The Boss: "King Of MMU - 2011"

Lizzy!!!!!!!

Mbu. . Nilikua nimepanga kukupongeza na wewe ila nikasahau, sijui ni haraka. . . !!!?

Nwy hongera MBU kwakua na wewe unastahili sana kuwa mfalme wa hili jukwaa. . .sijawahi kukosa la kujifunza kwenye post na thread zako. Ufalme unakufaa. . Na ufalme umeukwaa!!

Hongera sana wewe na Boss wako hapo juu. . .Lolz.
 
....missed you!!!! Ulifichwa? ....welcome back!!!!!
 
Hivi Michelle yuko wapi jamani!
Wageni watapokelewa na nani, maana hii sherehe ya bila hata kadi kazi kweli kweli.

Na vile vipwa(jakline na neema) sijui viko wapi vimenye hata vitunguu swaumu.

Hongera The Boss!
Angalizo: kalipe zile 20, 000 za ADI, unaaibisha bana.

pilau lishaiva muda mrefu
 
It feels good to be missed. . .missed you too.

Hehehehehe nifichwe kwani siwezi kujificha?

...mnnnnhh, ile gear uliyoondokea...nilijua "ndege mjanja kanaswa!"....he he he...
missed you kweli bana, welcome back 'kundini!'
 
Hahahahahaha ile ya "I think I love you". . . ?! Ngoja kwenye sherehe za kunirudisha kundini ntakuja na "Ahhhh. . .It was just a crush!!" . . .lolzzz

Sema kurudi bado bado bana. . .Hapa nimebeep. . Kupiga bado muda kidogo.
 
Hahahah. . .Lawyer unataka wale walioniahidi vigari na vinyumba wa-Cancel offer? Embu tulia bana!!
hehehe BTW hongera sana queen wangu (wewe sio queen wa mmu nzima bana), usinisahau kwenye ka mgao ka elfu hamsini angalau na mimi nipate ka hela ka kununua boxer jipya rangi ya udongo.
 
That's more like it. . Sio unaanzisha varangati wakati kodi inakaribia kuisha.Lolz

Hehehehehe sasa weweeeee (Mfalme wangu) unataka ya udongo udongo wakati udongo wa kwetu mweusi? Ntakununulia nyeusi bana.
 
Halaf unajua nimekumiss sana, kuna taim nilikuwa naquote posts za MJ1 halaf namwita Lizzy kwa kukumiss. Kupenda marazi jamani
 
Hhhmm huna lolote.
Kwanini sasa hukuniandikia barua wakati S.L.P langu unalo?
Nilihofia dingi asije akaifuma halaf pakalipuka. Halaf kuna sredi nikaona umelilembea maksudi kwa rais wa wabeba maboksi nikajua mimi ndio nimemwagwa tu. Inauma sana aisee
 
Hahahaaha. . .Ipi hiyo?
Sikutaja jina bana. . .au mliambizana kwa S.L.P? !

Siku nyingine tuma. . .Akiniuliza ntansingizia dada yangu!!
 
Back
Top Bottom