The Finest, Afrodenzi, Asprin, AshaDii, Mbu, MwanajamiiOne, Lizzy, Teamo

Nilion mada ya mwanajamii juzjuz alikuwa anajitahidi kumjibu kila mtu anaechangia nahisi hiyo pia inakufanya ujisikie kupost na kupost, sasa wengine wakipost naona hadi page ya pili mwenye thread haonekani, waiii ya nn sasa

Hiyo ina ukweli kabisa ndani yake!
Mfano kuna thread inaendelea ya kaBEBII kutukanwa na mwana MMU mwenzake, watu wamechangia karibia sasa ni post 106 lakini kenyewe hakajibu hata tone moja unategemea nini?? Watu wamejaribu kumbembeleza kwa kila namna asiondoke JF ''kenyewe'' kamekaaa kimya tu, ya nini sasa kuendelea kukabembeleza ......mburaaaaa!!
 
Mambo yanayochangia kupata popularity JF!

1. Mvuto wa jina unalotumia e.g Afrodenzi, Teamo, The Finest etc
2. Avatar unayotumia e.g. Asprin
3. Content ya mabandiko yako, ubora wa post zako e.g. Mzee Mwanakijiji.
4. Ushiriki wako kwenye kujibu thread za wengine.
5. "Networking" kuna watu humu wameshakuwa kama ndugu na wanafahamiana hata nje ya mtandandao, kwa mfano wana JF wa Arusha etc.
6. Pia tukubali kuwa kuna watu wamezaliwa na bahati ya kupendwa; hata kama hujawahi kumuona Afrodenzi, utampenda tu, ana hicho kismati! th! th! th!
 
Ngoja kwanza! Ni hivi hawa watu wana mvuto, wanapenda marafiki na wanajua taratibu za jamvi hili ni wastaarabu hata kama umewakera na siyo hao tu wapo na wengine wengi na ziada sana hawaiachi Thread hewani anakuwepo kuwajibu watu na kuchart nao kwa upendo wanaelimisha bila kumhukumu mtember mwingine.
 
Saas Join Date : 21st August 2011
Posts : 32

Rep Power : 0

...khaaa? yaani wewe umejiunga mwezi jana tu tayari "ushatuhukumu?"
usijali bana, si unaona nawe ushazoeleka sasa...ushachangiwa post 32...

karibu sana jamiiforums.


 
Saas Join Date : 21st August 2011
Posts : 32

Rep Power : 0

...khaaa? yaani wewe umejiunga leo leo tayari "ushatuhukumu?"
usijali bana, si unaona nawe ushazoeleka sasa...ushachangiwa post 32...

karibu sana jamiiforums.



Mkuu upo
Mambo vipi
Aise leo sijakuona ulitafutwa sana uchangie siredi ya AD
 
Mkuu upo
Mambo vipi
Aise leo sijakuona ulitafutwa sana uchangie siredi ya AD

...really? ngoja niitafute....ya AD = afrodenzi si ndio?
si unajua tena hizi kazi zetu za kuubembelezea mkono uende kinywani?

...will chk now...
 
Ndo vichwa vya MMU hao, ndo maana huwalazimu kukuna sana vichwa ili Jukwaa liendelee kuwa hai....
Asilimia kubwa ya GT Wengine huja hapa pindi wanapofikwa na jambo na wanahitaji ushauri/mawazo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom