Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Hawa vijana ni wakusamehe maana hawajui walitendalo wala walisemalo, hawajui kama ulimi uanaumba, unaweza kuharibu pia wasamehe!!! Vijana wanatakiwa kumtafuta Mungu ili kuweka maisha yako kwa Bwn Yesu!!Kweli ndugu yangu, Mungu amsamehe maana anakejeli kazi ya yule mwenye roho yake mkononi mwake na anaweza kuamua kwamba maisha yako yakomee hapa na ikawa hivyo