The House of Kikwete: What went wrong?

The House of Kikwete: What went wrong?

Watanzania ni vigeugeu kama wafuasi wa UKAWA alichofanya jkn ndicho kafanya jk Jr, kwanin mnampongeza wa kwanza kutoiacha family kwenye system, lakin wa pili mnamponda?
 
Angalizo:
Greek tragedy
(ɡriːk ˈtrædʒədɪ)
Definitions
Collins English Dictionary
noun(in ancient Greek theatre) a play in which the protagonist, usually a man of importance andoutstanding personal qualities, falls to disaster through the combination of a personal failing and circumstances with which he cannot deal

But legacy and succession are vital to explaining what happened next....

1. Jakaya Kikwete alikuwa ni rais mwenye bahati ya kupendwa na kupewa goodwill na wananchi. In the end nadhani mnajua alivyokuwa compromised na icing on the cake ni kuwa in 10 years alizokaa madarakani hakuwahi kuwa na proper succession planning ndani na nje ya chama zaidi ya kumweka mbele waziri Membe kinyume na alama za nyakati kuwa Membe hakubaliki ndani na nje ya chama. Ushaidi ni namna ambayo alivyokuwa obsessed na anyone but Edward(Lowassa), ikapelekea Ben Mkapa kuona how flawed JK alivyo na kumzidi kete na kumweka candidate wake, the one and only John Pombe Magufuli. In otherwords, its almost 15 years since Mkapa kaondoka lakini watu wake aliowaweka kwenye strategic positions bado wapo na anaendelea kutengeneza empire yake. Jakaya on the otherhand alishindwa kutengeneza leaders kama yeye na sidhani kama ana mikakati ya kufanya hivyo hata nje ya madaraka. Sasa hivi tazama watu wake wa karibu ni wale wale waliokuwa wana mislead alipokuwa madarakani. Anajaribu kuji reinvent as international statesman wakati hapa on the ground ameshindwa kuwa statesman wa kupatanisha Zanzibar na mambo ya maendeleo ndani ya nchi.

2. Salma Kikwete. Huyu mama ni mtu ambaye namkubali na nitaendelea kumkubali kwani pamoja na kuwa mwalimu lakini alitumia influence aliyonayo kuanzisha WAMA Foundation ambayo naming itakuwa imefanya makubwa mengi japo kwa miaka 10 ilitakiwa iwe kubwa mithili ya Clinton Foundation. Career wise mama angeweza kuwa Mbunge wa huko kwao kusini kwani anakubalika na resources zilikuwepo kumsaidia kupata kiti. Huyu mama ni jembe na naamini kuwa she has interests za kuendeleza elimu Tanzania na in particular kuendeleza watoto wakike. In the end hajawa Mbunge wa kuchaguliwa wala wa kuteuliwa. Sina hakika kama naye alitengeneza future women/girl leaders lakini naamini kuwa huyu mama itakuwa alifanyiwa mtimanyongo na wakwere asifike mbali zaidi.

3. Rizwani Kikwete. Need I say more? wanasema ukitaka kumjua Mfalme tazama waliomzunguka na washauri wake. Riz alikuwa one of the most powerful feared young politician nchi hii kutakana na nafasi ya baba yake na yeye mwenyewe kuwa mwanasiasa. Lakini ukitazama watu ambao watu wake ambao aliwasaidia ni mbunge wa Mkuranga (Ulega) ndani ya Chama sasa hivi hana influence kivyo,serikalini hana influence na kwenye biashara wanasema kuwa ile taskforce ya Magu is on his case kutokana na tuhuma mbali mbali rushwa. Gazeti lake limenunuliwa na Manji, Sielewi kama January Makamba aliweza kupata $10 million (http://www.economist.com/node/17369767) toka kwa philanthropists wa Wall Street kusaidia jimbo la Bumbuli sasa Riz kashindwa vipi kupata pesa za kuendeleza jimbo lake? Sasa what went wrong? watu wake wa karibu wanasema kuwa circle yake imezungwa na watu wenye njaa, wanaomfia kila mara,anasikiliza majungu, na hana think tanks za kumsadia kuwa Uhuru Kenyatta ajae. The only success he has ni the one and only PAUL MAKONDA ambaye sasa hivi amemgeuka kuwa foot soldier wa Magu (kanda ya Ziwa mwenzie) bade ya kugundua kuwa he doesn't need Riz anymore. Huyu najiuliza alishindwa vipi kujizungusha na watu wenye kuona mbali na kumshauri vizuri? Riz alifika mahala kila kukicha anajibizana na tabloid media na kuwatisha atawashitaki. Yes this is what our dear precious Princeling Riz was reduced to.

4. Miraji, etc...hawa sasa hivi wanatumwa na waarabu wa Home Shopping Centre kupitia foundation yao ya GSM. Cha kujiuliza inawezekana vipi mzee wao awe the most powerful man in this country for 10 years na immediately after leaving the office wanatumwa na kutumiwa na hawa wa Mahra? Ukweli ni kuwa the rest of the family ni sawa na familia zingine za kiswahili. Shule zao ndogo, na kama wamesoma wengi wao hawajaelimika, wanaendekeza majungu, wanaishi kama makamisheni na misheni town, na the only option waliyonayo ni hii ya kutumwa tumwa tuu na watu wenye pesa zao kama wahindi na waarabu. This should have been the most powerful and influential family in this country kwenye kila sekta (media, politics, business etc) kwa sababu ya impunity ya wakati wa baba yao (kwenye hili naomba niweke wazi kuwa exception ni kwa wale wasomi waliopo kwenye hii family ambao waliamua ku keep low profile na kuishi maisha ya kawaida). Hivi walishindwa kuset up Jakaya Kikweye Foundation? Why GSM aka Home Shopping Centre Foundation? Is this the best this family could come up with?

In this case Jakaya Kikwete amefail na taratibu naangalia the House of Magufuli in the making...
Sio Tanzania kiufupi Hayati baba wataifa hatunae tena ila alama za miguu yake na sauti yake ktk kila rais anaingia ikulu ni kama laana pindi mtu akikengeuka. Zaidi ya yote hili taifa lina system nzito ya kiusalama kiasi pindi rais ukimaliza kazi yako huwamini kile kinaenda kutokea the last but not the list CCM ni chama ila sio chama hiki ni zaidi ya chama cha kule china don't touch them it will take 100yrs dunia kuijuwa ikiwa ccm ni chama au nikitu gani big up mwalim Nyerere.
 
1. Tangu Mkapa ameondoka it is now 10 years, na tangu Kikwete ameondoka its only 10 months! .
2. Waliomleta Magufuli ni wazee fulani wa maeneo fulani ambao ndio waliomleta
Mkapa na ndio waliomleta Mwalimu Nyerere! na sio wale jamaa wa DSTV! .
3. Lineup yao ilimjulisha Pinda, Membe, Tibaijuka, Nchimbi, Makongoro na wengine wengi ila ni kweli JK alimtaka Membe vetting yao ikamuengua na kuwapatia Magufuli.
4. Kikwetes bado wapo, kijana ni Mbunge, mabadiliko yajayo atakuwa NW, 2020 full minister, 2025 could be a candidate! .
5. Tanzania kuingia OIC na Mahakama ya Kadhi iliwahi kuwa turufu ya kuvunia kura za Waislam, kwa Magufuli hili suala halizungumziki.

Pasco

Pasco N sijui kama unajua hao wazee ndio waliamua Mwinyi awe Rais badala ya Salim?

Sijui unajua pia hao wazee walimkataa tena Salim na Kigoda na ndo walimpitisha Kikwete?

ndo maana Kikwete alirudi tena na majina hayo

Ishu ya kumkataa Salim kisa mpemba na wapemba mambo ya mahakama za kadhi na OIC kawaida
mhusika mkuu alikuwa Getrude Mongela.....
 
Du! . Mkuu The Boss, kiukweli sikulijua hili! . Mimi nilidhani the role ya wale 'wazee' ni wakati tuu wa zile rotations za watu wao!, kumbe wanawapangia hata hawa wengine! ,au kwa kifupi kumbe 'wazee' wale ndio wanaotupangia! , then wao ndio wanaotupangia hivyo wao ndio wanaotutawala.

Siku zote wao ndo wanapanga jiulize ilikuaje Nyerere amshindwe Mongela?
Mongela ndie aliempigania Mwinyi...na walimwambia waziwazi Nyerere 'its a risk' kumpa nchi 'mpemba'

Mkapa akajaribu pia kumleta tena Salim....unaikumbuka speech ya mwisho ya mkapa kwa wajumbe?
wamchague wa kizazi kinachoendana na sasa?

Baada ya wazee kumteua JK....Mkapa ilikuwa Salim au Kigoda...
hata juzi juzii hii 'the rise ya January' ni wao

January mama yake na mke wake 'kule kule' ...
but now January ana competition kuubwa kutoka kwa Majaliwa
Jiulize Majaliwa katokea wapi? wazee 'wamempenda'
sababu jina lake tu ndo Kassim' lakini 'ni wao'
 
Muda wote nilikuwa siwaelewi mnachokiongea kuhusu wazee, kwa comment hii sasa nimewasoma na kuwapata.
 
Wanaolalamika kuwa Magu katokea wapi wameshindwa kuelewa kuwa we are paying the price of Kikwete being shortsighted

Kiongozi umekaa madarakani for 10 years halafu huna hata succession planning na legacy?

Tazama kwao Pwani kulivyo let alone huko Bagamoyo...
Brother /madam ,I couldn't have said better than this.
 
siasa za tanzania zina utofauti na kenya mwacheni Jk apumzike alisemwa sana maskini
Tena ni kiongozi mvumilivu na nitamkumbuka sana na naweza kumwita kama mwanzilishi na mfuasi democracia iliyotukuka
 
Kwa Magufuli sidhani, ila kwa Kikwete nami.nimebaki kushangaaa!!!

Kwa umaarufu ule aloingia nao familia yake ilipaswa iwe kama Kenyata or Odinga family kule Kenya....

Ndo hivyo tena keshakwenda na maji!!!

Legacy ndio huyu Ngosha
 
Muwage mna aibu kipindi yupo rais mmeisema sana familia yake na kumpa utajiri wa kutisha Rizone kwamba sheli zote zake mala kakamatwa China mmepiga sana kelele kuhusu familia yake sasa hivi familia hamuisikii mnaanza kumuona failure nyie watu wa hovyo sana aseee.
Na hali hii wanayoisema sasa kwamba Kikwete anayo walikuwa wakimsifia nayo Nyerere kama kipimo cha ubora, sasa sijui kigugumizi cha kutomsifia Kikwete kinatoka wapi??
 
Umeongea too general....

Je Kikwete alikuwa na lengo la kuwa na familia very powerful katika kila idara?

Je kwa mtazamo huu na Nyerere pia 'alifeli'?

Thats the impression JK gave us lakini he failed
 
Well said, unakumbuka kuna mahali niliwahi kukubana unitamkie sababu ulizoambiwa kuwa the coming president ni magufuli? Ila ulikwepa kujibu
Ukianzaga uchambuzi ndo huwa nafurahi hasa pale napoona jina pasco wa Jf nakuwa makini kusoma Uzi uo, ila unakuwaga mchoyo humalizii yote, kuna unayojua tena mengi juu ya hii issue lakin si yote, nami au wengine kuna wanayojua, tukiconect dot, inaleta jibu USISAHAU KUPITIA MAKUBALIANO TULIOFANYA NA ITALY ALIYETUWEKEA DHAMANA KUJITAWALA TULIVYOKUWA MANDATE TERRITORY, WARUMI (ROMA) , Sasa umeelewa changanya na kukataa mahakama ya kadhi,

Nakumbuka kipindi nipo mwananyamala kwa afisa usalama fulan mwaka 2013,jina la lowassa liko on fire na nikili nilikuwa namshabikia lowassa maana alionekana kuwa MTU mwenye msimamo kati ya wanaotajwa CCM, maana sikumpenda membe, aliniambia sababu za kwanini rais siyo membe wala lowassa nikamshangaa, sasa naanza kupata jibu, wazee waliomuandaa nyerere, mkapa na magufuli

Pasco nilishamtoa credibility toka aliposhindwa kuelezea why Magufuli na who chose Magufuli kwenye uzi wake
 
Hivi what happened to the $20 billion Bagamoyo port project?

Tanzania suspends construction of $10bn Bagamoyo port

ea-darport.jpg

Port of Dar es Salaam. Tanzania plans to upgrade the port to improve capacity, performance and efficiency

IN SUMMARY

  • The construction of the $10 billion Bagamoyo port, which would be the largest port in East Africa, has been suspended.
  • Tanzania wants to focus, instead, on improving the capacity, performance and efficiency of the Dar es Salaam and Mtwara ports.
  • The initial works for the Bagamoyo port had already started after former President Jakaya Kikwete broke ground last October with some residents relocated to other areas to pave way for the construction.

The construction of the $10 billion Bagamoyo port, which would be the largest port in East Africa, has been suspended.

Tanzania wants to focus, instead, on improving the capacity, performance and efficiency of the Dar es Salaam and Mtwara ports.

The Minister for Works, Transport and Communications, Prof Makame Mbarawa, said the government will upgrade berths 1 to 7 and construct two additional ones, 13 and 14, at the Dar port as well as develop the Mtwara one.

“I do not want to reveal too much details or plans by the government on the fate of this project [Bagamoyo]. What I can say is only that we are currently concentrating on the Dar es Salaam and Mtwara ports,” he told The Citizen.

However funding constraints for the two ports are standing in the way of the revamp efforts.

“We are looking for funds for the port of Dar es Salaam and then for the Mtwara Port,” he said.

The World Bank has agreed to fund the facelift of berths 1 to 7 and talks are ongoing to also finance the construction of berths 13 and 14, Prof Mbarawa said without revealing the cost of the projects.

The government hopes to start the refurbishment this year and complete by 2018.

“It all depends with the financial resources. If we get the funding soon the projects will run,” he said.

The initial works for the Bagamoyo port had already started after former President Jakaya Kikwete broke ground last October with some residents relocated to other areas to pave way for the construction.

READ: Tanzania’s $10 billion port project threatens Mombasa hub status

Prof Mbarawa said the decision to suspend the building of the port was because the multibillion-shilling project was too big; it needed more attention, a lot of planning and a major source of funding.

Bagamoyo port was also put in the queue by the need to take advantage of huge inflows of foreign direct investments in the natural gas-rich regions of Lindi and Mtwara, the government said.

Politically sensitive

The port has so far become a politically sensitive issue. Opposition politicians and the private sector have poured scorn on the project arguing it was a waste of resources and urged for improving the existing Tanga, Dar and Mtwara ports instead and the connecting infrastructure.

President John Magufuli was forced to defend the project during last year’s election campaigns against attacks from the opposition presidential candidate Edward Lowassa who had criticised it. Mr Lowassa while campaigning in Tanga had said if elected president he would shelve the project and put resources on improving the Tanga port.

“As far as I am aware, the Bagamoyo port would benefit all Tanzanians and not Bagamoyo residents alone. We should stop sowing the seeds of divisions for the sake of votes,” Dr Magufuli said at a campaign stop.

Opposition politicians have also been complaining that the construction of such a huge project was done without consulting Parliament.

The Bagamoyo project will occupy 800 hectares and another 1,700 hectares of Portside Industrial Zone, which will be developed under tripartite agreement of Government of Tanzania (GoT), China Merchants Holdings International (CMHI) from China and State Government Reserve Fund (SGRF) from Oman.

The new port will have the capacity to handle 20 million containers a year when completed, compared with Mombasa’s 600,000 and Dar es Salaam’s 500,000 containers.

The first phase was to be completed in 2017. The initial funding of the project was expected to come from China though negotiations for funding the entire project were said to be going on.

An agreement for the initial development of the Bagamoyo Port Project was signed in March 2013 during the visit of the Chinese President Xi Jinping as part of the Tsh1.28 trillion infrastructure package deals. The agreement specified that $500 million would be designated for port financing for the year of 2013 to allow the project to start.
 
Pasco N sijui kama unajua hao wazee ndio waliamua Mwinyi awe Rais badala ya Salim?

Sijui unajua pia hao wazee walimkataa tena Salim na Kigoda na ndo walimpitisha Kikwete?

ndo maana Kikwete alirudi tena na majina hayo

Ishu ya kumkataa Salim kisa mpemba na wapemba mambo ya mahakama za kadhi na OIC kawaida
mhusika mkuu alikuwa Getrude Mongela.....

Naombeni insights ziaidi on hili jambo

Vatican au serikali ya Itali ina interest zipi na tanzania?

Maana ingekuwa Vatican/Italy ndio the biggest Investor in Tanzania ningeelewa kuwa wanataka viongozi wenye kulinda interests zao lakini hizi stories naona haziniingii akilini na has a pale ambapo hakuna evidence yoyote ile inatoletwa hapa ku support hizi arguments kuwa Vatican ndio inayotuchagulia viongozi

You guys can do better than this
 
Siku zote wao ndo wanapanga jiulize ilikuaje Nyerere amshindwe Mongela?
Mongela ndie aliempigania Mwinyi...na walimwambia waziwazi Nyerere 'its a risk' kumpa nchi 'mpemba'

Mkapa akajaribu pia kumleta tena Salim....unaikumbuka speech ya mwisho ya mkapa kwa wajumbe?
wamchague wa kizazi kinachoendana na sasa?

Baada ya wazee kumteua JK....Mkapa ilikuwa Salim au Kigoda...
hata juzi juzii hii 'the rise ya January' ni wao

January mama yake na mke wake 'kule kule' ...
but now January ana competition kuubwa kutoka kwa Majaliwa
Jiulize Majaliwa katokea wapi? wazee 'wamempenda'
sababu jina lake tu ndo Kassim' lakini 'ni wao'

upload_2016-9-13_15-57-59.png
 
Pasco

1. I clearly mentioned Almost 20 years kuhusu Mkapa

2. Umesema kuwa waliopanga na kumleta huyu did you mean jamaa wa halo DSTV?

3. If you are telling me kuwa kwenye line up yao Membe and Tibaijuka were among the candidates then I'm lost of words

4. Being a member of a political dynasty massively increases your probability of being elected to any political office. What went wrong with the Kikwetes?

5. How does this thread relate to Mahatma ya Kadhi and OIC? Sijaelewa connection uliyosema hapo juu
Soma mwishoni mwa maandishi yake utagundua kitu
 
1. Tangu Mkapa ameondoka it is now 10 years, na tangu Kikwete ameondoka its only 10 months! .
2. Waliomleta Magufuli ni wazee fulani wa maeneo fulani ambao ndio waliomleta
Mkapa na ndio waliomleta Mwalimu Nyerere! na sio wale jamaa wa DSTV! .
3. Lineup yao ilimjulisha Pinda, Membe, Tibaijuka, Nchimbi, Makongoro na wengine wengi ila ni kweli JK alimtaka Membe vetting yao ikamuengua na kuwapatia Magufuli.
4. Kikwetes bado wapo, kijana ni Mbunge, mabadiliko yajayo atakuwa NW, 2020 full minister, 2025 could be a candidate! .
5. Tanzania kuingia OIC na Mahakama ya Kadhi iliwahi kuwa turufu ya kuvunia kura za Waislam, kwa Magufuli hili suala halizungumziki.

Pasco
Watabisha tuuu lakini ndio uhalisia
 
Soma mwishoni mwa maandishi yake itagundua kitu
hakuna kitu

ndio maana mimi spend kujadiliana na watu wanaoongea in riddles

alitakiwa awe straight na awake kila kitu open na wall links ili tupitie na kuchambua
 
Back
Top Bottom