The House of Kikwete: What went wrong?

The House of Kikwete: What went wrong?

JK alimwandaa Membe,ngoma ikabadilika njiani na hari ilivyokuwa ya kisiasa hakuna aliyekuwa anakubalika ndani na nje ya CCM kama JPM, Naweza kusema Pinda haukuweza kumpitisha JPM wakati yeye mwenyewe alikuwa akiutaka urais kwa macho yote,ngoma ilichezwa na Mkapa hapo ndipo alipomaliza kila kitu..Mkapa alianza kumwandaa JPM akiwa bado naibu waziri kama tunaona hivi leo Makonda anavyondaliwa na JPM,Makonda ana sauti kuliko mawaziri wa JPM.

JK na naffs yake he had 10 years kuwa na candidates zaidi ya 8 sasa iweje awe na mtu mmoja tuu?

do you seriously believe kuwa JK alikuwa na hiyo succession plan in the first place?
 
Pasco nakupa heshima yako mkuu, ngoja nikuvulie na kofia yangu ili heshima yangu iweze kukubalika.
 
Muwage mna aibu kipindi yupo rais mmeisema sana familia yake na kumpa utajiri wa kutisha Rizone kwamba sheli zote zake mala kakamatwa China mmepiga sana kelele kuhusu familia yake sasa hivi familia hamuisikii mnaanza kumuona failure nyie watu wa hovyo sana aseee.
Watu wanazungumzia nguvu za ushawishi ndani ya serikali....hatuzungumzii pesa uwage unaelewa na wewe,pesa hata wewe unazo, (succession planning na legacy).
 
Watu wanazungumzia nguvu za ushawishi ndani ya serikali....hatuzungumzii pesa uwage unaelewa na wewe,pesa hata wewe unazo, (succession planning na legacy).
Ukinisoma tena na tena utanielewa huyo niliemjibu alikua anamaanisha nini.
 
Kwa Magufuli sidhani, ila kwa Kikwete nami.nimebaki kushangaaa!!!

Kwa umaarufu ule aloingia nao familia yake ilipaswa iwe kama Kenyata or Odinga family kule Kenya....

Ndo hivyo tena keshakwenda na maji!!!

Tofauti kubwa kati ya hizi family mbili (Kenyata & Kikwete) in my opinion ni kwamba the Kenyata family ilijikita kwenye biashara in the real sense of business (kwa kufanya biashara hasa) na hii ilipelekea biashara zao kusimama na kujiendesha hivyo kuwa recognized. On the contrary the other family wengi tumeshuhudia jinsi ambavyo ''biashara'' badala ya kuijengea ijiendeshe imekuwa ikiendeshwa na position kwa wakati huo (sote tunajua sakata la UDA...), zile tankers za mafuta (ziko wapi sasa??) etc.... Kipindi hiki cha 10 yrs kingetosha kutumia fursa kujenga na kukuza biashara ambayo ingeweza kujiendesha na kujijengea misingi endelevu...
 
JK na naffs yake he had 10 years kuwa na candidates zaidi ya 8 sasa iweje awe na mtu mmoja tuu?

do you seriously believe kuwa JK alikuwa na hiyo succession plan in the first place?
JK alikuwa na wengi ila hao wengi waliharibiwa na Lowassa!! Nundu mmoja wao....
 
Tofauti kubwa kati ya hizi family mbili (Kenyata & Kikwete) in my opinion ni kwamba the Kenyata family ilijikita kwenye biashara in the real sense of business (kwa kufanya biashara hasa) na hii ilipelekea biashara zao kusimama na kujiendesha hivyo kuwa recognized. On the contrary the other family wengi tumeshuhudia jinsi ambavyo ''biashara'' badala ya kuijengea ijiendeshe imekuwa ikiendeshwa na position kwa wakati huo (sote tunajua sakata la UDA...), zile tankers za mafuta (ziko wapi sasa??) etc.... Kipindi hiki cha 10 yrs kingetosha kutumia fursa kujenga na kukuza biashara ambayo ingeweza kujiendesha na kujijengea misingi endelevu...
Kweli kabisa!! But ndo hivyo sasa ni failure!!
 
Wanaolalamika kuwa Magu katokea wapi wameshindwa kuelewa kuwa we are paying the price of Kikwete being shortsighted

Kiongozi umekaa madarakani for 10 years halafu huna hata succession planning na legacy?

Tazama kwao Pwani kulivyo let alone huko Bagamoyo...


Taja kwenu halafu tulinganishe na Pwani, hakuna sehemu iliyoendelea TZ hii kama Pwani, hakuna sehemu iliyostaarabika TZ hii kama Pwani!
 
Kila kiongozi na utaratibu wake..jakaya amepita na sasa ni huyu..jakaya alikuwa na uzuri na ubaya wake..uzuri wake ulizidiwa na ubaya(katika maamuzi)...
Wakati wa mwisho wa utawala wake aliyumba katika maamuzi na haya ni yupi awe successor wake...hata huko taasisini aliwayumbisha..hakuwa anaeleweka sana mpaka wazee anaowasema Pasco wakakutana mbeya(mahali salama) kwa siku tatu na wakaamua wametengeneze magufuli...mchezo wote na fomula zote za yaliyojiri dodoma zilitengenezwa na kikao hiki..yote yaliyotokea dodoma yaliandaliwa hapo...
Lakinj wakati wa maandalizi na mipango ikiwekwa sawa ni watu wawili walipitishwa..huyu aliyekalia kiti na makongoro...ilikuwa piga ua mmoja wao akalie kiti...
Na hata pale dodoma siku ile waziri mkuu mstaafu anakatwa..jina lililokuwa na maksi nyingi toka kamati ya maadili lilikuwa la makongoro...huyu akiyekalia kiti alikuwa wa tatu...na wala membe hakuwepo kwenye list..kwa kifupi membe na lowassa walikatwa...mwenyekiti wa chama akalalama kwa wazee washauro wa chama kina mkapa kwamba yeye kama mwenyekiti mbona hana meno..mtu wake amekatwa...akapewa karatasi yenye majina..katika haki ya kustaajabu mwenyekiti akakata jina la makongoro na kuweka la membe....
Hilo lilikuwa kosa lenye heri kama alifanya yuda kumsaliti yesu ili ulimwengu ukombolewe...magufuli akapitia dirishani na kuingia kwenye ufalme...hizi zote ni fomula za wazee walizotengeneza huko mbeya na kusimamiwa na mkapa hapo dodoma...

Makongoro alikuwa wa kwanza, aliyekalia kiti alikuwa wa 3, je ni nani alioshika namba 2?

Ilikuwaje huyo aliyechomekwa na JK hakuibuka kidedea siku ya tukio.?, JK alizidiwa wapi.? Ukizingatia kura pale zilikuwa live.? Au ndo mambo ya majina ya mfukoni.?

Je huyo aliyekuwa wa pili kwa nini hakupigiwa chapuo akaja kupigiwa aliyekuwa wa tatu.?
 
so what is the use of starting a thread peoples cant understand what you are talking about?

Ndo maana darasani kuna wa kwanza na wa mwisho. Ingawa wote mnafundishwa na mwalimu huyo huyo na mnasoma syllabus hiyo hiyo. Ni kanuni ya maisha siyo mimi! (Lemutuz!)
 
Assumption moja kubwa na mbovu inayofanywa hapa ni kwamba Kikwete ni leader.

Kikwete si leader, ni usurper. Ni pretender. Ndiyo maana Mnyika akamuita "dhaifu".

Ukielewa hili, wala hutashangaa kwa nini kashindwa kumuweka successor wake na kwa nini Mkapa kaweza kumuweka wake.

By the way, hata Mkapa naye hakuweza kumuweka successor wake. Ingawa in his case, kwa sababu alimputa Kikwete kwa msaada wa Nyerere, inaonekana it was only right ampishe Kikwete, the then "president in waiting".

So one can say kwamba Mkapa alikuwa hajapata nafasi ya kumuweka successor wake, akampisha Kikwete kwa sababu kiukweli alichukua urais sehemu ambayo Kikwete alitakiwa kuwa rais, na sasa ndiyo Mkapa kapata nafasi ya kumuweka successor wake.

Kwa hiyo Kikwete naye kama ana ubavu na uhai, anaweza kupata nafasi ya kumuweka "successor" wake 2025.

The mere mention of that year sends shivers.




The few times huyu Mama nimemsikia kaonekana intelligible, perhaps more so than he husband. But that may be due to the fact that I haven't heard much of her.

Kukataa ubunge kunaonesha ukomavu wake. Mama kashakuwa First Lady aende kujichanganya na kina Lema na Sugu bungeni kutukanana kwa nini wakati ana platform yake yenye unique gravitas?




Huyo guluguja ambaye hata herufi za Kiswahili hajui sioni hata umuhimu wa kumzungumzia. Sababu pekee tumemjua ni kuwa mtoto wa rais. Kama Kikwete ni dhaifu, basi Ridhiwani ni dhaifu wa dhaifu.



Tunarudi kule kule. Kikwete si leader. Kashindwa kuiandaa familia yake tu kufanya mambo makubwa, ulitegemea awe na succession plan ya maana?



Magufuli angalia rafiki zake zaidi kuliko familia. Mke wake amesema kwamba jamaa ana kichaa na hakufaa kuwa hata Waziri licha ya rais. Ndiyo maana mama alikuwa hataki kushiriki kampeni siku za kwanzan.

Ukitaka kujua Magufuli chizi angalia jinsi anavyo compromise uhusiano wetu na Kenya kwa kuweka mbele urafiki wake binafsi na Raila Odinga na kuleta beef za kitoto na Uhuru Kenyatta.


 
Familia ya Kikwete imepitia misukosuko mingi sana. Nafikiri ilikua familia ya Rais iliyoandikwa na kusemwa sana kwenye media tangu tupate uhuru. Iachwe ipumzike sasa.
 
Mleta thread anasema Watu wa Mkapa bado wapo kwny system lakini watu wa kikwete washapotea ngoja tumkumbushe Watu wa Kikwete.
) Makamu wa Rais
2) Waziri Mkuu
3) Waziri wa Mambo ya Ndani
4) Waziri wa nishati na Madini
5)........,,,,
Wako wengi sana
Bwashee, hapa hujataja hata mtu mmoja wa kikwete. Labda umtaje makonda.
 
Maadili ya familia ni foundational. Ikulu siyo shule.

Hawa watoto si ndio waliokuwa na ujaisri wa kutukana watu kwenye You Tube kwamba wao ndio Tanzania na mtu akiwa kinyume nao watampiga na kumdhalilisha? Hakuna mtoto aliyezaliwa kwenye familia yenye uadilifu anaweza kua na tabia za kishenzi namna ilie, vinginevyo ni mgonjwa wa akilli.

Huyu mama umempamba sijui ka kitu gani unachokifahamu juu yake.
BTW, wewe unaweza kuwa na impact report ya WaMA tushirikishane? Sitakikwenda kule.
Hawezi kuwa na ndoto za kuendeleza elimu wakati yeye mwenyewe hajui thamani ya elimu.
Hivi ka miaka yote tangu mme wake aanze kuwa waziri, kwa nini hajasoma? Halafu leo useme anaendeleza elimu? Elimu ya nani? Elimu gani kwanza unayoisema kwa kuanzia labda?

JK hakuwa na sifa za kuwa raisi wa nchi ila ni kwa sababu ya ushabiki usio na elimu. Nani ambaye hakujua kwamba alikua raisi wa kipindi kimoja?

ELIMU ELIMU ELIMU. LA PILI ELIMU ELIMU ELIMU. LA TATU ELIMU ELIMU ELIMU.
Mkuu umesema vyema
 
Muwage mna aibu kipindi yupo rais mmeisema sana familia yake na kumpa utajiri wa kutisha Rizone kwamba sheli zote zake mala kakamatwa China mmepiga sana kelele kuhusu familia yake sasa hivi familia hamuisikii mnaanza kumuona failure nyie watu wa hovyo sana aseee.
mpum.bavu wewe.ni kweli alikamatwa china.ndo maana wachina wamepewa gesi mtwara
 
Jk bado ni Rais mstaafu influential sana ktk siasa za Tz labda itokee CCM wakashindwa. Kama Mungu atamweka hai muda mrefu ana nafasi kubwa ya kuja kumweka madarakani mtu wake siku za usoni kuliko Rais mstaafu mwingine yeyote wawakati huo.
 
Binafsi namfanannisha na Alex Ferguson mocha wa ManU
FERGIE ana mpaka sanamu Old Trafford, lakini hakuwa na succession plan yoyote ile ya maana
 
Jk bado ni Rais mstaafu influential sana ktk siasa za Tz labda itokee CCM wakashindwa. Kama Mungu atamweka hai muda mrefu ana nafasi kubwa ya kuja kumweka madarakani mtu wake siku za usoni kuliko Rais mstaafu mwingine yeyote wawakati huo.

si yeye wala si familia yake ina influence nchi hii let alone Bagamoyo
 
Back
Top Bottom