Mimi nataka kujua mshana uwa unatunga au unauharisia na hizo story za uchawi? Kama ni ndio unashiriki na wenzio wanakupa ruhusa amaAsaalam, karibu katika mahojiano ya moja kwa moja hapa JF. Mhojiwa leo ni mshana jr mimi mwanzisha uzi ndiye Host.
Labda niseme tu leo mshana jr atahojiwa kila kitu, hasa kipaji chake alichojaliwa na bila kupepesa macho majibu atakayotoa angalau Yatatufungua macho tujue ulozi, uganga, uchawi umekaa vipi.
Naomba mshiriki kwa kusoma tu. Narudi tena kwa kusoma tu hadi pale muda wa kuuliza maswali utakaporuhusiwa. Karibuni.
Meditation ya utambuzina nguvu za kuzimu lakini wengi hawanaNjia zipi watumiazo wachawi kuona mambo yajayo mshana?
Ni mnyama jamii ya ndege anatumika kiimani na kitamaduni ama kimila zaidi kuliko kishirikina ni kama bundi tuNi mara nyingi nimeskia kuhusu Dudumizi. Je ni nani ? Anatumikaje katika uchawi?
Kila nilichoandika kimepata shuhuda halisi za waathirikaMimi nataka kujua mshana uwa unatunga au unauharisia na hizo story za uchawi? Kama ni ndio unashiriki na wenzio wanakupa ruhusa ama
Upo sikumbuki jinaKuna mti ukiusaga ukajipaka usoni utaona matendo yote ya kichawi? Ni mti gani huu? Unapatiakana wapi Kwa Tanzania?
Ni hulka tu hatufananiSikuoni Ukomsalimia Salimia Katika Post Zako
Wale ni wanga sio wachawi, mchawi hana wakatiNi kwanini wachawi wanawanga sana usiku kuanzia saa nane mpaka saa tisa?
EheeeH.. kumbe kuna tofauti kati ya mchawi na mwanga(wanga)..!Wale ni wanga sio wachawi, mchawi hana wakati
ThanksAsante.
Japo weka sawa hapo mnyama halafu ndege tusije kuchanganyikiwa.
Ukimuamini itabidi ukapimwe IQInawezekanaje mganga ye ni maskini halafu anasema anaweza kukupa utajiri, kwa nini asijitajirishe yeye kwanza
Asante nitautafuta siku moja.Upo sikumbuki jina
Upo mwingine unakukinga
Upo mwingine unakupa nyekewa
Na kuna n mmoja unaitwa mkafiri unatumika pia kwenye ishu za uganga