The Man behind 2PAC's Death

The Man behind 2PAC's Death

Ushirikina wao sio wakushika vibuyu kaka anamaanisha kuwa hawa Freemasos ni watu wanao mwabudu shetani namaanisha kuwa wanampinga mungu kingine ni huu mstari wa mkuu Nicholas
Illuminati wana mind control, na kuna spiritual threats mbaya, ambazo muathirika ana ushuhuda wa adhabu za kishetani, na akipima anaona ni bora kumtetea mtesi wake kuliko.
hawa jamaa huwa wanacheza na akili za watu na Huwezi kuamini Mpaka sasa wanai control dunia kwa au zaidi ya 50% wanaamua kipi wafanye au kipi wasifanye yupi awe kiongozi yupi asiwe, pia katika mahakama nyingi huwa wanasimamia kesi kubwakubwa.

Duh..hizi mambo...
 
Big alimuua 2PAC suge knight alimuua big kama kulipiza kisasi kuuawa kwa mshkaj wake 2PAC na big!!! equation balance!!

Hivi unajua mpaka kesho Suge Knight anabifu na Snoopy Dog...kisa snoop anaamini Suge ndio alimua PAC..
 
Nilisikia kuwa hata kwenye mazishi yake wlihusika ndugu tu
yaani hakuna shabiki hata mmoja aliyeshuhudia..kama kuna anaefahamu zidi atujuze?
 
Nilisikia kuwa hata kwenye mazishi yake wlihusika ndugu tu
yaani hakuna shabiki hata mmoja aliyeshuhudia..kama kuna anaefahamu zidi atujuze?
 
"They Got Money for war, but can't feed the Poor" 2Pac Omar Shakur-1993.
 
Katika maelezo yako hapo naona ka unaelekea kusema "kifo chake kilikua kwa njia ya kishirikina " I mean it wasn't a normal death ka tujuavyo wengi kwamba ni gunshots...au nimekuelewa vibaya mkuu

I mean ushirikina si lazima uue bila kushikwa...hata wanaotambika huchinja kwa kisu,kwa kugonga etc....ila lengo nikufikia malengo ya kishirikina...kwa ujumla nilichokuwa nakuambia ni kwamba kuchunguza kifo kinachohusu group fulani inayoshikiliwa na sheria zake inaweza kuwa ngumu sana.Kwani hata muathitika kuna vitu vinamfanya apamabane kuficha uovu hata km anataka msaada,mwishowe zoezi zima huwa gumu sana.Hiyo ni one way anaother way ni kwamba wanaopanga nao hujaribu panga mauaji ya kuchanganya iwezekanavyo..... sasa fikiria uchunguzi wa jambo amabalo muuaji au mtenda uovu na muathirika wote wanaona ni hatari suala kujulikana.

Haya mambo yapo ktk criminal rings(gamblers,mafias, satanic cults etc...).umewahi jiuliza utapataje ukweli wa matua aliyeua jambazi ambaloa lilikuja iba mali ya wizi ambayo nayo ilihusisha mauaji ya watu wasio na hatia.Halafu siku huyo jambazi anauawawa,a mamlaka za kisheria zikapata hayo mauaji sasa wanataka chunguza hao majambazi wameiba nini na kwa kiasi gani na ni mali ya nani?
 
Nilisikia kuwa hata kwenye mazishi yake wlihusika ndugu tu
yaani hakuna shabiki hata mmoja aliyeshuhudia..kama kuna anaefahamu zidi atujuze?

Familia yake ilipendelea mazishi yake yawe private kama celebrities wengi wapendavyo mfano mazishi ya Michael Jackson hata familia ya Mandela awali walitaka hiwe hivyo...ni kawaida tu hiyo hali
2PAC alizikwa kwa kuchomwa moto ila inasemekana (tetesi) baadhi ya majivu yake walipewa rafiki zake /machizi wake wa karibu (death row) wakamix na bangi then wakavuta...
 
Familia yake ilipendelea mazishi yake yawe private kama celebrities wengi wapendavyo mfano mazishi ya Michael Jackson hata familia ya Mandela awali walitaka hiwe hivyo...ni kawaida tu hiyo hali
2PAC alizikwa kwa kuchomwa moto ila inasemekana (tetesi) baadhi ya majivu yake walipewa rafiki zake /machizi wake wa karibu (death row) wakamix na bangi then wakavuta...

kwani kabla ya 2 pac kuna mwingine aliyezikwa kifamilia bila watu kuona? kwa mantiki hiyo ni kuwa kuna uwezekano yupo hai na mama yake anajua kila kitu.
 
kwani kabla ya 2 pac kuna mwingine aliyezikwa kifamilia bila watu kuona? kwa mantiki hiyo ni kuwa kuna uwezekano yupo hai na mama yake anajua kila kitu.

Sina uhakika ulimaanisha nini uliposema bila watu kuona ila ka ulikua unamaanisha mazishi private sio kwamba yalikua ya kificho kihivyo ila yalihusisha wana ndugu/familia na marafiki wa karibu na sio jamii nzima kuudhuria maziko ka tufanyavyo kwenye misiba yetu ya uswahilini.
Nahili sio jambo jipya nimekupa mfano hata mazishi ya nguli Michael Jackson yalifanyika hivi hivi (private) familia ya late Mandela pia ilitaka mazishi ya mpendwa wao yawe hivi.
Na elewa maziko ya hawa wenzetu celebrities huwa yanambwembwe sana kama yalivyokua maisha yao..
Sa kwa mantiki hiyo huwezi uka relay kwenye point hii kuwa kwa kuwa Tupac mazishi yake hayakuwa ya wazi basi Tupac bado yu hai
 
2PAC na BIG walikuwa wanawagawa vijana wa kiamerica, na kulikuwa na movement kubwa sana hasa kwa vijana kwenye kujitambua kimakundi, east coast na west coast. na wangeiacha hii notion kwa muda mrefu ingetokea division kubwa sana hata hii leo. serikali iliamua kuwaondoa hawa watu ili kila kitu kiwe cool

I conqur
 
kama wewe ulivyosoma documentary hiyo na mimi nilishawahi kupitia makala moja ya nyuma kama 2001 hivi,ilitoa nadharia mbalimbali kuhusu kofo cha Pac na ilizungumzia suspected wote akiwemo,Suge na Notorious,siyo huyo tuu inasemekana hata kabla ya kifo chake siku hiyo pac aligombana na junk mmoja kwenye mgahawa kabla ya pambano la siku hiyo la Tyson huyu jamaa inasemekana alikuwa anatoka crew mmoja matata kwa mauaji pale kama sikosei ni the crips,lakini pia kuna incidence ya kushangaza kidogo ambayo hii wengi walianza kuamini kuwa tupac hakuuliwa na kundi la BIG bali ni FBI ambao wanasemekana walianza kumtafuta siku nyingi,kumpeleleza mara kwa mara...Pia eneo ambalo Tupac alipigwa risasi unaambiwa endapo tukio likitokea dakika kumi ninyingi Police walishafika lakini iliwachukua zaidi ya dakika kumi na tano police na ambulace kufika eneo latukio hapo ndo utajua kuwa kifo kilipangwa baina ya FBI na Suge pia kunakipindi ilibainika mawasiliano ya siri kati ya Suge na Police...Kunamengi zaidi ya hayo kuhusu kifo cha PAC
 
Hawa wote mtawaona Siku so nyingi pale kanisani kwa Gwajima wakifufuliwa kutoka kwenye u msukule
 
Back
Top Bottom