ya umeme ni suala la reliability. Mfano this new LR 110 ina air suspension. Sasa hayo madude yakizingua huwa ni balaa. Na pia kwa jinsi bodi lake lilivyo, sipati picha ukigonga hata mbwa tu ukiwa polini. Au FFU wakilitumia kwenye ghasia likapigwa mawe.
Very true. Hapo ndio shida. Teyari wana luxury "offroader" ambayo owners wake wala hawaipeleki offroad. Unafikiri wangapi wanapeleka Range Rover ya kisasa offroad? Discovery mpya teyari wameshaiharibu pia. Haina sura ya kazi any more. Sasa na Defender imekwenda direction hiyo hiyo. Hapo Land Cruiser 70 series ndio limebaki gari la pori.Sure...
Hii ni gari ya kazi Ulaya....si Africa...kwa mazingira ya Africa ikipata break down, itakuwa ningharama kibwa sana....
Hii gari inaonekana wazi wazi itakuwa ni pacha wa Range Rover....
Hii sasa ina sura ya kiume.Leo ni official launch ya Landrover Defender huko Frankfurt, Germany.
Wamezindua Defender 90 and 110.
View attachment 1203553View attachment 1203554View attachment 1203555View attachment 1203556View attachment 1203557View attachment 1203558View attachment 1203559View attachment 1203560View attachment 1203561View attachment 1203562
si lazima uandike ila comment yako ndio imeonesha hivyoNionyeshe wapi nimeandika Manual haipo?
Kwahiyo tusinunue benz, bmw, bentley kisa spare parts?Mangi bado nasema wazilete na spare zipatikane kirahisi. Wewe upo safarini gari inaleta hitilafu mpaka ubadili gari ?!. Gari haitakuharibikia nyumbani bali safarini .
Cruiser mahali popote huduma unapata . Siyo mpaka dealer
Car enthuasts wanazeeka, wanakufa.
Driving schools za sasa kuna manual moja auto 5.
si lazima uandike ila comment yako ndio imeonesha hivyo
At least LC kuna 70 series. Hata hiyo 200 wakiibadilisha ikawa modern sio issue saana maana imeshakuwa luxurious teyari mpaka hapo ilipo, as hizo wala sio za kwenda porini kivile. Sasa Land Rover teyari wana Range Rovers kibao, sasa na hii na Defender pia wameifanya kuwa ya kishua, inakuwa shida kidogo. Na so far nadhani hakuna manual option kwenye new defender.LC 200 wamesema wataacha kuzizalisha 2020 sijui.
Kuanzia 2021 wataleta Land Cruiser mpya kabisa.
Very true. Hapo ndio shida. Teyari wana luxury "offroader" ambayo owners wake wala hawaipeleki offroad. Unafikiri wangapi wanapeleka Range Rover ya kisasa offroad? Discovery mpya teyari wameshaiharibu pia. Haina sura ya kazi any more. Sasa na Defender imekwenda direction hiyo hiyo. Hapo Land Cruiser 70 series ndio limebaki gari la pori.
Hahah mwanangu hata mgambo hawalitaki hilo gari,waasi wataendelea na 70 series zao na yale ma-hilux yao.Saana. Hawakujiuliza why gari halijabadilika significantly kwa zaidi ya miaka 60. Land Cruiser watapiga bao sana na 70 series yao. Hivi kweli waasi watanunua gari la hivyo kwenda nalo mstuni?