- Thread starter
- #121
Haha tunaongelea chances that they have missed.Familia ya Kikwete imepitia misukosuko mingi sana. Nafikiri ilikua familia ya Rais iliyoandikwa na kusemwa sana kwenye media tangu tupate uhuru. Iachwe ipumzike sasa.
Haha tunaongelea chances that they have missed.Familia ya Kikwete imepitia misukosuko mingi sana. Nafikiri ilikua familia ya Rais iliyoandikwa na kusemwa sana kwenye media tangu tupate uhuru. Iachwe ipumzike sasa.
Basi kama ni hivyo waliomtukana wamwombe radhi.Mm kama kwenye huu uzi mliyosema kweli bas kikwete alikua Rais wa wa tanzania wote sio mwaka tu ndg kibao serikalin watoto wa dada, shangaz cjui mjomba ngosha kibao uwanja wa ndege kwao nk kama mnampinga kikwete bas mnatengeneza mazingira mkuuu awe corrupt
Acheni jamani! kwa hiyo mnahitaji Rais akitoka aonyeshe UFISADI na Wizi? AU ajenge utawala wa kifalme na watoto warithi utawala? NO!! JK amechangia kujenga demokrasia nchi hii!! That is his legacy. Ambayo madikteta wanataka kuifuta leo!!Haha tunaongelea chances that they have missed.
Acheni jamani! kwa hiyo mnahitaji Rais akitoka aonyeshe UFISADI na Wizi? AU ajenge utawala wa kifalme na watoto warithi utawala? NO!! JK amechangia kujenga demokrasia nchi hii!! That is his legacy. Ambayo madikteta wanataka kuifuta leo!!
Yes alishindwa labda uchumi wale viwavi walipomtumia vibaya!! Democracy and freedom of expression is JKs legacy!! hata Mkapa hakuijenga ndiyo maana BM alitamani aturudishe nyuma kwa kutuletea JPM.
Na hilo jambo zuri?!! Kwamba kila rais ajenge kwao? Yes kwa hilo umepatia atajenga airport chato kama alivyodivert barabara isipite Biharamulo na kuijenga chato. This is not the type of leaders we have been looking for. For sure!!Chato kutakuwa na airport soon bagamoyo kuna nini?
Na hilo jambo zuri?!! Kwamba kila rais ajenge kwao? Yes kwa hilo umepatia atajenga airport chato kama alivyodivert barabara isipite Biharamulo na kuijenga chato. This is not the type of leaders we have been looking for. For sure. Kwa wale wataalam wanajua aina za rushwa hiyo ni corruption!! Hata zile allegation za kugawia ndugu/girlfriend nyumba za serikali ni corruption!! anayepinga abishe hapa!! Hata kujaza ngoshas kwenye ministries na statehouse ni corruption!!!
naomba unipe mwanga hapo uliposema alikua raisi wa kipindi kimojaa,,,pleaseeMaadili ya familia ni foundational. Ikulu siyo shule.
Hawa watoto si ndio waliokuwa na ujaisri wa kutukana watu kwenye You Tube kwamba wao ndio Tanzania na mtu akiwa kinyume nao watampiga na kumdhalilisha? Hakuna mtoto aliyezaliwa kwenye familia yenye uadilifu anaweza kua na tabia za kishenzi namna ilie, vinginevyo ni mgonjwa wa akilli.
Huyu mama umempamba sijui ka kitu gani unachokifahamu juu yake.
BTW, wewe unaweza kuwa na impact report ya WaMA tushirikishane? Sitakikwenda kule.
Hawezi kuwa na ndoto za kuendeleza elimu wakati yeye mwenyewe hajui thamani ya elimu.
Hivi ka miaka yote tangu mme wake aanze kuwa waziri, kwa nini hajasoma? Halafu leo useme anaendeleza elimu? Elimu ya nani? Elimu gani kwanza unayoisema kwa kuanzia labda?
JK hakuwa na sifa za kuwa raisi wa nchi ila ni kwa sababu ya ushabiki usio na elimu. Nani ambaye hakujua kwamba alikua raisi wa kipindi kimoja?
ELIMU ELIMU ELIMU. LA PILI ELIMU ELIMU ELIMU. LA TATU ELIMU ELIMU ELIMU.
The one holdin the building stones sheikh ILUNGA knew them and there buildin a house to stand for centuries
perhapsHouse of sands?
or house of cards?perhaps
what about them?Tuachane na JK
what about akina RIZ 1 na Miraji?
Daah mkuu unanipa raha sana!!si yeye wala si familia yake ina influence nchi hii let alone Bagamoyo
Mkuu wewe ndo upo too general!!Umeongea too general....
Je Kikwete alikuwa na lengo la kuwa na familia very powerful katika kila idara?
Je kwa mtazamo huu na Nyerere pia 'alifeli'?
Well said, unakumbuka kuna mahali niliwahi kukubana unitamkie sababu ulizoambiwa kuwa the coming president ni magufuli? Ila ulikwepa kujibuMkuu Mr. Trotsky, I have just some two observations kwenye bandiko lako hili.
1. On Mkapa, kitendo cha kusema it's now 20 years tangu amalize his era!, sorry you are wrong!. It is now just 11 years toka Mkapa amalize his era and not 20!.
2. On succession plan: The choice of Magufuli sio Mkapa's plan. Magufuli ni chaguo la watu wanaoitwa Wazee fulani wa mahala fulani ambao ndio waliomtengeneza Nyerere, waliomtengeneza Mkapa, na ndio waliomtengeneza Magufuli! .Kwenye lineup ya wazee hao, majina ya Membe, Pinda na Prof. Tibaijuka pia yalikuwepo ila vetting yao ikayachuja, JK akamchagua Membe, ndipo hao wazee wakamtumia Mkapa kuhakikisha ni Magufuli, hivyo Mkapa alikuwa akitii tuu maagizo na kufacilitate kwenye vikao vya chama!, lakini siye mwenye chaguo, wanaosubiri Tanzania irejee kwenye OIC na kuanzisha mahakama ya Kadhi, watasubiri sana! .
Ili kujua Magufuli alitokea wapi na kwa nini ni yeye, nenda kasome bandiko hili uangalie lilibandikwa lini humu JF.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Pasco