The Interview: mshana Jr.

Dah kuwaelewesha wa Tanzania ni kazi sana. Yaani tahadhari imetolewa mapema kabisa lakini hakuna aliyeelewa. Kibaya zaidi kuna wanaouliza maswali ya kijinga kabisa.
Mimi naomba kama imeshindikana kufuata protocol mjadala interview ifungwe tu.
Nawasilisha
 
Nitarejea naomba uvumilivu wenu
 
Gamboshi ipo ni kijiji cha kawaida machoni pa wengi ila kwenye dunia ya giza ni habari nyingine
Vyeo vya wachawi vipo kutegemeana na makafara lakini kuna ranks zinazotambulishwa na bangili ya shaba mkononi
Kuhusu mabangili ya shaba:kuna mtu alinambia kuwa yanazuia mapepo pia ni kinga kwa mfano kutochukuliwa pesa na wazee wa chuma ulete,hii imekaaje?
 
naomba kuelewa kuhusu uhusiano wa wachawi na majini,je hawa watu ni maadui au ni marafiki sana,je binadamu anaweza kuwa mchawi halafu muda huo huo ana mapepo au majini
 
Uzi upo vizuri.
Mshana, ningependa kujua aina ya meditation unayofanya pia kama utaweza kutoa realization za ndani za hiyo meditation itakuwa vizuri
 
Mshana Jr Kwann Ww Husalimiani Na Watu Wala Kubebishana Na Watu Katika Nyuzi Je Inamaanisha Huna Ndugu Wala Mpenzi Humu Jf?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…