1. Tangu Mkapa ameondoka it is now 10 years, na tangu Kikwete ameondoka its only 10 months! .
2. Waliomleta Magufuli ni wazee fulani wa maeneo fulani ambao ndio waliomleta
Mkapa na ndio waliomleta Mwalimu Nyerere! na sio wale jamaa wa DSTV! .
3. Lineup yao ilimjulisha Pinda, Membe, Tibaijuka, Nchimbi, Makongoro na wengine wengi ila ni kweli JK alimtaka Membe vetting yao ikamuengua na kuwapatia Magufuli.
4. Kikwetes bado wapo, kijana ni Mbunge, mabadiliko yajayo atakuwa NW, 2020 full minister, 2025 could be a candidate! .
5. Tanzania kuingia OIC na Mahakama ya Kadhi iliwahi kuwa turufu ya kuvunia kura za Waislam, kwa Magufuli hili suala halizungumziki.
Pasco