The first KFC restaurant in Tanzania !

The first KFC restaurant in Tanzania !

Hapa chezeya Kuku wa KFC hawa jamaa ni noma sijui wanatumia utaalamu gani?
 
hao kuku ni watamu balaa!! japo ni expensive ila ni watamu mnoooooo! nairobi huwa tunapanga na foleni kabisaaaaaaaa! japo full ni 4 thou kshs, ila hiyo nyomi ni balaaa!! nitakuwa mteja wao haswaaaaaaa, welkam kfc in bongo!
Well noted
 
Back
Top Bottom