Ha ha ha hivi unajua CIA ni nani. CIA hawadili na watoto wadogo. Ukiniambia kwamba walimuua Pablo hiyo naweza kukubali ila sio hawa watoto wadogo wadogo. Hao hata polisi wanatosha tu. CIA sio cha mtoto mdogo wangu.. CIA ni chama kubwaa.Behind it Kuna CIA pia. Ili kumaliza bifu lililokuwa linapamba moto Kati ya east na west. Both were killed by CIA. Period! But the question is " why the 7th day theory apply to the death of 2pac? Refer the kiluminati album!! Think big
simini kuwa umejazwa fictional theories kiasi hikiPAC alikuwa na uadui mkubwa na Illuminati kuliko hao wengine. Na ndio waliomtengenezea mpaka kesi ya ubakaji.
Kwa kawaida mauaji ya Illuminati huwa hayachunguzwi na taasisi yoyote.
Dada wa Michael Jackson aliwahi ituhumu Illuminati kwa kuhusika na kifo cha King of Pop.
Mwisho akatolewa kafara Conrad Murray ambaye pia ni member wa Illuminati.
Lakini angalau mahakama ilikiri kuwa King of Pop aliuawa kwa kile kilichoitwa ni uzembe wa daktari wake.
Illuminati wanahusika kabisa na kifo cha PAC.
Ntarudi.
Nilisoma makala moja ya askari ambaye alilkua anafanya upelelezi kuhusiana na hiyo kesi na kwa wakati huu ameshastaafu..
Yeye anasema aliyemuua 2pac ni pdidy ambaye ni mmiliki wa bad boys records, na chanzo kilianza baada ya 2pac kugoma kusign awe chini ya bad boys (kumbuka 2pac alikua chini ya Deathrow chini ya Suge Knight) baada ya tupac kugoma.. ikapelekea bifu kati yake na tupac hiyo ikapelekea kuwa na mnyukano kati yao..
baadaye pdidy akawa na wasiwasi kuwa tupac angemuua so akaona ni vyema amuwahi yeye,
Baada ya tupac kufa Suge Knight akaandaa vijana kwenda kulipa kisasi kwa kumuua BIG..
Kumbuka big na pdidy walikua marafiki na pia ni mmiliki mwenza wa bad boys records
Kwa hiyo jamaa anahitimisha kuwa Tupac aliuawa na Pdidy na Big aliuawa na Suge marion knight
kwa nini serikali ya US haikuwakamata wahusika,
yy anasema kuwa kipindi hicho hao jamaa walikua macelebrity wakubwa marekani na pia walikua na mashabiki wengi sana, pamoja na upinzani baina yao (East and West Team) hivyo ingeweza kuleta fujo na muendelezo wa kulipizana visasi baina ya hayo makundi, so wakaipotezea kiaina
Hivi kuna watu waliamini au bado wanaamini hii kitu kuwa yupo hai.
Nani alimuua big na nini chanzo?Mimi naamini kabisa aliyemuua 2pac ni orlando anderson aka baby lane, huyu ni member wa kundi la crips na ambae alikua ana miaka 21 akifanya tukio hilo, orlando pia baadae aliwahi kusikika akijisifu kuwa yeye ndio aliyemmaliza makaveli baadae nae orlando aliuawa kwenye tukio lingine katika carwash.
Wakati 2pac akitoka kwenye pambano la tyson mjini vegas, mmoja wa watu waliokua kwenye entourage yake alimwambia tupac kuwa kijana aliekua kasimama pembeni wakati wao wanapita aliwahi kumuibia vito vyake vya thamani na kwamba pia ni member wa crips, wakati huo baby lane alikua kasimama pembeni, moja kwa moja 2 pac alimfata ns kuanza kumpiga yeye na kundi lake aliemtoa 2pac hapo ni bodyguard wake anaitwa big frank....
Baby lane alipigwa na tukio hilo lilionekana kwenye cctv, akavuka hadi ngambo ya pili kwenda hotel ambayo genge la crips liliikodisha kwa ajili ya member wake usiku wa pambano hilo walikua wamekodi hoteli nzima
Orlando aliwahi kukiri kuwa kitendo cha yeye kupigwa na 2pac kilifanya buzz yake ijae mesage kabla hata hajafika alipata mesage zaidi ya mia nne ndani ya dakika 20 kutoka kwa member wenzake
Baadae tupac wakaenda kwenye jumba la suge hapo vegas halafu 2pac akamuomba frank awaendeshe ndugu zake wa outlaws maana walikua wamelewa sana so 2pac na suge wakaingia kwenye hiyo bmw ya version 2007 na kuondoka kuelekea club 662 ya suge
Walifika kwenye mataa na 2pac akawa anawashangaa madem waliokua kwenye cadilac na kutaniana na ghafla ikaja cadilac nyeupe na kupaki na ghafla akaibuka mtu kwenye roof na kummiminia 2pac risasi
2pac alikufa siku saba baadae baada ya mama yake kusema kuwa life suport machine iondolewe na baada ya miezi kadhaa orlando alikua akijisifu kuwa kamuua 2pac
Orlando aliishi maisha ya kujificha hadi alipokufa mwaka 2007 na pia mama yake 2pac aliwahi kumshtaki orlando kwa kosa la kumuua mwanae
Nimeandika kwa ufupi sana kama una swali kuhusu 2pac au big unaweza kuniuliza na nitakujibu
Hv ndivyo ninavyoamini
Maofisa wa LAPD waliokua kwenye payroll ya Deathrow
Kumbe Suge alikua noma sana.Maofisa wa LAPD waliokua kwenye payroll ya Deathrow
Lolote linawezekana, mi nadhani CIA ndo wahusika wakuu.Angalia rafiki zake Tupac waliokuwa wanajua siri za TUPAC wote walikufa,kina gadafi,iddi amin nk