The Joint pub....(mabibo garage)!!!

Hangover inatibiwa na vyakula vichafu?
Hang over ni upotevu wa electrolytes kwenye mwili baada ya kunywa na kupass urine mara nyingi, ndiyo maana unajisikia kunywa supu ya chumvi au milkshake. Kuhusu supu kuwa chafu hilo sina uhakika, ninaona ni supu ya mchesho wa kitu kama utumbo au kongoro.
 
Haya bhana. Enjoy that 'dirty' meal.
 
Watu humu wanajifanya matawi ya juu eti supu chafu tupieni zenu safi zisizo na ladha.
download.jpg

Karibu mkuu asubuhi asubuhi, wazungu wanaiita Brunch.
 
Mkia hauna tofauti na kongoro lazima uchomwe uparuriwe kabla ya kupikwa au wenzetu mkichinja mbuzi miguu na vichwa mnatupa? JF watu kwa kujifanya matajiri! mkuu wewe hiyo supu kula tupo na wengine tunaokula hao mabishoo kivyao.
nashukuru mkuu kweli we mama kubww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom