The internet is undefeated: A painful lesson

..tatizo hawa ndugu zetu UONGO wao wanalazimisha.

..yaani ukiwashtukia unakuwa ADUI yao na wanaweza kukudhuru.

..kitu kingine Mama Samia alisema Magufuli alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa miaka karibu 10.

..kwanini wananchi hawakuelezwa ukweli huo, wanakuja kuambiwa wakati kiongozi amekufa?
Fair question.

Lakini pia hapo nadhani kuna suala la privacy pia. At what point does it start to be too intrusive?

Je, wananchi wanapaswa waelezwe kila tatizo la kiafya alonalo Rais wao? Kwa hiyo na sasa tuambiwe kila tatizo la kiafya alilonalo Mama Samia?

Sioni haja hiyo.

Ila, kuufahamisha umma kama Rais amelazwa ni suala ambalo raia wanastahili kulijua.
 
..Jpm alikuwa haendi safari ndefu nje ya nchi kwasababu ya tatizo la moyo alilokuwa nalo.

..kwasababu hiyo naamini wananchi walitakiwa waambiwe ukweli na sio kudanganywa-danganywa.

..Tayari kulishakuwa na utamaduni wa kuficha-ficha afya ya Magufuli, na hili siyo jambo lililoibuka kipindi cha mwisho cha maisha yake.
 
I agree.
 
Fair question.

Lakini pia hapo nadhani kuna suala la privacy pia. At what point does it start to be too intrusive?

Je, wananchi wanapaswa waelezwe kila tatizo la kiafya alonalo Rais wao? Kwa hiyo na sasa tuambiwe kila tatizo la kiafya alilonalo Mama Samia?

Sioni haja hiyo.

Ila, kuufahamisha umma kama Rais amelazwa ni suala ambalo raia wanastahili kulijua.
Ni hivi, mtu akitaka kugombea Urais au kuteuliwa kuwa mgombea lazima Afya yake ihakikiwe na jopo la madaktari kuwa iko madhubuti. Kama Magufuli alikuwa na tatizo la Moyo unaotumia umeme tangia 2010 kwanini CCM walimkubalia agombee Urahisi 2015 ilhali ana matatizo ya moyo?
Hatukatai mtu kuugua akiwa Rais but let that ill-health happen to the Predident while already in office and not otherwise!!!
Hivi mtu ana Pressure, ana HIV au TB mnataka awe Rais ili iweje?
Uzembe kama huo haya ndo matokeo yake.
 
Uko sahihi kwenye hili Ngabu.
Lakini Wahenga walisema "Tabia haina dawa".
Kwa haraka ukitazama ni vigumu watu waliozoea mfumo wa maisha na kazi uliojaa uongo na hila kubadilika ( I hope they prove me wrong), Kwani zama za internet na teknolojia zimeanza leo? Zilikuwepo, tuliingia wote lakini wenzetu wameamua kudhani kuwa tuko zama za analojia tu.
Mabadiliko hasa ya tabia na fikra sio kitu rahisi kwa mwanadamu, sembuse Serikali au chama!
 
Ni hivi, mtu akitaka kugombea Urais au kuteuliwa kuwa mgombea lazima Afya yake ihakikiwe na jopo la madaktari kuwa iko madhubuti. Kama Magufuli alikuwa na tatizo la Moyo unaotumia umeme tangia 2010 kwanini CCM walimkubalia agombee Urahisi 2015 ilhali ana matatizo ya moyo?
Hatukatai mtu kuugua akiwa Rais but let that ill-health happen to the Predident while already in office and not otherwise!!!
Hivi mtu ana Pressure, ana HIV au TB mnataka awe Rais ili iweje?
Uzembe kama huo haya ndo matokeo yake.
What??

Hilo ni takwa la kikatiba???
 
Mkuu nakuunga mkono asilimia 20,000....eti Raisi anaenda kutibiwa hospital za uchochoroni kisa hawataki watu wajue kuwa anaumwa....ujinga mtupu. Kwea pipa nenda kwa wataalamu wa dunia huko...ukipona heri ukifa basi ila tunasema rais kafia kwenye mikono ya wababe wa dunia..siyo Mzena...Yaani nimekerekq Sana japo nilikuwa simpendi kabisa Jiwe ila nimejijuta tu nimekerekq balaa...yaani Rais wa nchi anakufa Kama Kuku???

Najaribu kufikiri mkasa wa Tundu Lissu mwaka 2017..

Kwamba, kwa hali ya kiafya aliyokuwa nayo, jinsi alivyokuwa amechakazwa na risasi zile halafu awe ktk hospitali hizi za Tanzania kama hiyo ya Mzena, nadhani tusingekuwa na Tundu Lissu leo....

Rais Magufuli kafa kizembe sana. Kwa hadhi ya Rais na ugonjwa unaotajwa kuwa alikuwa nao na kisha kuondoa uhai wake, angeishi miaka mingi kama wangekuwa wanajali...!!
 
Well said. Hili ni somo kubwa sana kwa serikali.
Serikali ipi Mkuu? Ya hawa maccm? Hawajapata kujifunza wala hawatajifunza kwa maana sifa kwao ndio kipaumbele...
Alisema Mwalimu "mubisabisa oburwaire ekiriro kiramubuura" mwisho wa kunukuu
 
Naona kuna watu wanalalamika marehemu kufia Mzena na wanasema angepelekwa tu nje! Kwanini aende nje ikiwa atawekeza inavyotakiwa kwenye sekta ya afya? Viongozi wafie tu kwenye hospitali zetu tena za serikali, hata private wasipelekwe.
 
Najaribu kufikiri mkasa wa Tundu Lissu mwaka 2017..

Kwamba, kwa hali ya kiafya aliyokuwa nayo, jinsi alivyokuwa amechakazwa na risasi zile halafu awe ktk hospitali hizi za Tanzania kama hiyo ya Mzena, nadhani tusingekuwa na Tundu Lissu leo....

Rais Magufuli kafa kizembe sana. Kwa hadhi ya Rais na ugonjwa unaotajwa kuwa alikuwa nao na kisha kuondoa uhai wake, angeishi miaka mingi kama wangekuwa wanajali...!!
Ila Magu naye alikuwa mbishi bwana...inawezekana hata doc wake alikuwa anamshauri kuhusu afya yake ila anakuwa mbishi tu. Na ile kuwa mm ndiye rais inakuwa basi Tena...jamaa hakutaka kabisa kutuata taratibu alikuwa anajiamualia mambo yake mwenyewe
 
Ni kweli. Jamaa alikuwa kaidi sana.
 
Back
Top Bottom