- Thread starter
- #81
Kwa nini watanzania tunakuwa wavivu wa kufikiri kiasi hiki? Kama walivyotangulia kusema wengine kama unataka ukweli wa Kakobe si uende kanisani kwake?umeshaambiwa nenda kanisani kwake Jumapili saa nane wakati wa ibada ukaangalie kama yupo au la, kanisa liko wazi kila jumapili nenda kaangalie kwa macho yako kwa nini usiende kutafiti mwenyewe halafu ndio uje kubwa bwaja huku mtandaoni baada ya kudakia habari za mitaani za watu ambao hawajawahi hata kukanyaga pale kanisani wakati liko hapo Mwenge tu?
Asante ndugu yangu kwa kunisaidia kuwaambie maana wengine wanashabikia uongo na uzushi kama mazuzu, yaani we acha tu wanakera kwelikweli.