TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,087
- 3,392
2pac alikuwa na maadui wengi wasanii pamoja na viongozi ambao hawakupenda movement zake na alijua atauwawa tuu hivyo akaamua awawai kabla hawamuua.
Habari wadau...naleta kwenu conspiracy theory hii ili tuijidali naamini humu JF kuna wajuzi zaidi....who is really behind the death of 2PAC. Je ni Natorious B.I.G au Suge Knight...??
Wakati nakua na kuanza fatilia muziki wa Marekani miaka ya 90 nilitokea kuwa shabiki wa 2pac lakini kwa kuwa tulikua tumelishwa story za mtaani kuwa B.I.G. na kundi lake(bad boys record) ndio walimua 2PAC basi nilimchukia Natorious pamoja na Puff Dady (Pdidy).
Na niliamini hivyo pasipo shaka lolote. Nafikiri wengi wetu tuliangukia kundi hili..
Ila baada ya kuelemika na kuanza kuhoji mambo na kufatilia mambo nilifanikiwa kupata matazamo tofauti kuhusu swala hili.
Hii ilianzia baada ya kuona movie ya maisha ya Natorious B.I.G ambayo imeonesha ni jinsi B.I.G alivyokua hausiki kabisa na kifo cha 2PAC na jinsi walivyokua marafiki hapo zamani.
Kilichokuja kunichanganya zaidi ni documentary moja ya "untold truth behind 2PAC death " kwenye hii documentary imempotray SUGE KNIGHT kama the man behind 2PAC's death.
Kwamba kipindi kile cha bifu lilozuka kati ya West Coast Rapers (mfn kina 2pac na death row, snoop dog etc ) na East Coast( wakina B
I G, bad boys na wasanii wengine wanaotoka New York) inasemekana Suge Knight kwa kupitia Death Row alipiga hela sana mauzo yaliongezeka kadri bifu lilipozidi kuwa kubwa.
Ila inasemekana mbeleeni kulipungua maelewano kati yake sugar knight na 2pac na ndipo 2pac akatangaza nia ya kujitoa Death Row inasemekana hiki kitendo kilimkera Suge knight ndio akafanya mpango wa kumuua 2pac katika mpango kabambe uliosukwa na baadhi ya corrupted corps ili ionekane kambi ya B.I.G ndio inahusika.
Cha kushangaza mpaka leo muuaji wa hawa watu wawili (2PAC na Natorious B.I.G) hajawai kupatikana pamoja na uwezo na ukubwa wa F.B.I katika kufanya upelelezi.
Je kuna mwenye infos zaidi kuhusu kifo cha nguli huyu wa Hiphop duniani
sababu binadamu hatuna uwezo wa kutabiri siku zetu za mauti kama alivyofanya 2pac.
upo sahihi anko but sio na siku exactly ya kifo chako labda ujiue mwenyewe.kaka its possible kupredict kifo kama tu utaijua society unayoish inakuchukuliaje kwa pac tayari alishajua the fight he had with people and authorities na zaid alipokuwa na mwelekeo ule wa black panthers ambao serikali ya marekani haikubali, pia alishaanza kusens denja ndo mana akaja na nyimbo kama me against the world, changes pamoja na only god can judge me aliona mengi yalomkuta akaweza kupredict next move towards him. Ni mtazamo wangu huu wajomba!
mjomba bado upo mbali sana asee suge wala cjui b.i.g wote hawahusiki..dig deeperhii mbona iko wazi kabisa kuwa suge ndie muhusika wa kifo cha 2pac. Fbi wanajua na ukitaka kujua zaidi we search mtandaoni. Kwa kuanzia anza na wikipedia mtazame 2pac na kisha anza kufuata links na utakutana na confessions kutoka kwa askari wa fbi waliokuwa wanapeleleza kesi hiyo.
Suge na death row wanahusishwa pia na mtukio mengi sana mabaya na hivi sasa anatumikia kifungo.
Hii mbona iko wazi kabisa kuwa Suge ndie muhusika wa kifo cha 2Pac. FBI wanajua na ukitaka kujua zaidi we search mtandaoni. kwa kuanzia anza na wikipedia mtazame 2Pac na kisha anza kufuata links na utakutana na confessions kutoka kwa askari wa FBI waliokuwa wanapeleleza kesi hiyo.
Suge na Death Row wanahusishwa pia na mtukio mengi sana mabaya na hivi sasa anatumikia kifungo.
Same people who made him a world star are same people who killed him kwa nn nsasema hivyo huyu jamaa story yake inaanzia kwenye ile group ya African American walokuwa wanatetea haki za weus by then (black panther) so baada ya Kuwa maarufu the guy was spearheading violence kwa slogan nyingi kama thug life ambayo ndo ilipata umaarufu and kwa kipindi chake jamaa alikuwa anainfluence kubwa kwa youths everyone was a tupac wanna be copying his walking style, dressing style and even matendo yake and kipindi hicho kumbuka ukifanya anachofanya pac you were like we ndo real gangstar and trust me there is no good thng out of a gangster! So watu waliiangalia presence ya Hawa watu wawili in future the who American youth would have been gangsters wanna be and violence oriented coz beef haikuwa kwa wao tu mpaka kwa mashabiki kama unakumbuka enzi za kukunja suruale mguu mmoja content za nyimbo zao zikawa zinapreach violence kwa sana mengine mengi. So kwa mtazamo wangu mie nadhani the people who created them are the one who took their lives!
Pac alikua msomi na muumini wa filosofi za Makavel..mi simuelewi vizuri huyu jamaa ila inasemekana aliwai sijui kufa akarudi au something like alitabili kifo chake..so labda pengine Pac uwezo wa kutabili kifo chake aliupata kwenye mafundisho ya huyu mwanafilosofia.
Ila bado kuna kundi la watu wanaoamini Pac bado yupo hai mmoja wao ni mtoto wa kiume wa Will smith kwa hiyo sio wewe tu...mi mwenyewe na wish hiwe hivyo aissee
Mimi naamini kabisa aliyemuua 2pac ni orlando anderson aka baby lane, huyu ni member wa kundi la crips na ambae alikua ana miaka 21 akifanya tukio hilo, orlando pia baadae aliwahi kusikika akijisifu kuwa yeye ndio aliyemmaliza makaveli baadae nae orlando aliuawa kwenye tukio lingine katika carwash.
Wakati 2pac akitoka kwenye pambano la tyson mjini vegas, mmoja wa watu waliokua kwenye entourage yake alimwambia tupac kuwa kijana aliekua kasimama pembeni wakati wao wanapita aliwahi kumuibia vito vyake vya thamani na kwamba pia ni member wa crips, wakati huo baby lane alikua kasimama pembeni, moja kwa moja 2 pac alimfata ns kuanza kumpiga yeye na kundi lake aliemtoa 2pac hapo ni bodyguard wake anaitwa big frank....
Baby lane alipigwa na tukio hilo lilionekana kwenye cctv, akavuka hadi ngambo ya pili kwenda hotel ambayo genge la crips liliikodisha kwa ajili ya member wake usiku wa pambano hilo walikua wamekodi hoteli nzima
Orlando aliwahi kukiri kuwa kitendo cha yeye kupigwa na 2pac kilifanya buzz yake ijae mesage kabla hata hajafika alipata mesage zaidi ya mia nne ndani ya dakika 20 kutoka kwa member wenzake
Baadae tupac wakaenda kwenye jumba la suge hapo vegas halafu 2pac akamuomba frank awaendeshe ndugu zake wa outlaws maana walikua wamelewa sana so 2pac na suge wakaingia kwenye hiyo bmw ya version 2007 na kuondoka kuelekea club 662 ya suge
Walifika kwenye mataa na 2pac akawa anawashangaa madem waliokua kwenye cadilac na kutaniana na ghafla ikaja cadilac nyeupe na kupaki na ghafla akaibuka mtu kwenye roof na kummiminia 2pac risasi
2pac alikufa siku saba baadae baada ya mama yake kusema kuwa life suport machine iondolewe na baada ya miezi kadhaa orlando alikua akijisifu kuwa kamuua 2pac
Orlando aliishi maisha ya kujificha hadi alipokufa mwaka 2007 na pia mama yake 2pac aliwahi kumshtaki orlando kwa kosa la kumuua mwanae
Nimeandika kwa ufupi sana kama una swali kuhusu 2pac au big unaweza kuniuliza na nitakujibu
Hv ndivyo ninavyoamini
Sijawai kuamini kuwa 2pac ni marehemu hata siku moja na sitakuja kuamini