Hapana mkuu siyo sahihi kutumia kodi kwa mambo yako ya anasa. Kama ni hela kutoka kwenye mshahara wake sawa na hawezi kuwa na iyo hela ya kununua roll royce phtom ambayo moja tu ni 500k+ us dollars.Na tatizo jingine watu tumekuwa tukipangiana Sana namna ya kuishi.
Mtu kaamua kuwanunulia wake zake magari,
Alafu eti anatumia vibaya Pesa!!! Kheee

Wale tunaohonga Vishamba vya urithi vyenye Makaburi Tupooo?
Mwenzetu anafanya hivyo halaf anaoa bikra,
Sisi unakuta na njitu Mileage inasoma 90000km,
anakukatia mauno mpk unaona aibu mwenyewe, yy ukimcheki uso mkavuuu
unajiuliza huyu kastaafu twanga pepeta au?,
Maana haina haja ya kuwasha feni, ukitoka hapo una pumu.
Umetupiga kamba mkuuNchi yake ni nchi pekee duniani ambako mamlaka ya anga moja ya kazi yake ni pamoja na kudhibiti wachawi wanaoruka angani.Kuna sheria kabisa ipo kuwa mchawi anatakiwa kuruka angani mita ngapi toka ardhini akizidisha anakamatwa na kupekekwa mahakamani

Mamdogo hata ww? Sawa ni haki yako lkn usitusahau na sisi haki yetu ya msingi ya malezi bora wanao.Kama hela ipo ninanunua dildo linatosha mwe.
Lakini huyu wanae mpaka kieleweke
Hahaha ukiwa muoga hata likizama utadhani halijazama.Jamaa anaucha wi wa hatari inaaminika kukitofautiana naye jua halizami
hahahha hahahaha. We jama kiboko kama sio mambaWale tunaohonga Vishamba vya urithi vyenye Makaburi Tupooo?
Mwenzetu anafanya hivyo halaf anaoa bikra,
Sisi unakuta na njitu Mileage inasoma 90000km,
anakukatia mauno mpk unaona aibu mwenyewe, yy ukimcheki uso mkavuuu
unajiuliza huyu kastaafu twanga pepeta au?,
Maana haina haja ya kuwasha feni, ukitoka hapo una pumu.
Huyu dawa yake ni kumgongea wake zake wote 😀😀😀Bahati mbaya hawa hawana hata sanduku la kura.
Dah...labda si hitaji lao la msingi au hawaamini katika hilo.....kuna mengi wanahitaji...kwa utamaduni wao..na mazingira yao...kama walivyopanga na kuchagua 🤣 🤣Bahati mbaya hawa hawana hata sanduku la kura.
Kwani sisi tunalo! Au unadhani lile boksi tunalowekewa ndimo kura za urais zinatoka!Bahati mbaya hawa hawana hata sanduku la kura.
😂 😂Kama hela ipo ninanunua dildo linatosha mwe.
Kugawa pesa barabarani unaunga mkono!Hapana mkuu siyo sahihi kutumia kodi kwa mambo yako ya anasa. Kama ni hela kutoka kwenye mshahara wake sawa na hawezi kuwa na iyo hela ya kununua roll royce phtom ambayo moja tu ni 500k+ us dollars.
Ndio maana waafrika hatuendelei. Hakuna hela muhimu katika nchi kama kodi.
Misusing of taxpayers payers money and public funds its totally unacceptable and fundamental wrong
Walibadili jina toka Swaziland kuwa Eswatini kama wachina walivyobadili toka Peking kuwa Beijing. Swaziland Luna mchanganyo wa Swatini na land (nchi).Kwann inaitwa e swatini hiyo eswatini ndio kitu gani e stands for what?
Naona umeamuwa kuwatukana mama zako, dada na shangazi zako aiseeeeWale tunaohonga Vishamba vya urithi vyenye Makaburi Tupooo?

na pumu juu