The Malawi-Tanzania Boundary Dispute Journal Article published in 1973

seems like hatuna chetu hapo. ni hot air tu hatuna basis za maana..tukileta mchezo wangereza watatufanyia kama walivomfanyia Gadafi. mi nafikiri kama wamalawi wakikataa kutupa walau kms kadhaa baada ya fukwe, ujeuri pekee tunaoeza fanya ni kuu-divert mto Songwe na kumaliza maji yake yote humuhumu kwa kilimo cha umwagiliaji na kujenga embankment kubwa sana maji yasiende ziwani tena...hiyo ndo dawa na jirani mkorofi.

Acha uoga wa kike wewe, unadhani ni kwa nini miaka yote hiyo Banda alikuwa anaongelea hilo suala kwa kutokwa na mapovu hakuwahi kulichukua hilo ziwa lote! Huwezi kufanya 'conclusion' kwa kuzingatia article moja tena iliyoandikwa na (pengine) m-Malawi. Huyo mwanamke wa Malawi akikutana na wanaume waoga kama wewe unayedhani mifano ya Ghadafi anaweza kuchukua hata sehemu zingine za nchi kavu. Alewe ndugu yangu, Tutaendelea kutumia hilo ziwa kwa manufaa ya wananchi wetu daima kama ambavyo tumeendelea kulitumia tangu tupate uhuru.
 
Mi naombea tuingie Malawi nikachukue mali kulaini na kurudi tajiri toka vitani
 
Now I understand why our government is handling this matter cautiously. Tukikurupuka inakula kwetu!. They are more likely to win the case than us, at least according the facts and opinions presented in this article.
 

Hapo kwenye red, mbona sioni ushadi wa hoja hii??? Rejea na ramani ya Africa iliyotokana na Mkutano wa Berlin/Scramble for Africa.
Nchi zilizokuwa makoloni ya Mreno ni rangi ya Zambarau, na ya Mwingereza ni rangi ya Brown

Early human inhabitants of what is now Malawi date to 8000–2000 B.C. Bantu-speaking peoples migrated there between the 1st and 4th centuries A.D. A large slave trade took place in the 18th and 19th centuries and brought Islam to the region. At the same time, missionaries introduced Christianity. Several major kingdoms were established in the precolonial period: the Maravi in 1480, the Ngonde in 1600, and the Chikulamayembe in the 18th century.


The first European to make extensive explorations in the area was David Livingstone in the 1850s and 1860s. In 1884, Cecil Rhodes's British South African Company received a charter to develop the country. The company came into conflict with the Arab slavers in 1887–1889. Britain annexed what was then called the Nyasaland territory in 1891 and made it a protectorate in 1892. Sir Harry Johnstone, the first high commissioner, used Royal Navy gunboats to wipe out the slavers. Between 1951 and 1953, Britain combined Nyasaland with the colonies of Northern and Southern Rhodesia to form a federation, a move protested by black Africans who were wary of alignment with the ultra conservative white minority rule in South Rhodesia.


Source: Malawi: Maps, History, Geography, Government, Culture, Facts, Guide & Travel/Holidays/Cities — Infoplease.com


View attachment 60792
The 1890 British Ultimatum was an ultimatum by the British government delivered on 11 January 1890 to Portugal in breach of the Treaty of Windsor of 1386. The ultimatum forced the retreat of Portuguese military forces in the land between the Portuguese colonies of Mozambique and Angola (most of present-day Zimbabwe and Zambia) which had been claimed by Portugal and included in its "Pink Map", which had clashed with British aspirations to create a Cape to Cairo Railway, thereby linking its colonies from the north of Africa to the very south.

Map showing incomplete British control of the Cape to Cairo route, 1913.
British colonies
Portuguese colonies



When Portugal acquiesced to British demands, it was seen as a national humiliation by republicans in Portugal, who denounced the government and the King as responsible for it. The government fell, and António de Serpa Pimentel was appointed Prime Minister. The British Ultimatum inspired the original lyrics of the Portuguese National Anthem, "A Portuguesa". The 1890 British Ultimatum was considered by Portuguese historians and politicians at that time to be the most outrageous and infamous action of Britain against her oldest ally.[SUP][1][/SUP]
On 20 August 1890 the Treaty of London was signed between Portugal and the United Kingdom, defining the territorial limits of Angola and Mozambique. The treaty was published in the Diário do Governo (Portugal's Government Diary) on 30 August and presented to the parliament that same day, leading to a new wave of protests and the downfall of the Portuguese government. When this treaty was not ratified, a new treaty was afterwards negotiated and accepted by both governments the following June.



The Pink Map: areas claimed by Portugal before the Ultimatum.
 
Lake Nyasa, also called Lake Malawi, lake, southernmost and third largest of the East African Rift Valley lakes of East Africa, lying in a deep trough mainly within Malawi. The existence of the lake was reported by a Portuguese explorer, Caspar Boccaro, in 1616. David Livingstone, the British explorer-missionary, reached it from the south in 1859.The lake's middle line and its northern and eastern shores form much of Malawi's boundary with Tanzania and Mozambique. Its north-south length is 363 miles (584 km); its width varies from 10 to 50 miles (16 to 80 km); and its area is 11,430 square miles (29,604 square km). The surface of the lake is 1,550 feet (472 metres) above sea level, and the depth increases to 2,310 feet (704 metres) toward the northern end, where the forested Livingstone Mountains to the east and the Nyika Plateau and Viphya Mountains to the west fall precipitously down to the lakeshore (Source: <http://www.britannica.com/EBchecked/topic/423027/Lake-Nyasa>
 

Attachments

  • Lake Malawi.pdf
    36.8 KB · Views: 66
published by The Journal of Modern African Studies

samahani wadau nimeshindwa kusoma na kuwapa summary ya kilichoandikwa. Ila naamini wapo wadau hii article wangependa kuisoma


Mkuu heshima kwako na asante kwa chapisho kwa wanajamii forums lakini mbona haifunguki natumia pdf versions 5 na hata nilipojaribu version 9 iligoma. msaada tafadhali kama utanitumia kwenye email. Asante
 
article inaonekana ipo biased sana tu, na sishangai kwa sababu miaka hiyo ilipokuwa published, Tz ilikuwa katikati ya harakati za ukombozi wa Africa, na Malawi ilikuwa bega kwa bega na makaburu, so sitegemei mwandishi yeyote colonial side kuandika ukweli mtupu kuhusu any claims za watanzania hasusan kuhusu mpaka wake na Malawi.

pili kuna mengi tu mazito yaliyoandikwa humo bila proper referencing, au referencing obligations tunazozijua sasa hazikuwapo wakati huo

Matatizo ya kuandikiwa historia na wazungu ndio kama haya....hivi hatuna record zetu wenyewe kuhusu hili suala?
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom