The House of Kikwete: What went wrong?

The House of Kikwete: What went wrong?

si umeona tofauti sasa?
yeye anatengeneza mazingira kwa namna yoyote wanae wasome,
yule wa mstaafu aliyefeli Feza aliendelezwa?
Making ipi sasa hapo? Unamaanisha yule wa Division Fulani hivi amazing, aliyesoma degree wakati hastahili hata diploma? Amabaye jina lake ukiliandika hapa JF utaambulia nyota nyota? Au house in the making ipi hapo?
 
Kwa Magufuli sidhani, ila kwa Kikwete nami.nimebaki kushangaaa!!!

Kwa umaarufu ule aloingia nao familia yake ilipaswa iwe kama Kenyata or Odinga family kule Kenya....

Ndo hivyo tena keshakwenda na maji!!!
Duuh, na hiyo familia ingekuwa hivyo si ndio watu wangeongea saaana na kuiponda?

Sasa ikiwa familia ya kawaida tena watu mnalalamika.

Only in Tanzania.
 
Hawamsemi msemi mkuu. Mjadala ni jinsi.Kikwete with all powers, channels and facilities ameshindwa ku make the strong and influential family in the country!!

The failure of the century!!
How do you know the Kikwete family is not powerful?
 
Wanaolalamika kuwa Magu katokea wapi wameshindwa kuelewa kuwa we are paying the price of Kikwete being shortsighted

Kiongozi umekaa madarakani for 10 years halafu huna hata succession planning na legacy?

Tazama kwao Pwani kulivyo let alone huko Bagamoyo...
Bahati nzuri JK sio mchaga, ndio maana aliangalia nchi badala ya kwao Pwani.
 
Wanaolalamika kuwa Magu katokea wapi wameshindwa kuelewa kuwa we are paying the price of Kikwete being shortsighted

Kiongozi umekaa madarakani for 10 years halafu huna hata succession planning na legacy?

Tazama kwao Pwani kulivyo let alone huko Bagamoyo...
Succession plan ni Institutional, haifanywi na mtu mmoja.Ulitaka iyo Plan ifanyike kama ile ya Mtei kwa mkwewe Mbowe?. Poor you.
 
Mkuu Mr. Trotsky, I have just some two observations kwenye bandiko lako hili.

1. On Mkapa, kitendo cha kusema it's now 20 years tangu amalize his era!, sorry you are wrong!. It is now just 11 years toka Mkapa amalize his era and not 20!.

2. On succession plan: The choice of Magufuli sio Mkapa's plan. Magufuli ni chaguo la watu wanaoitwa Wazee fulani wa mahala fulani ambao ndio waliomtengeneza Nyerere, waliomtengeneza Mkapa, na ndio waliomtengeneza Magufuli! .Kwenye lineup ya wazee hao, majina ya Membe, Pinda na Prof. Tibaijuka pia yalikuwepo ila vetting yao ikayachuja, JK akamchagua Membe, ndipo hao wazee wakamtumia Mkapa kuhakikisha ni Magufuli, hivyo Mkapa alikuwa akitii tuu maagizo na kufacilitate kwenye vikao vya chama!, lakini siye mwenye chaguo, wanaosubiri Tanzania irejee kwenye OIC na kuanzisha mahakama ya Kadhi, watasubiri sana! .

Ili kujua Magufuli alitokea wapi na kwa nini ni yeye, nenda kasome bandiko hili uangalie lilibandikwa lini humu jf.
https://www.google.com/url?sa=t&sou...oJgFhSFnnCV1GVbHg&sig2=W0DYBrzHwl5TcszeIo7gFQ

Pasco

Pasco

1. I clearly mentioned Almost 20 years kuhusu Mkapa

2. Umesema kuwa waliopanga na kumleta huyu did you mean jamaa wa halo DSTV?

3. If you are telling me kuwa kwenye line up yao Membe and Tibaijuka were among the candidates then I'm lost of words

4. Being a member of a political dynasty massively increases your probability of being elected to any political office. What went wrong with the Kikwetes?

5. How does this thread relate to Mahatma ya Kadhi and OIC? Sijaelewa connection uliyosema hapo juu
 
Mleta thread anasema Watu wa Mkapa bado wapo kwny system lakini watu wa kikwete washapotea ngoja tumkumbushe Watu wa Kikwete.
) Makamu wa Rais
2) Waziri Mkuu
3) Waziri wa Mambo ya Ndani
4) Waziri wa nishati na Madini
5)........,,,,
Wako wengi sana
 
How do you know the Kikwete family is not powerful?

mohamed-gharib.jpg
 
International Statesman, umeua mkuu TROTSKY...
Hiyo ndiyo nafasi ya Alwatan Jakaya Mrisho Kikwete kwa sasa. Mengine ni wasiwasi wako tu.
 
Pasco uchochezi huo. ....hizo dots ulizomwaga ili sisi tuziunganishe ,tukiziunganisha post yako itakuwa ya kichochezi! kuwa makini! !!!
 
Pasco,
una mindset za kidini sana we jamaa.
Sijui kama unajua madhara ya baadae kwa kile unachokihubiri humu JF kuhusiana na ubaguzi wako wa kidini, yaani unaonyesha chuki za waziwazi kwa waislamu. Sijui tunajenga taifa la namna gani kwa watu wenye mentality kama zako. Very stupid mindset..!!

Ndugu zanguni tunajenga taifa moja, tumeishi vizazi na vizazi kwa upendo, mshikamano na amani kati yetu nchi mwetu. Vitendo na maneno ya wapuuzi kama Pasco yafaa kukemewa na kulaaniwa.
 
Jk ana nyota kali sana na anajua siku zote wenye chuki nae ni watu wa aina gani alishawahi kutuambia hii kitu.
 
Pasco,
una mindset za kidini sana we jamaa.
Sijui kama unajua madhara ya baadae kwa kile unachokihubiri humu JF kuhusiana na ubaguzi wako wa kidini, yaani unaonyesha chuki za waziwazi kwa waislamu. Sijui tunajenga taifa la namna gani kwa watu wenye mentality kama zako. Very stupid mindset..!!

Ndugu zanguni tunajenga taifa moja, tumeishi vizazi na vizazi kwa upendo, mshikamano na amani kati yetu nchi mwetu. Vitendo na maneno ya wapuuzi kama Pasco yafaa kukemewa na kulaaniwa.
halafu ukute mzinifu,mlevi,mshirikina,tapeli n.k hiyo dini yake aliyojifunzia chuki haitampeleka kokote
 
Pasco

1. I clearly mentioned Almost 20 years kuhusu Mkapa

2. Umesema kuwa waliopanga na kumleta huyu did you mean jamaa wa halo DSTV?

3. If you are telling me kuwa kwenye line up yao Membe and Tibaijuka were among the candidates then I'm lost of words

4. Being a member of a political dynasty massively increases your probability of being elected to any political office. What went wrong with the Kikwetes?

5. How does this thread relate to Mahatma ya Kadhi and OIC? Sijaelewa connection uliyosema hapo juu
1. Tangu Mkapa ameondoka it is now 10 years, na tangu Kikwete ameondoka its only 10 months! .
2. Waliomleta Magufuli ni wazee fulani wa maeneo fulani ambao ndio waliomleta
Mkapa na ndio waliomleta Mwalimu Nyerere! na sio wale jamaa wa DSTV! .
3. Lineup yao ilimjulisha Pinda, Membe, Tibaijuka, Nchimbi, Makongoro na wengine wengi ila ni kweli JK alimtaka Membe vetting yao ikamuengua na kuwapatia Magufuli.
4. Kikwetes bado wapo, kijana ni Mbunge, mabadiliko yajayo atakuwa NW, 2020 full minister, 2025 could be a candidate! .
5. Tanzania kuingia OIC na Mahakama ya Kadhi iliwahi kuwa turufu ya kuvunia kura za Waislam, kwa Magufuli hili suala halizungumziki.

Pasco
 
Nashangaa sana hili suala, utakuta mtu anawasifia marais wote waliowahi kuongoza hili taifa ila inapofika kwa Mwinyi na Jk inakuwa shida kidogo... Inanifanya nianze kuamini kwenye hii nchi ni kweli jamii fulani inabaguliwa na inawezekana kuna mkono wa taasisi fulani kwenye kutawala taifa hili..
 
Hii nchi sio ya kifalme kwamba utarithiwa na mtoto wako,
unaposema mkapa sijui ameacha empire yake,labda ufafanue unamaanisha nini hasa?,kama ni influence mkapa ana influence sawa tu na jk,labda kuwe na kitu hujakisema hapa,
je kiwira imerudishwa kwa mkapa labda kwa mfano,au benki M imepewa kandarasi ipi kwenye halmashauri labda??
 
Back
Top Bottom