The internet is undefeated: A painful lesson

I hope this was a teachable moment.

From it, they will grow through what they went through and do better going forward...
You are right timely information sharing along the pyramid level of community interaction eliminates rumour mongering opportunity that triggers unnecessary mental stampede as it happened to the statesman health status and subsequent demise iannouncement during late hours whilst most had gone to bed [17/3/2021 at 1800hrs followed by death announcement at 2305hrs by Her excellence Samia Suluhu who was seemingly emotionally upset of the sad event]
 
Punguza mihemko hakuna mahali Lissu ametajwa. Naomba urudie tena kusoma, pia ni kupoteza mda kumchukia mtu asiyekujua tena bila sababu za msingi.
Mkuu mtu yeyote anayeonekana kuungwa mkono na watanzania hasa kwenye nafasi ya urais automatic mtu huyo anakuwa adui wa wachumia tumbo wa ccm,kwa hiyo si kwamba hawana sababu,sababu ni madaraka
 
Mfu ni mfu tu!
Anayefia kwenye kasri la kifalme na anayefia kwenye zizi la ng'ombe wote wamefariki wala hawana habari na yanayoendelea.
Kwanza huku mtaani fullu shangwe watu wamechangamka na bashasha tele,mfano wa skukuu!...
Kamata kamata ya wanaofurahia ianze haraka!
🤣🤣🤣
 
Lying to the people was the dumbest move anyone could make! The credibility of the VP and the PM has surely gone down the drain!
 
Absolutely...

Hii mambo ya serikali ya iliyokuwa chini ya "Magufuli" inafanyika "in a bizarre way"; in a very unusual way, in a extravagantly way...

Mama ana kazi ngumu kuuondoa utamaduni huu mbaya kabisa kwa sababu " the obstacle is out of the way...!"

😂😂😂😂

Go and do your homework again Mkuu wangu kuhusu mzizi Mkuu wa matatizo ya hii nchi.

Tuache blah blah..!

Magufuli kakuta utamaduni wa kishenzi, kapambana na utamaduni wa kishenzi and now washenzi wanamuona Magufuli mshenzi kaleta utamaduni wa kishenzi.

I appreciate Magufuli was far from being perfect

Ila Magufuli kaikuta nchi ina zaidi ya miaka 50 toka ipate uhuru wake ikiwa katika hali duni kimaendeleo, tukiwa tunapiga mapambio eti ooh! nchi yetu kipindi tunapata uhuru ilikuwa sawa na China.

What else than utamaduni wa kishenzi alioukuta Magufuli ndio umekuwa ukilidumaza taifa hili kila siku.?

Utamaduni uliolidumaza hili taifa kwa miaka 50+ is that what you call ameuharibu na unapaswa kurejeshwa?
 
Well said. Hili ni somo kubwa sana kwa serikali.
Huu utawala wa CCM bado wanafikiri tuko enzi za ujima!!!
Kwamba ili taarifa iwafikie Wananchi lazima Mtemi apige ngoma au mbinja kuwataarifa watu.
CCM must both understand and know that THE WORLD IS AT OUR FINGER TIPS. Ogopa sana teknologia ya Mawasiliano.
 
That was Magufuli's policy on information handling his illness and death. I hope that that will be the last time. Ni samaki aliyejikaanga kwa mafuta yake...

Majaliwa, Balozi wetu Namibia na RC wa Mbeya must resign. Walichokisema kimepingana na alichokisema Samia na ukweli ulivyodhihiri mwishoni.
 
Urais wa Magufuli uliisha 2020 october 28. Shetani asingeweza kumsogeza hata miezi 6 mbele.
 
Back
Top Bottom