Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
Go east or west, NANDOS is the best for me..utamu hadi kisogoni na masosi yake, yummmy!!!
ndio hivyo tena starehe gharama...but let me say something,tuache ushamba kupapalikia mambo ya kimagharibi,haya mavyakula kiafya hayana mpango wala nini,wao wenyewe wanadiscourage ulaji wa mavyakula haya ndio maana kwenye nchi zao hayana market wanawaletea nyie na watu wa Asia!
Hivi hujui kwamba nyama ya farasi inaliwa na baadhi ya sehemu ni more expensive kuliko hata beef.., (hapo tatizo watu hawakujua wanakula nini) ila nyama ya farasi inaliwa na imekuwa inaliwa since the beginning of time.
Huyooo jiseme mwenyewe bana uliyezoea pweza wa kutoboa kwa toothpick..hahaha..kitu sh mia!!!!
ndio hapo watapo changanya na nguruwe...si inaliwa tangu begining of time....kwa nini wasichanganye? halafu hawasemi.kuwambia walaji sio ndo zao wazungu bwana?
KFC Tanzania coming soon - Mikocheni, just opp Feza Nursery school.........
KFC, the worlds largest quick-service chicken restaurant chain with over 12,300 outlets in more than 80 countries..
KFC introduced grilled chicken about 3 or 4 years ago.
Nakumbuka hadi Oprah akatoa offer siku moja ya kununulia kila mtu grilled chicken....hata wenu mtiifu nilienda kupanga mstari siku hiyo kupata
hicho kipande cha kuku choma courtesy of Ms. Winfrey
Unaenda mbali sana Nyani,hata steers wapo and they are doing almost the same,sema tatizo hapa ni marekani labda!Lakini ngoja kwanza...kwa sisi wazawa wa DSM tunakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 90 kulikuwa na Chick King ambayo ilikuwa inauza kuku kama hao hao wa KFC.....
Nani anakumbuka? The Boss hebu njoo huku
hao kuku ni watamu balaa!! japo ni expensive ila ni watamu mnoooooo! nairobi huwa tunapanga na foleni kabisaaaaaaaa! japo full ni 4 thou kshs, ila hiyo nyomi ni balaaa!! nitakuwa mteja wao haswaaaaaaa, welkam kfc in bongo!
Tatizo bei ila ni wazuri sana hawa Kentucky
this is what i was waiting for damn it....jucy chickens ...hahahahahaaha yammy yammy
Lakini ngoja kwanza...kwa sisi wazawa wa DSM tunakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 90 kulikuwa na Chick King ambayo ilikuwa inauza kuku kama hao hao wa KFC.....
Nani anakumbuka? The Boss hebu njoo huku
Mambo yote tisa kumi Popeyes chicken, kentucky na spicy chicken wapi na wapi?
Haasa mimi hizi mbili ndo huwa nazipenda.
Chick Filla?
Karibu KFC....tutegemee na McDonald nao kuja soon
unamjua samaki anaitwa tasi wewe utaweza fananisha na hii makuku weye