The Boss: "King Of MMU - 2011"

Hongera mkuu.....
Hakika wastahili ushindi ulioupata.
Nakutakia kila la kheri...........

NOTE: Dont Drink and Drive
Najua leo utadevela mpaka kuchele.............................LOL
 
.... :first:

The Boss :hat: ...hongera mtani....wembe huo huo mpaka kieleweke 2012....
pamoja kama kawaida

Mbu, Mbu pole sana lakini mimi ninakukubali jaribu next time,
Hongera mkuu The Boss

...lol, ana kihirizi huyu...halafu josho alokogeshewa mie nililikimbia kwa ubaridi wake
japo maji yalikuwa yamenukizwa asumini na mawaridi...

:poa
 
Hongera kwa mfalme Boss. Kiukweli hapa nlitatizika kupiga kura. Japo umeshinda ila kiukweli Mbu ni mashine nyingine hatari. Tafazali umpe kagawio kiduchu lol
 
uichunie yangu una jeuri??
Mie saa hivi mikono iko kwenye mifuko ya ODM, nazihesabia humo humo.

Bia utalipiwa na nani??
Tena usiniudhi, utaenda botswana kwa miguu

Mimi ningepata hiki cheo leo jeuri yangu ningechagua PM za kujibu, halaf PM yako ukikosea spelling tu naichunia. Kulaleki
 
Hongera kwa mfalme Boss. Kiukweli hapa nlitatizika kupiga kura. Japo umeshinda ila kiukweli Mbu ni mashine nyingine hatari. Tafazali umpe kagawio kiduchu lol

....hahaha, ...am humbled mkuu...sasa vipi yule mjukuu, si waona ninavyoshusha mistari ya
copy & paste?.... Au ndio niendelee kukusoma "forget the bite i sing for you?"
 
Back
Top Bottom