Iwapo Diego Katika Michezo 10 anafunga Magoli 7 na assists 5 na Mwenziwe Moratta Kwenye Michezo 20 anafunga goli 7 na Assist 1 Je Hapo Red Card ya Dieogo inashida Gani?
 
Iwapo Diego Katika Michezo 10 anafunga Magoli 7 na assists 5 na Mwenziwe Moratta Kwenye Michezo 20 anafunga goli 7 na Assist 1 Je Hapo Red Card ya Dieogo inashida Gani?

Stats zako haziko sawa
20 appearance 6 redcards
Ikitokea golini =goal
Pia one player less
Shida ya Morata sio ya kwake peke yake
Center forward kama Fab wa 2014 hayuko Chelsea kwa sasa
Wakati costa yeye alifaidi good form ya Fab 2014
 
The new John Terry at Bridge - Just at the age of 21 he is doing wonders.

andreas-christensen-sport_-preview.jpg

73200208e81d4a0ba77e6b360f02c3ee.jpg

john-terry-chelsea-football-contract_3468970.jpg
 
Stats zako haziko sawa
20 appearance 6 redcards
Ikitokea golini =goal
Pia one player less
Shida ya Morata sio ya kwake peke yake
Center forward kama Fab wa 2014 hayuko Chelsea kwa sasa
Wakati costa yeye alifaidi good form ya Fab 2014

Mimi nimeongea Probability, wewe umeongea Impossibility..!

Juu ya utukutu wake lakini ni Impossible Kupewa 6 red Cards in 20 games.

Juu ya utukutu wake ni possible kufunga goli 7 in 10 games.

Diego Costa Yupo Chelsea Kabla Ya Fab na Aliscore Vizuri tu.

[HASHTAG]#CostaSiMoratta[/HASHTAG]
 
Hivi antonio conte hajui kama tunahitaji striker kwenye huu usajili?
Ye anahangaika na mabeki tu
Kweli mkuu ujue hata mimi najiuliza sipati majibu unajua timu yetu kwa sasa ipo vizuri hapa kati na nyuma lakini ukiangalia pale mbele kwakweli tunafeli sana maana hata ukiangalia kwenye msimamo ktk zile timu 4 za juu timu yetu imeruhusu magoli machache sana na hii inadhihirisha devence yetu ipo vizuri na pia tumeshinda magoli machache tofauti na wenzetu na hii inaonyesha ubovu ktk safu yetu ya ushambuliaji nadhani kocha kama kocha akae na menejment waangalie namna ya kusajili walau hata washambuliaji wawili ili kuleta changamoto pale mbele na nadhani ata huyu andy carrol angeweza kutusaidia kwa sasa huku tukifanya mipango kwa ajili ya dirisha kubwa..
 
Na Ndiyo Kwanza Wanamtaka Andy Carroll
yaan kuna kituko cha karne kinataka kutokea ....naona kama kuna ujinga unataka kufanywa yaani wauze Batshway aka batman kwenda Dortmund baada ya Dortmund kama itamuuza Pierre Emerick-Aubameyang kwenda Arsenal endapo Sanchez atamalizana na man u alafu chelsea imchukue Andy Carroll....

Hizi taarifa mkuu lyon mi naomba ziendelee kuwa tetesi na sio halisi
Karol sio daraja la chelsea
Nenda kwenye team yoyote chukua mshambuliaji lakini sio karol
Najiuliza hii ni akili ya conte au ni vipi
Watumie pesa yupo belote wa torino
 
Hawa watoto leo hawatakiwi kufika second half hatujawafunga goli mbili aisee...
 
Fit to play kwa defence leo ni: Luiz, Rudiger, Ampadu na Azpilicueta. Hapo sina shida na atakayepangwa.

Pamoja na kwamba tunahitaji ushindi bado natamani Kenedy na Musonda wacheze. Willian na Pedro nao wasikosekane.
 
Hizi taarifa mkuu lyon mi naomba ziendelee kuwa tetesi na sio halisi
Karol sio daraja la chelsea
Nenda kwenye team yoyote chukua mshambuliaji lakini sio karol
Najiuliza hii ni akili ya conte au ni vipi
Watumie pesa yupo belote wa torino
Mkuu kwani Conte anahusika na usajiri?
 
Back
Top Bottom