The Bold Bulletins

The Bold Bulletins

The Bold Habibu B. Anga ,
Mapinduzi ya viwanda zama hizi The fourth Industrial revolution The Fourth Industrial Revolution, by Klaus Schwab ilivyotumika ktk kuongeza kutengeneza utajiri umeielezea vizuri sana kwa mifano inayowagusa wengi ktk maisha yao .

Zama za v-wonder kupitia industrial revolution ya vyerehani wasome makala kama hizi ikiwa wanataka mapinduzi ya kasi kubwa ktk kutengeneza utajiri na ajira kwa kuunganisha shughuli zao na teknolojia ya juu ya habari na mawasiliano (ICT) new technologies of artificial intelligence, robotics, the internet of things, autonomous vehicles, 3D printing, the blockchain, biotechnology and so on.
 
Wapo watakao kuamini na wapo watakao sema unamuonea wivu.....
Anyways........
Uzoefu unaonyesha kwamba hawa wenye ma-group huwa hawapendi kukosolewa na hata kuna mmoja yule wa Milion Team pia alikua akituhumiwa humu kwa kuwa remove wale wote waliokua wakimkosoa.
Lakini kwa upande mmoja ama mwingine inawezekana ikawa ni wivu wa hasa vijana wasio penda kuona wenye rika Lao wakiwapita kwa mafanikio.
Anyway.......
Huu ni mtazamo wangu binafsi, na hasa umetokana na malalamiko kadhaa ambayo yamekuwa yakiwekwa humu jf kuwahusisha wahusika, wateja na wahanga.
Niwaonee wivu kwa lipi hasa? Kati yao sijaona aiseee. Anayefikili yupo vizuri kati yao hao jamaa anitafute PM kesho tuone ATM zinasomaje kati yangu na wao. Wala siyo wivu ni ushauri tu.
 
Wapo watakao kuamini na wapo watakao sema unamuonea wivu.....
Anyways........
Uzoefu unaonyesha kwamba hawa wenye ma-group huwa hawapendi kukosolewa na hata kuna mmoja yule wa Milion Team pia alikua akituhumiwa humu kwa kuwa remove wale wote waliokua wakimkosoa.
Lakini kwa upande mmoja ama mwingine inawezekana ikawa ni wivu wa hasa vijana wasio penda kuona wenye rika Lao wakiwapita kwa mafanikio.
Anyway.......
Huu ni mtazamo wangu binafsi, na hasa umetokana na malalamiko kadhaa ambayo yamekuwa yakiwekwa humu jf kuwahusisha wahusika, wateja na wahanga.

Dogo wa millions team sio wivu mbona ushahidi wote uliletwa hapa
 
Wenzetu wanapambana jinsi ya kutawala hata mawazo yetu,wenyewe tupo bussy tukibishana "watoto wanywe uji shuleni au wasinywe"na bado kila mtu na kauli yake.Huko tutawakuta tu miaka hiyoooo sasa hivi bado tunagombania bakuli za uji wa shule na tumichango twa tuisheni ya ticha rama.Waambie watangulie sie tunapambana kwanza na adui mpya wa taifa letu mange k japo wale wa awali wametufikisha hapa.R.I.P. Kingunge mwambie mwalimu wale majangili watatu na mdogo wao rushwa (siku hizi kakua anaitwa ufisadi)bado wapo sana tu na sasa ameongezeka watano huyu ni binti tanganyika ametugeuka anafunua visivyofunulika wallah .
 
Unatakiwa kuwa na imani na Mungu wako pekee. Sihitaji uwe na imani na mimi...
Nahitaji usome nilichoandika basi!! Na mpaka umecomment hapa maana yake umesoma na roho yangu imeridhika...

Karibu.
Mkuu, watu wenye IQ ndogo km hawa Ungekuwa unawapotezea tu, kujibizana nao ni km kuwapa kichwa, endelea kutupa elimu adhimu mkuu!
 
Na kila thread ya bold yupo hahahaha

Hapa chini ya jua... mwanadamu dhaifu zaidi na mwenye kutia huruma ni yule aliyejawa chuki na wivu.

Unawaangalia and you just feel sorry for them.
kwani the bold huyo jamaa kakosea wapi, najua hujatoa kichwani broo kunasehemu umetoa ili nasisi tunufaike! mimi nimmoja wapo kati ya watu wanaopenda story zako bt najua you get it from somewhere! najua wewe ni mtu wa mitandao na unaipata vizuri Qura.com mbona wenzetu hadi picha watasema ni kwa hisani ya Google na hawajapungukiwa kitu kaka! peace.
 
Wakati wa kuanza wengi watakupa moyo.Ila ukifanikiwa wanakugeuka na maneno juu.Waswahili ni viumbe wa kutowaamini kabisa

Wana wivu mpaka wanakera.Hawataki kumpa jamaa heshima anayostahili,mara anatafsiri mara plajializimu.Wivu mtupu!

Kuna watu wana wivu humu ndani....
Vipi mkuu unavizia Usekretari wa pale Jangid Plaza kama Binti Cheupe ?.…....Maana sio kwa kuhangaika huko kujikomba kwa mwanaume mwenzako
Watu wamwonee wivu wa nini ? Acheni mawazo ya kiboya
Mtu kukosolewa humu Jf Ni kawaida tu
 
Back
Top Bottom