The House of Kikwete: What went wrong?

The House of Kikwete: What went wrong?

Kwa vile huwajui viongozi wa nchi hii..hakuna rais aliyekuwa mlevi kama mkapa..mkapa kwa ulevi amewahi kumliza baba wa taifa..ilikuwa wakati wa uuzwaji wa nbc..mwalimu alipata taarifa ya uuzwaji..akamuomba mkapa afike msasani..siku waliyokubaliana hakwenda..akaenda baada ya siku mbili mda wa jion akiwa amelewa sana mpaka wasaidizi wake wanamshikilia.
Mwalimu alipotokuja seblen akitokea chumban na kumkuta ben amelewa akamwangalia weee huku akiwa amesimama..alisikitika sana..hakutaka kuongea akarudi chumban..mkapa na watu wake nae akaondoka...kesho yake baada ya misa ya asubuhi mwalimu akaenda kwa kadinali pengo...alipofika mwalimu akaomba wakae wazungumze..wakaingia ofisini,mwalimu,pengo,msaidiz wa pengo na msaidizi wa mwalimu...
Ndipo mwalimu akaanza kumwambia pengo kitendo cha mkapa kwenda kwake akiwaamelewa....akamwangalia msaidizi wa pengo na kusema nendeni mkamuulize kwa nn anakuja kwangu akiwa amelewa namna hiyo..nimemkosea nini ..machozi yakamtoka mwalimu..ndipo kadinali pengo akamkatisha jwa kusema nitakwenda mimi binafsi kumuona na kumweleza kisha nitakuja msasani...
Pamojana ukevi wake yajo mazuri amelifanyia taifa hata hyo makongoro angeweza tu...
teh teh teh...Nahisi nitapigwa ban kwa kujua wewe ni nani ngoja nipige kimyaa
 
hakuna kitu

ndio maana mimi spend kujadiliana na watu wanaoongea in riddles


alitakiwa awe straight na awake kila kitu open na wall links ili tupitie na kuchambua
ha ha ha wanaboa hao halafu utamsikia anasema mimi nishamwelewa halafu hasemi yeye kaelewajeee..Unaitwa usmart maandazii
 
Muwage mna aibu kipindi yupo rais mmeisema sana familia yake na kumpa utajiri wa kutisha Rizone kwamba sheli zote zake mala kakamatwa China mmepiga sana kelele kuhusu familia yake sasa hivi familia hamuisikii mnaanza kumuona failure nyie watu wa hovyo sana aseee.
Watanzania ukiwasikiliza wayasemayo lazima upotee njia,kuna kaunafiki fulani kwenye maneno yao.
 
K
Kuna siku nilisema mahali... kitendo cha JK kumgeuka Lowassa ilikuwa the biggest mistake in his life!!

Kitrndo cha yeye kushinda 2005 licha figisu zote ndo ulikua mwanzo wa kuwa most influential ktk nchi hii... ndo hivyo tena kiendacho kwa mganga hakirudi....
kwanini jk alimgeuka edo ni maslahi au woga?
 
Back
Top Bottom