ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Expensive ???? Inategemea unaongelea wapi.., kuna sehemu wanauza family pack, kisadolin (ndoo ndogo) imejaa miguu ya kuku less than 25 thousand ya kibongo na hapo unapewa na free drinks (all in all this is junk food) na katika kuku watamu KFC hawawezi kumfikia Nandos.., na sauce yao ya Peri Peri na ukikuta baadhi ya outlets unapata na offer ya bottomless drink (unakunywa soda unavyotaka..),
Kwahiyo in short...
Best Burger (Burger King)
Best Chicken (Nandos)
Best Snacks (Gregs)
Best Sandwich (Subway)
Best Chips Mayai (Kitaa)
Best Menu /Safe Menu (Home made)
Karibu KFC....tutegemee na McDonald nao kuja soon
Nakuona mtani ha ha ha,
Naona umewapa A nandos, hao wanakubalika kila kona ni watamu sana kuku wao. Lakini hawa KFC kuku wao ukimla moyo unaenda mbio utasema yale mafuta yameenda kuziba mishipa ya damu ghafla
hao kuku ni watamu balaa!! japo ni expensive ila ni watamu mnoooooo! nairobi huwa tunapanga na foleni kabisaaaaaaaa! japo full ni 4 thou kshs, ila hiyo nyomi ni balaaa!! nitakuwa mteja wao haswaaaaaaa, welkam kfc in bongo!
Na Nando's.........ila mimi kuning'oa kwa Khan itakuwa ngumu.......
Khan ndio mdosi gani tena??
Burger zao zimeandikwa kuwa not to be taken by childern less than 12 yrs
Sun wu...Nando si mchezo mi naweka mbali kisu na uma ni mikono tu!Expensive ???? Inategemea unaongelea wapi.., kuna sehemu wanauza family pack, kisadolin (ndoo ndogo) imejaa miguu ya kuku less than 25 thousand ya kibongo na hapo unapewa na free drinks (all in all this is junk food) na katika kuku watamu KFC hawawezi kumfikia Nandos.., na sauce yao ya Peri Peri na ukikuta baadhi ya outlets unapata na offer ya bottomless drink (unakunywa soda unavyotaka..),
Kwahiyo in short...
Best Burger (Burger King)
Best Chicken (Nandos)
Best Snacks (Gregs)
Best Sandwich (Subway)
Best Chips Mayai (Kitaa)
Best Menu /Safe Menu (Home made)
Naona tumesogezewa cancer na ugumba karibu sasa! Mi ngoja niendelee na matembele yangu na dagaa pamoja na ngisi banaa!
mimi nimekaa kgamboni now its 10yrs nisimjue tasi mimi kweli ,Unaye huyo ama umetaja jina tu..maana majina tu hata mi najua.