The first KFC restaurant in Tanzania !

The first KFC restaurant in Tanzania !

seriously!!! I gotta have some KFC!!! My kids will be super excited to have some maana kuna wimbo walijifunza shuleni.

A pizza hut, a pizza hut. Kentucky fried chicken and a pizza hut. Mcdonalds, macdonalds, kentucky fried chicken and a pizza hut!
 
Aisee bora na sie tuwe na hiyo kitu...

Tumechoka kuona kwa wengine tu bana...saafi sana
 
MNAMFAHAMU HUYU??!! ALIKUA ANAKULA VYAKULA VYA AINA YA KFC,MC DONALD,BURGER KING N.K. HEBU PATENI PICHA KWANZA KABLA YA KUKURUPUKA..
1502_Ronaldo_before_after_j.jpg
 
426027_419055258177385_1866095449_n.jpg

KFC Tanzania coming soon - Mikocheni, just opp Feza Nursery school.........

KFC, the world’s largest quick-service chicken restaurant chain with over 12,300 outlets in more than 80 countries..

Wamejitayarisha lakini? Wakumbuke ya Loliondo, si unajua kipya kinyemi hasa Bongo!
 
KFC kuku wao ni wazuri sana ila kwa ujumla vyakula vyao sio vizuri kwa afya yako kabisa ukipendelea kula KFC au burger king au macdonald lazima uwe mpna kama simtank so take care nenda subway na subway kula vile vyenye afya yale ma snacks achana nayo
 
Kazi ipo ... nyie vizieni kupata ma-obese, si watoto wa wakulima ngoja tuvizie ajira hapo ... usije kuta watoto wa vigogo mmeshajazwa, anyway, mjue na ku-smile-ia wateja sasa ....
 
hao kuku ni watamu balaa!! japo ni expensive ila ni watamu mnoooooo! nairobi huwa tunapanga na foleni kabisaaaaaaaa! japo full ni 4 thou kshs, ila hiyo nyomi ni balaaa!! nitakuwa mteja wao haswaaaaaaa, welkam kfc in bongo!

watamu kweli....wenzenu..wanalishwa nyama za farasi..ulaya..wakifikiri..ngombe...kumbe horsemeat.....na kama hawatachinja waislam basi..hatuli...lol
 
Expensive ???? Inategemea unaongelea wapi.., kuna sehemu wanauza family pack, kisadolin (ndoo ndogo) imejaa miguu ya kuku less than 25 thousand ya kibongo na hapo unapewa na free drinks (all in all this is junk food) na katika kuku watamu KFC hawawezi kumfikia Nandos.., na sauce yao ya Peri Peri na ukikuta baadhi ya outlets unapata na offer ya bottomless drink (unakunywa soda unavyotaka..),

Kwahiyo in short...
Best Burger (Burger King)
Best Chicken (Nandos)
Best Snacks (Gregs)
Best Sandwich (Subway)
Best Chips Mayai (Kitaa)
Best Menu /Safe Menu (Home made)
 
watamu kweli....wenzenu..wanalishwa nyama za farasi..ulaya..wakifikiri..ngombe...kumbe horsemeat.....na kama hawatachinja waislam basi..hatuli...lol

Hivi hujui kwamba nyama ya farasi inaliwa na baadhi ya sehemu ni more expensive kuliko hata beef.., (hapo tatizo watu hawakujua wanakula nini) ila nyama ya farasi inaliwa na imekuwa inaliwa since the beginning of time.
 
Haya acha waje kuwa ua na nyie....yeee go spicy chicken!
 
Haya acha waje kuwa ua na nyie....yeee go for spicy chicken!
 
Hahahaaa yesss! That's what's up!

I love America and everything American that it has to offer.

KFC is American...nani anabisha?

Huwa najiuliza sana...hivi bila Marekani hii dunia ya leo sijui ingekuwaje tu?

USA USA USA:usa2:
 
Lakini ngoja kwanza...kwa sisi wazawa wa DSM tunakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 90 kulikuwa na Chick King ambayo ilikuwa inauza kuku kama hao hao wa KFC.....

Nani anakumbuka? The Boss hebu njoo huku
 
Last edited by a moderator:
Naona tunashangilia magonjwa.

Kuleni wa kuchoma(kama wataweka hio option) sio wa kukaanga.

Nawatakia biashara yenye mafanikio na waongeze ajira kwa vijana.
 
Expensive ???? Inategemea unaongelea wapi.., kuna sehemu wanauza family pack, kisadolin (ndoo ndogo) imejaa miguu ya kuku less than 25 thousand ya kibongo na hapo unapewa na free drinks (all in all this is junk food) na katika kuku watamu KFC hawawezi kumfikia Nandos.., na sauce yao ya Peri Peri na ukikuta baadhi ya outlets unapata na offer ya bottomless drink (unakunywa soda unavyotaka..),

Kwahiyo in short...
Best Burger (Burger King)
Best Chicken (Nandos)
Best Snacks (Gregs)
Best Sandwich (Subway)
Best Chips Mayai (Kitaa)
Best Menu /Safe Menu (Home made)

Go east or west, NANDOS is the best for me..utamu hadi kisogoni na masosi yake, yummmy!!!
 
Agha ghaa! Kumbe ndo maana Subway-Dar wameanza kufanya agressive marketing campaigns kwa kununua Radio airtime na kutangaza kwenye billboards!

My sincere opion is; let consumers be conscious and take caution of their healthy delicacy. Hizi Franchise Food Businesses hazinachochote cha maana wanacholeta kwenye local menu/cuisine zaidi ya fat na kemikali!
 
Naona tunashangilia magonjwa.

Kuleni wa kuchoma(kama wataweka hio option) sio wa kukaanga.

Nawatakia biashara yenye mafanikio na waongeze ajira kwa vijana.

KFC introduced grilled chicken about 3 or 4 years ago.

Nakumbuka hadi Oprah akatoa offer siku moja ya kununulia kila mtu grilled chicken....hata wenu mtiifu nilienda kupanga mstari siku hiyo kupata hicho kipande cha kuku choma courtesy of Ms. Winfrey
 
Back
Top Bottom