Angalizo:
Greek tragedy
(ɡriːk ˈtrædʒədɪ)
Definitions
Collins English Dictionary
noun(in ancient Greek theatre) a play in which the protagonist, usually a man of importance andoutstanding personal qualities, falls to disaster through the combination of a personal failing and circumstances with which he cannot deal
But legacy and succession are vital to explaining what happened next....
1. Jakaya Kikwete alikuwa ni rais mwenye bahati ya kupendwa na kupewa goodwill na wananchi. In the end nadhani mnajua alivyokuwa compromised na icing on the cake ni kuwa in 10 years alizokaa madarakani hakuwahi kuwa na proper succession planning ndani na nje ya chama zaidi ya kumweka mbele waziri Membe kinyume na alama za nyakati kuwa Membe hakubaliki ndani na nje ya chama. Ushaidi ni namna ambayo alivyokuwa obsessed na anyone but Edward(Lowassa), ikapelekea Ben Mkapa kuona how flawed JK alivyo na kumzidi kete na kumweka candidate wake, the one and only John Pombe Magufuli. In otherwords, its almost 20 years since Mkapa kaondoka lakini watu wake aliowaweka kwenye strategic positions bado wapo na anaendelea kutengeneza empire yake. Jakaya on the otherhand alishindwa kutengeneza leaders kama yeye na sidhani kama ana mikakati ya kufanya hivyo hata nje ya madaraka. Sasa hivi tazama watu wake wa karibu ni wale wale waliokuwa wana mislead alipokuwa madarakani. Anajaribu kuji reinvent as international statesman wakati hapa on the ground ameshindwa kuwa statesman wa kupatanisha Zanzibar na mambo ya maendeleo ndani ya nchi.
Assumption moja kubwa na mbovu inayofanywa hapa ni kwamba Kikwete ni leader.
Kikwete si leader, ni usurper. Ni pretender. Ndiyo maana Mnyika akamuita "dhaifu".
Ukielewa hili, wala hutashangaa kwa nini kashindwa kumuweka successor wake na kwa nini Mkapa kaweza kumuweka wake.
By the way, hata Mkapa naye hakuweza kumuweka successor wake. Ingawa in his case, kwa sababu alimputa Kikwete kwa msaada wa Nyerere, inaonekana it was only right ampishe Kikwete, the then "president in waiting".
So one can say kwamba Mkapa alikuwa hajapata nafasi ya kumuweka successor wake, akampisha Kikwete kwa sababu kiukweli alichukua urais sehemu ambayo Kikwete alitakiwa kuwa rais, na sasa ndiyo Mkapa kapata nafasi ya kumuweka successor wake.
Kwa hiyo Kikwete naye kama ana ubavu na uhai, anaweza kupata nafasi ya kumuweka "successor" wake 2025.
The mere mention of that year sends shivers.
2. Salma Kikwete. Huyu mama ni mtu ambaye namkubali na nitaendelea kumkubali kwani pamoja na kuwa mwalimu lakini alitumia influence aliyonayo kuanzisha WAMA Foundation ambayo naming itakuwa imefanya makubwa mengi japo kwa miaka 10 ilitakiwa iwe kubwa mithili ya Clinton Foundation. Career wise mama angeweza kuwa Mbunge wa huko kwao kusini kwani anakubalika na resources zilikuwepo kumsaidia kupata kiti. Huyu mama ni jembe na naamini kuwa she has interests za kuendeleza elimu Tanzania na in particular kuendeleza watoto wakike. In the end hajawa Mbunge wa kuchaguliwa wala wa kuteuliwa. Sina hakika kama naye alitengeneza future women/girl leaders lakini naamini kuwa huyu mama itakuwa alifanyiwa mtimanyongo na wakwere asifike mbali zaidi.
The few times huyu Mama nimemsikia kaonekana intelligible, perhaps more so than he husband. But that may be due to the fact that I haven't heard much of her.
Kukataa ubunge kunaonesha ukomavu wake. Mama kashakuwa First Lady aende kujichanganya na kina Lema na Sugu bungeni kutukanana kwa nini wakati ana platform yake yenye unique gravitas?
3. Rizwani Kikwete. Need I say more? wanasema ukitaka kumjua Mfalme tazama waliomzunguka na washauri wake. Riz alikuwa one of the most powerful feared young politician nchi hii kutakana na nafasi ya baba yake na yeye mwenyewe kuwa mwanasiasa. Lakini ukitazama watu ambao watu wake ambao aliwasaidia ni mbunge wa Mkuranga (Ulega) ndani ya Chama sasa hivi hana influence kivyo,serikalini hana influence na kwenye biashara wanasema kuwa ile taskforce ya Magu is on his case kutokana na tuhuma mbali mbali rushwa. Gazeti lake limenunuliwa na Manji, Sielewi kama January Makamba aliweza kupata $10 million (
http://www.economist.com/node/17369767) toka kwa philanthropists wa Wall Street kusaidia jimbo la Bumbuli sasa Riz kashindwa vipi kupata pesa za kuendeleza jimbo lake? Sasa what went wrong? watu wake wa karibu wanasema kuwa circle yake imezungwa na watu wenye njaa, wanaomfia kila mara,anasikiliza majungu, na hana think tanks za kumsadia kuwa Uhuru Kenyatta ajae. The only success he has ni the one and only PAUL MAKONDA ambaye sasa hivi amemgeuka kuwa foot soldier wa Magu (kanda ya Ziwa mwenzie) bade ya kugundua kuwa he doesn't need Riz anymore. Huyu najiuliza alishindwa vipi kujizungusha na watu wenye kuona mbali na kumshauri vizuri? Riz alifika mahala kila kukicha anajibizana na tabloid media na kuwatisha atawashitaki. Yes this is what our dear precious Princeling Riz was reduced to.
Huyo guluguja ambaye hata herufi za Kiswahili hajui sioni hata umuhimu wa kumzungumzia. Sababu pekee tumemjua ni kuwa mtoto wa rais. Kama Kikwete ni dhaifu, basi Ridhiwani ni dhaifu wa dhaifu.
4. Miraji, etc...hawa sasa hivi wanatumwa na waarabu wa Home Shopping Centre kupitia foundation yao ya GSM. Cha kujiuliza inawezekana vipi mzee wao awe the most powerful man in this country for 10 years na immediately after leaving the office wanatumwa na kutumiwa na hawa wa Mahra? Ukweli ni kuwa the rest of the family ni sawa na familia zingine za kiswahili. Shule zao ndogo, na kama wamesoma wengi wao hawajaelimika, wanaendekeza majungu, wanaishi kama makamisheni na misheni town, na the only option waliyonayo ni hii ya kutumwa tumwa tuu na watu wenye pesa zao kama wahindi na waarabu. This should have been the most powerful and influential family in this country kwenye kila sekta (media, politics, business etc) kwa sababu ya impunity ya wakati wa baba yao (kwenye hili naomba niweke wazi kuwa exception ni kwa wale wasomi waliopo kwenye hii family ambao waliamua ku keep low profile na kuishi maisha ya kawaida). Hivi walishindwa kuset up Jakaya Kikweye Foundation? Why GSM aka Home Shopping Centre Foundation? Is this the best this family could come up with?
Tunarudi kule kule. Kikwete si leader. Kashindwa kuiandaa familia yake tu kufanya mambo makubwa, ulitegemea awe na succession plan ya maana?
In this case Jakaya Kikwete amefail na taratibu naangalia the House of Magufuli in the making...
Magufuli angalia rafiki zake zaidi kuliko familia. Mke wake amesema kwamba jamaa ana kichaa na hakufaa kuwa hata Waziri licha ya rais. Ndiyo maana mama alikuwa hataki kushiriki kampeni siku za kwanzan.
Ukitaka kujua Magufuli chizi angalia jinsi anavyo compromise uhusiano wetu na Kenya kwa kuweka mbele urafiki wake binafsi na Raila Odinga na kuleta beef za kitoto na Uhuru Kenyatta.