The Joint pub....(mabibo garage)!!!

Jamani wakuu sehemu gani ntapata kitimoto safi, changa,tamu yenye mvuto?

Kijiwe changu cha zamani wanazingua now full kurost vitmoto vilivyozeeka no ladha!
 
Tena ni kitamu sana, hapo kwenye supu unaongeza pilipili, hang over unaiaga.
Dah! Kumbe unatumia pombe... Supu kama hyo kwa sisi wala maji unaitia pilipili nyingi unaifakamia unanunua maji makubwa ya Kilimanjaro makubwa ya baridi unayatandika hapo hang over yote kwisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom