The new Landrove Defender

Yaani the new Jimny, Wrangler na G-wagon zote ziko on point, ila hawa TATA naona wametengeneza the Mahindra
Hahah wana gari yao 1 hio tata safari vx naikutaga sehemu imepaki daah yani ni shapeless/colourless/mvutoless ikiwashwa inalia kama vile vibajaji vya Mo Dewji wkt ni mid-size SUV.
 
Hahah wana gari yao 1 hio tata safari vx naikutaga sehemu imepaki daah yani ni shapeless/colourless/mvutoless ikiwashwa inalia kama vile vibajaji vya Mo Dewji wkt ni mid-size SUV.
Hehehee. Yaani jana nimepishana na 110 ikabidi nicheke tu.
 
Sijakataa.

Ila inaweza jazwa umeme na teknolojia za kufa mtu.

Najaribu kuhisi kutakuwa na hybrid version ya LC.
Uwezekano huo ni mkubwa sana....sasa hivi umeme mwingi ili kubana mafuta lakini kuhakikisha nguvu ya kutosha ilihali mafuta yanayotumika ni kidogo...
Pia suala la mazingira
 
Uwezekano huo ni mkubwa sana....sasa hivi umeme mwingi ili kubana mafuta lakini kuhakikisha nguvu ya kutosha ilihali mafuta yanayotumika ni kidogo...
Pia suala la mazingira
Changamoto ya umeme ni suala la reliability. Mfano this new LR 110 ina air suspension. Sasa hayo madude yakizingua huwa ni balaa. Na pia kwa jinsi bodi lake lilivyo, sipati picha ukigonga hata mbwa tu ukiwa polini. Au FFU wakilitumia kwenye ghasia likapigwa mawe.
 
Sure...
Hii ni gari ya kazi Ulaya....si Africa...kwa mazingira ya Africa ikipata break down, itakuwa ningharama kibwa sana....
Hii gari inaonekana wazi wazi itakuwa ni pacha wa Range Rover....
 
Sure...
Hii ni gari ya kazi Ulaya....si Africa...kwa mazingira ya Africa ikipata break down, itakuwa ningharama kibwa sana....
Hii gari inaonekana wazi wazi itakuwa ni pacha wa Range Rover....
Very true. Hapo ndio shida. Teyari wana luxury "offroader" ambayo owners wake wala hawaipeleki offroad. Unafikiri wangapi wanapeleka Range Rover ya kisasa offroad? Discovery mpya teyari wameshaiharibu pia. Haina sura ya kazi any more. Sasa na Defender imekwenda direction hiyo hiyo. Hapo Land Cruiser 70 series ndio limebaki gari la pori.
 
Mnyama mkali sana huyu. Naikubali pia mnyama nwingine FORD RANGER ni hatari sana
 
Labda kama car enthusiast watakua wameisha duniani,wameijaribu steptronic lkn imeshindwa ku-replace manual.
Car enthuasts wanazeeka, wanakufa.

Driving schools za sasa kuna manual moja auto 5.
 
Mangi bado nasema wazilete na spare zipatikane kirahisi. Wewe upo safarini gari inaleta hitilafu mpaka ubadili gari ?!. Gari haitakuharibikia nyumbani bali safarini .

Cruiser mahali popote huduma unapata . Siyo mpaka dealer
Kwahiyo tusinunue benz, bmw, bentley kisa spare parts?

Lack of exposure.
 
Wanakufa na wanazaliwa wengine daily.

Na ndio maana UK kwa kujua umuhimu wa manual aliyejifunza gari huko driving school kwa kutumia manual car atapewa leseni ya kumruhusu kuendesha both manual&auto wkt aliyejifunza kwa kutumia auto atapewa leseni ya kuendesha only auto car.

Car enthuasts wanazeeka, wanakufa.

Driving schools za sasa kuna manual moja auto 5.
 
LC 200 wamesema wataacha kuzizalisha 2020 sijui.

Kuanzia 2021 wataleta Land Cruiser mpya kabisa.
At least LC kuna 70 series. Hata hiyo 200 wakiibadilisha ikawa modern sio issue saana maana imeshakuwa luxurious teyari mpaka hapo ilipo, as hizo wala sio za kwenda porini kivile. Sasa Land Rover teyari wana Range Rovers kibao, sasa na hii na Defender pia wameifanya kuwa ya kishua, inakuwa shida kidogo. Na so far nadhani hakuna manual option kwenye new defender.
 
Very true. Hapo ndio shida. Teyari wana luxury "offroader" ambayo owners wake wala hawaipeleki offroad. Unafikiri wangapi wanapeleka Range Rover ya kisasa offroad? Discovery mpya teyari wameshaiharibu pia. Haina sura ya kazi any more. Sasa na Defender imekwenda direction hiyo hiyo. Hapo Land Cruiser 70 series ndio limebaki gari la pori.

Daah mkuu unasema ukweli mtupu,na hio discovery latest ni upuuzi mtupu ule u-masculine wote kwishnei sijui hawa wahindi wkt wa designing wanakuaga wanawaza nini.
 
Saana. Hawakujiuliza why gari halijabadilika significantly kwa zaidi ya miaka 60. Land Cruiser watapiga bao sana na 70 series yao. Hivi kweli waasi watanunua gari la hivyo kwenda nalo mstuni? :D:D:D
Hahah mwanangu hata mgambo hawalitaki hilo gari,waasi wataendelea na 70 series zao na yale ma-hilux yao.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom