The happiest King in the world

Huyu baba ndo atakua hana stress za papuchi

Kuna mdau alileta uzi huu humu jukwaani, nadhani hapa ni mahali stahiki kwenda kuishi

 
Dildo kweli madamme sky eclat kabisa? Anasaidiwa na wafanyakazi wake ikulu pale .si kitanda hakizai haramu
Tukumbushane, hivi baba yake ndio alikuwa na watoto 600? Akiitwa king Sobuzwe? Wale jamaa bado wako uncultured and primitive.
And very arrogant too
 
The happiest king is F@c King
 
Kama hela ipo ninanunua dildo linatosha mwe.
Ingekuwa dildo inajitosheleza yule mmoja asingetafuta rungu la nyama nje
 
Nchi yake ni nchi pekee duniani ambako mamlaka ya anga moja ya kazi yake ni pamoja na kudhibiti wachawi wanaoruka angani.Kuna sheria kabisa ipo kuwa mchawi anatakiwa kuruka angani mita ngapi toka ardhini akizidisha anakamatwa na kupekekwa mahakamani
Duniaa hadaaaa ...muswati shujaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…