The first KFC restaurant in Tanzania !

The first KFC restaurant in Tanzania !

nyoo kumbe ulikuwa unazunguka mbuyu eeee mimi naendga kuwanunua fresh baharini asubuhii 12 .inabidi unanipa taarifa mapema.

Jumamosi it is...set!:A S shade:
 
ukisikia yalaaaaaaaaaaaaaaa jua jiwe limempata mtu huko sorry sijamlenga mtu wewe hujaona watu hapo wanauliza lini inafunguliwa jamani??????????

kaka hiyo KFC inakashfa kwenye hao kuku mnaowasifia,ok kama kuku watanunuliwa kwa watanzania basi ni neema kwa wafugaji wa kuku.Lakini nawashauri mliozoea kula organics(kuku wa singida,dodoma nk) endeleeni.Kuku wao wana kashfa.
 
hao kuku ni watamu balaa!! japo ni expensive ila ni watamu mnoooooo! nairobi huwa tunapanga na foleni kabisaaaaaaaa! japo full ni 4 thou kshs, ila hiyo nyomi ni balaaa!! nitakuwa mteja wao haswaaaaaaa, welkam kfc in bongo!
wanatuongezea vitambi tu hakuna la zaidi
 
kuna watu wanapenda kujihashua humu kusema wenzao, wakati wao watakuwa wateja wakubwa, tena kwa hela za kukopwa!! acheni unafiki, cancer, obesity upo kila mahali, itakuwa KFC????
 
Utamu ni pickling spice au asili ya kuku? Eating places nyingi Nairobi hawatumi spices ni standard tomato sauce and salt for chips chicken. Dar make better chips and chicken hadi mitaani. Alternative to chips chicken vyakula vya mswahili at Malindi dishes Nairobi CBD, off Luthuli avenue. Food is good and prices fair. Frequent place since my student days.

Well said mkuu, niliingia kibahati mbaya hapo Malindi dishes, duh! Sikujutia yaani misosi yao poa sana hasa kwa sie waswahili asilia.
 
Its good for a change. Sio kila siku minyama choma tuuuuu! Sema kina dada watapata vitumbo sana!
 
..dah maskini kuku wangu ntamuuzia nani ! nimewaleta jana tu toka kimanzichana...
 
Me kwanza inankumbusha yale ma double shift niliyokua naya piga. Japo ilisaidia ila dah!!
 
Back
Top Bottom