Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,264
- 28,423
Elimu yake alisoma uingereza.
🤣🤣🤣🤣nakufa mm huku jamani...uwiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
Mkuu source tafadhali ningependa kufahamu zaidi
Upo sahihi maana hiyo midude 10 tu inakaribia kiasi hicho sasa akaange networth yake kwa usafiri wa wake zake,??TZS 115 billion is very little, the real figure might be unknown.
Ana stress kibao. At 51 huwezi kuwaridhisha wanawake 13 wanaokula vizuri. Mtakumbuka kuna mmoja alijinyonga. Huyu jammaa ana stress kisa anapigiwa na watumishi wa ndani. Ogopa sana mwanamke anaekula atakacho na kushiba halafu mdomo wa kusini uukoseshe mjulus. Ni shida. Hata angekua ngangari, kila mwanamke angepitiwa mara 2 kwa mwezi. Just imagine huyu mmoja uliyenae anavyokuwekea miguu usiku kama hujala mzigo. Je ukiwa nao 13Huyu baba ndo atakua hana stress za papuchi