The boss, nimekudondokea!

Status
Not open for further replies.
From day one hiyo Avatar yako ilinikonga plus tofauti za wavulana na wanaume ikamalizia kabisa.
Jiandae nimeamua kuleta posa, sitaki michango ntagharimia kila kitu.

Ya nini nife na kijiba cha roho wakati Beijing wameturuhusu kusema hisia zetu.
Duuh, haya bana!
 
Miye simo Boss! Inatokea mara chache sana bahati ya mtende kama hii ya kudondokewa hadharani....nimeisubiri maish yanfu yooote hata siku moja sijawahi pewa
 
honestly sikuwahi kuhisi wewe ni mdada
but i am humbled ......karibu jf......
HII NI JF MKUU,......UNAUHAKIKA GANI KUWA NI MWANAMKE???? ANAWEZA KUWA NI SHOGA,VUTA SUBIRA UONE kama UMELAMBA DUME AU ....
Samahani mhusika mkuu(BIBIE ???) kama nakukwaza.
 
honestly sikuwahi kuhisi wewe ni mdada
but i am humbled ......karibu jf......
Siyo mdada huyo................ hawa watu wanatakiwa kutendewa haki ndiyo maana mpaka Uingereza inatishia kusitisha misaada yake iwapo hawa watu hatutataka kuwatambua katika jamii zetu.
 
Mgogoro wa madeni wa Ugiriki umechakachua euro, haifaaai, thamani yake kama Benki Kuu ya Ulaya yupo Mkulo!

Ha ha,! naona hata Mkulo wa (euro) bado analegalega mpaka wanaamua kukopa China
 
Ushauri kwa Kongosho, wakati taratibu zingine zikiendelea naomba uanze na kubadilisha jina unalotumia...limekaa ki-ume zaidi..
 
From day one hiyo Avatar yako ilinikonga plus tofauti za wavulana na wanaume ikamalizia kabisa.
Jiandae nimeamua kuleta posa, sitaki michango ntagharimia kila kitu.

Ya nini nife na kijiba cha roho wakati Beijing wameturuhusu kusema hisia zetu.
Hapa nimejifunza kitu kuhusu nyie wa ubavu wetu,...yaani hata avatar zinawamaliza,...mmmmh!..tell me you are kidding.
 
Hongera The boss,Tafadhali msisahau kutu pm hizo card mapema,hakika wanawake tunaweza lol!
 
Ushauri kwa Kongosho, wakati taratibu zingine zikiendelea naomba uanze na kubadilisha jina unalotumia...limekaa ki-ume zaidi..
Usijali, thats my real personality, akili ya kiume kwenye utafutaji, mwili na sura ya kike. Am real, unadhani kudondoka hadharani kazi ndogo hadi uwe unajiamini kiume?! Sikujua hata kama ni jina linasound kiume, anyway what matters ni inside me.
 
@IGWE, hivi unadhani tunawapendea mambo makubwa yapi? Ingekuwa tunapenda moni, Bill Gate wangetiririka kama siafu, kama ni Invention, Isaac Newton wangejaa Jupiter, jamani ni vitu vidogo vidogo sana, Avatar, Threads, comments zinaelezea personality ya mhusika.
Am not kidding. It was love at second sight, teh teh, true though.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…