cjaelewa mkuu na sitaelewa... Labda wewe ndo cku moja utanielewa mimi.mkuu kwanini usiamini? Kuna mtu ataishi milele? Ungeckia ndg yako wakaribu amekufa nadhani ungeamini 1 kwa 1! Wakati mwingine 2cmkufuru mungu kifo cha mwanadamu % kubwa kinatokana na lyf style yake! Mpaka hapo naamini umeelewa namaanisha nini!
Sijawai kuamini kuwa 2pac ni marehemu hata siku moja na sitakuja kuamini
Hivi Pac ange anzishu dini yake, angekosa waumini kweli?
Tupac wala hajafa, kama ukitaka kuliamini hili ingia You tube na kisha andika 'Tupac is alive' utaona utaletewa nini.
Kwa wale ambao hawatakuwa na muda wa kuangalia ngoja niwaambie kile ambacho watakikuta huko.
Watakuonyeshea video mbalimbali ambazo zinamuonyesha tupac akiwa hai nchini Cuba huku akionekana kuwa na umri mkubwa kwani hata uso wake unaonekana kuingia kwenye uzee. Ukiachana na hivyo pia utaona video nyingine akiwa anacheza na wanawake na video nyingine anaonekana yupo pamoja na Sugar Knight na kumwambia 'Ule mchezo tulioucheza umekwenda vizuri sana japokuwa wakati mwingine ulita kuharibika."
Wote wanacheka na kufurahi. Mama yake Tupac alipokuwa ameulizwa alisema wazi kwamba anajua mwanae hajafa. Wasanii wengi wa Marekani wanajua kwamba Tupac yupo nchini Cuba. Nadhani hii ndio maana ya Tupac kujipa jina la h, huyo alikuwa mwanaume ambaye alitangaza amekufa, akakaa mafichoni kwa miaka 18.
Huu ni mwaka wa 17 toka Tupac itangazwe kwamba amekufa, mwaka kesho (2014) ndio anatimiza miaka 18, je atarudi kama ilivyokuwa kwa Machaveli?
Hatujui, cha msingi tuendelee kusubiri, ila kwenye hizo video wanaonyesha vitu vingi sana ikiwemo mpaka kuonekana mitaani baada ya kifo chake, gari alilokuwa akilitumia kuwa tofauti na alilopigiwa risasi, yapo mambo mengi mno ambayo yote yaukiyaona, mwisho wa siku utasema Tupac hajafa.
Tatizo la YouTube si kila video inayokuwa uploaded ni valid kuna baadhi ya watu wanaupload some fake videos ili kupata followers wengi au umarufu tu as a matter of fact ndio tatizo la social networks siku hizi as long as hakuna anacheck uhalali wa post people tend to misuse them
Ishu ni kwamba 2Pac alisha uwawa na aliye muua sio BIG wala suge knight ila wakati 2Pac anapata umaarufu alikuwa anahit ajika sana na kundi la (Freemasons) ila kwa sababu pac alikuwa anawapinga sana ndipo alipoamua hata kuwa ponda sana kwenye nyimbo zake kama wewe ni mfuatiliaji wa nyimbo zake utaona kuna sehemu aliwaponda live bila hata ya kuwaogopa japo sikumbuki jina la huo wimbo ila nitakupa jina lake uusikilize. Pia ilifika hatua pac kutabiri kifo chake na sio hata kutabiri ila alishajua kuwa hana mda mrefu wakuishi na hii ni kwa sababu Pac alikuwa ni msanii mwenye mashabiki wengi hivyo walijaribu kumzibia milango ya kimuziki yaani kumshusha katika soko la muziki lakini walishindwa kutokana na kuwa alikuwa anakubalika sana yaani kama mungu hivyo wakashindwa, Njia waliyo iona Nzuri ni kumpoteza na ndo mana hata swala la mauaji yake unaona kama yamepuuzwa namaanisha wameshindwa kumpata muuaji, Sio yeye tu bali wapo wengi ambao walikutana na mikasa hiyo kama Michael Jackson yeye aliingizwa huko bila ya kujijua ila alipokuja kujua akatoka na kuwatangaza ndipo nayeye aka poromoshwa mpaka akataka hata kufilisika mpaka dakika ya mwisho sema nayeye alikuwa na mashabiki wengi ila wakaona wampotezetu
kuna wengine wame kataa kujiunga na chama na mpaka sasa maisha yao kimuziki yanayumba mfano 50Cent kapotezwa kabisa anajaribu kila sehem lakini hakuna kitu mpaka anaingia kwenye filam
Eminem yeye walikuwa wamemficha kabisa alipokataa kujiunga sizani kama kuna mwana hiphop aliyekuwa anachana kumzidi Eminem lakini bado alikuwa hawiki ila sasa kajiunga Nadhani juzi alishinda Youtube musik award
Rapa mwingine ambaye kapotezwa kabisa ni Ja Rule huyu wamekuwa wakimbambikizia kesi za hapa na pale hivyo kumfanya asiwe anaonekana kabisa kwenye industry ya music
Hawa jamaa ndo walivyo wakikuona una kubalika sana wanakushawishi ujiunge nao ili wakutumie utakavyo ila kama ukikataa wanakupoteza wenyewe
Mfano kanye west alikuwa Rapa mzuri sana ila toka ajiunge nao Naona anapotea japo amezidi kuwa maarufu lakini kitu ambacho amekuwa akiimba sijakielewa mfano hii album yake mpya kuna nyimbo kama Yeezus,am agod nibalaa yani imefika hatua mpaka anajiita mungu ila na yeye sa iv ndo anajishtukia kuwa yuko kwenye taasisi yaajabu maana kawageuka Nakupa home work nenda youtube cheki kanyewest new video inaitwa New slave halaf uone alivyo wehuka ndo utajua This industry is Fuked up
Ukweli ni kwamba kuna theory nyingi sana behind hiyo kitu!!
B.I.G wala P.Didy na Bad Boys hawakuhusika! coz hawajawahi kutajwa kwenye theory yoyote.
- Kuna wanaosema Suge anahusika coz alikuwa na maden mengi kutoka kwa 2Pac (pesa nyingi za 2Pac zilitumika kulipia matatizo ya wasanii wa Deathrow). Pia wanasemamkataba ulikuwa unaelekea kwao so kwakua deni ni kubwa mchiz akaona bora braza apotee!!
- Kuna wanaosema ni Baby Rando (member wa clips) na anko wake coz alikuwa na bifu na dogo!! Bif lenyewe lilikuwa ivi, Clips walivamia msafara wa Deathrow members huko New York na wanadai Pac alimtambua Baby Rando! katka pambano moja la Tyso Braza Pac akamuona Rando na kumshushia kipigo so likawa bifu!!
- Kuna wanaodai ni members wa Clips coz kuna cku aliwatoa mkuku na mkasi kutoka duka flan so wakawa wanadhihakiwa na rival gang 'Bloods'!
- Kuna wanaodai ni LAPD coz kuna kipind Braza Pac alimshoot polis mmoja shaba ya ----!!
Ila ukweli nnaoujua mm ni kuwa B.I.G aliuawa kwa mpango wa Suge Knight. na mpango wenyewe ulikuwa organized na dem wake yeye mwenyewe akiwa gerezani!!
Hizo zote ni according to theories msinijaji mm!! kipindi hiko nilikuwa bado dogo tu! tena shabiki wa koffi olomide na Awilo Longomba!! nimeanza kufatilia Hip HOp na matukio yake mwaka 2008 tu!!! :smile-big::smile-big::smile-big:
Ishu ni kwamba 2Pac alisha uwawa na aliye muua sio BIG wala suge knight ila wakati 2Pac anapata umaarufu alikuwa anahit ajika sana na kundi la (Freemasons) ila kwa sababu pac alikuwa anawapinga sana ndipo alipoamua hata kuwa ponda sana kwenye nyimbo zake kama wewe ni mfuatiliaji wa nyimbo zake utaona kuna sehemu aliwaponda live bila hata ya kuwaogopa japo sikumbuki jina la huo wimbo ila nitakupa jina lake uusikilize. Pia ilifika hatua pac kutabiri kifo chake na sio hata kutabiri ila alishajua kuwa hana mda mrefu wakuishi na hii ni kwa sababu Pac alikuwa ni msanii mwenye mashabiki wengi hivyo walijaribu kumzibia milango ya kimuziki yaani kumshusha katika soko la muziki lakini walishindwa kutokana na kuwa alikuwa anakubalika sana yaani kama mungu hivyo wakashindwa, Njia waliyo iona Nzuri ni kumpoteza na ndo mana hata swala la mauaji yake unaona kama yamepuuzwa namaanisha wameshindwa kumpata muuaji, Sio yeye tu bali wapo wengi ambao walikutana na mikasa hiyo kama Michael Jackson yeye aliingizwa huko bila ya kujijua ila alipokuja kujua akatoka na kuwatangaza ndipo nayeye aka poromoshwa mpaka akataka hata kufilisika mpaka dakika ya mwisho sema nayeye alikuwa na mashabiki wengi ila wakaona wampotezetu
kuna wengine wame kataa kujiunga na chama na mpaka sasa maisha yao kimuziki yanayumba mfano 50Cent kapotezwa kabisa anajaribu kila sehem lakini hakuna kitu mpaka anaingia kwenye filam
Eminem yeye walikuwa wamemficha kabisa alipokataa kujiunga sizani kama kuna mwana hiphop aliyekuwa anachana kumzidi Eminem lakini bado alikuwa hawiki ila sasa kajiunga Nadhani juzi alishinda Youtube musik award
Rapa mwingine ambaye kapotezwa kabisa ni Ja Rule huyu wamekuwa wakimbambikizia kesi za hapa na pale hivyo kumfanya asiwe anaonekana kabisa kwenye industry ya music
Hawa jamaa ndo walivyo wakikuona una kubalika sana wanakushawishi ujiunge nao ili wakutumie utakavyo ila kama ukikataa wanakupoteza wenyewe
Mfano kanye west alikuwa Rapa mzuri sana ila toka ajiunge nao Naona anapotea japo amezidi kuwa maarufu lakini kitu ambacho amekuwa akiimba sijakielewa mfano hii album yake mpya kuna nyimbo kama Yeezus,am agod nibalaa yani imefika hatua mpaka anajiita mungu ila na yeye sa iv ndo anajishtukia kuwa yuko kwenye taasisi yaajabu maana kawageuka Nakupa home work nenda youtube cheki kanyewest new video inaitwa New slave halaf uone alivyo wehuka ndo utajua This industry is Fuked up
Kwa mimi ninaegemea kwa Baby lane na Uncle wake!! coz kuna theory inayodai kuwa bodyguard wa tupac alimuona dogo!! ila according to retired Police Officer aliyetoa hiyo evidennce anadai kuwa sheria ya California haiwezekan mtu kushtakiwa kwa murder case by ushahidi wa mtu mmoja!!Kwa mtazamo wangu we team B.I.G small/bad boys safi sana..nakumbuka kipindi tunaanza fatilia hip hop music lazima uchague upande either 2pac & Death row or BIG & Bad boys na kibongo bongo wengi tulikua team 2pac sijui kwanini binafsi nimeanza ufatilia muziki wa BIG miaka ya hivi karibuni ila uko nyuma ni mwendo wa Pac tu hakuna mwingine
Hizo conspiracy theories ulizozitaja ndio zimenifanya nilite uzi huu nakutaka kuupata ukweli uliojificha binafsi naamini kifo cha Pac ni mkono wa Suge Knight...je wewe unaegemea wapi..??
Ishu ni kwamba 2Pac alisha uwawa na aliye muua sio BIG wala suge knight ila wakati 2Pac anapata umaarufu alikuwa anahit ajika sana na kundi la (Freemasons) ila kwa sababu pac alikuwa anawapinga sana ndipo alipoamua hata kuwa ponda sana kwenye nyimbo zake kama wewe ni mfuatiliaji wa nyimbo zake utaona kuna sehemu aliwaponda live bila hata ya kuwaogopa japo sikumbuki jina la huo wimbo ila nitakupa jina lake uusikilize. Pia ilifika hatua pac kutabiri kifo chake na sio hata kutabiri ila alishajua kuwa hana mda mrefu wakuishi na hii ni kwa sababu Pac alikuwa ni msanii mwenye mashabiki wengi hivyo walijaribu kumzibia milango ya kimuziki yaani kumshusha katika soko la muziki lakini walishindwa kutokana na kuwa alikuwa anakubalika sana yaani kama mungu hivyo wakashindwa, Njia waliyo iona Nzuri ni kumpoteza na ndo mana hata swala la mauaji yake unaona kama yamepuuzwa namaanisha wameshindwa kumpata muuaji, Sio yeye tu bali wapo wengi ambao walikutana na mikasa hiyo kama Michael Jackson yeye aliingizwa huko bila ya kujijua ila alipokuja kujua akatoka na kuwatangaza ndipo nayeye aka poromoshwa mpaka akataka hata kufilisika mpaka dakika ya mwisho sema nayeye alikuwa na mashabiki wengi ila wakaona wampotezetu
kuna wengine wame kataa kujiunga na chama na mpaka sasa maisha yao kimuziki yanayumba mfano 50Cent kapotezwa kabisa anajaribu kila sehem lakini hakuna kitu mpaka anaingia kwenye filam
Eminem yeye walikuwa wamemficha kabisa alipokataa kujiunga sizani kama kuna mwana hiphop aliyekuwa anachana kumzidi Eminem lakini bado alikuwa hawiki ila sasa kajiunga Nadhani juzi alishinda Youtube musik award
Rapa mwingine ambaye kapotezwa kabisa ni Ja Rule huyu wamekuwa wakimbambikizia kesi za hapa na pale hivyo kumfanya asiwe anaonekana kabisa kwenye industry ya music
Hawa jamaa ndo walivyo wakikuona una kubalika sana wanakushawishi ujiunge nao ili wakutumie utakavyo ila kama ukikataa wanakupoteza wenyewe
Mfano kanye west alikuwa Rapa mzuri sana ila toka ajiunge nao Naona anapotea japo amezidi kuwa maarufu lakini kitu ambacho amekuwa akiimba sijakielewa mfano hii album yake mpya kuna nyimbo kama Yeezus,am agod nibalaa yani imefika hatua mpaka anajiita mungu ila na yeye sa iv ndo anajishtukia kuwa yuko kwenye taasisi yaajabu maana kawageuka Nakupa home work nenda youtube cheki kanyewest new video inaitwa New slave halaf uone alivyo wehuka ndo utajua This industry is Fuked up
Freemason ni jamii ya siri(Secret society) Na hii ndo inayosababisha mpaka sasa kila m2 Anashindwa kuelewa kuwa nani anahusika na kifo cha Pac au Pac yuko hai au Aliye muua ni B.I.G au ni Suge Knight au ni nani
Kingine Nikushindwa kujua Nikwa nini Hawa C I A wanashindwa kumpata muuaji wa Pac wakati ndo shirika linaloaminika kwa upelelezi duniani!!!
Inaonyesha kuwa kuna usiri uko ndani yake.
Kwa jinsi ninavyo amini hawa C I A huwa wanaongozwa na Freemason Hiki ndicho kinacho sababisha Usijue kua Pac kauwawa na nani au yuko Hai
Kuhusu MJ hilo la kuji over dose sipingani na wewe ila unakumbuka siku za nyuma kabla ya kifo chake alikuwa ameshuka sana kimuziki!!
Na alishawahi kuhojiwa na MTV nakusema kua alikuwa anapokea mikataba mizuri kutoka ktk makampuni tofauti na hakujua kuwa ni Devil nabaada ya kuwaweka waz alianza kufirisiwa mpaka akawa anajiingiza kwenye madawa na mpaka kufikia kufa huo ulikuwa ni mpango
Swali ni kwamba je toka ijulikane kuwa dr wa mj ndo aliyesababisha kifo chake umeshaona akichukuliwa hatua yoyote kwa hili jambo? Mm na ww hatujui zaidi ya kusikia tu kuwa dr imekuwa hv dr imekuwa vile.
Sikuambii kwamba uniamini ninacho kichangia hapa kwan umeweka uzi hapa hivyo kwa mm ni mechangia kwa kile ambacho nimefuatilia nakukijua na hii yote ni sababu tulikuwa tunamkubali Pac
Chris
Kwa mimi ninaegemea kwa Baby lane na Uncle wake!! coz kuna theory inayodai kuwa bodyguard wa tupac alimuona dogo!! ila according to retired Police Officer aliyetoa hiyo evidennce anadai kuwa sheria ya California haiwezekan mtu kushtakiwa kwa murder case by ushahidi wa mtu mmoja!!
Pia dogo alishahojiwa na akaachiwa kwa kukosa ushahid ila inasemekana ana ushirikiano wa karbu na macriminal kibao!!
Attachments hapo chini ni sketch of the muderer na nyingine ndo Baby Lane mwenyewe!!
View attachment 126194View attachment 126195
Hili swali nilishamuuliza mchangiji mmoja hapo awali kuhusu baby lane...
Wote tunajua usiku wa tukio la kifo cha pac baby lane alipigwa na pac akishirikiana na suge..ka kwl baby lane alikua anafanya revenge ya hicho kisa aliwezaje kujipanga kwa muda mchache huo kufanya the. "world undiscovered assassination" na alimpataje huyo hit man wa kuweza kuexecute hiyo mission kwa ustadi mkubwa kiasi kile..zingatia time flame ya kupigwa kwa baby lane na tukio la kuuwawa kwa pac