Is it a crime?Plagiarism as usual
Yes it is.Is it a crime?
The Trade of the Century: When George Soros Broke the British Pound ; halafu yeye katafsiri na kuiweka hapa kama ilivyo bila kutoa credit kwa source au mwandishi aliyem-copy kazi yake; BLACK WEDNESDAY: Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na Yaliyo Nyuma ya PaziaUlitakiwa uiweke ili watu waione na waisome. Kuna articles nying zinazoelezea forex. Ww una maanisha ipi?
Umenikumbusha somo la communication skills enzi nipo chuo...Plagiarism as usual
Nadhani kuna haja ya wewe kutuambia kama huko kwenye group mmelazimishwa kuwepo!The bold Nadhani hatuna haja ya kulipia Kule au kama IPO tuambie why maana Kule hela huku bure
Habari yako mkweNadhani kuna haja ya wewe kutuambia kama huko kwenye group mmelazimishwa kuwepo!
Kama unaona huku panafaa, toka kwenye group. Kama hapafai endelea kuwepo na usilalamike!

Habari yako mkwe![]()
Anacheka cheka kama choko fulani hiviSamahan mkuu HV wewe ni mwanaume,mvulana au msichana??
Imeniuma!!!! nilikuwa wapi aisee,nikisema hii kashfa naweza ipata wapi?nipate mawili matatu taonekana mnafikiaiseee
Masuala mengine muwe mnaacha yapite tu aggghhrr sioni umuhimu wa wewe kutia wino wako hapo,mnatupa tabu nakutulia unit zetu tunaopenda kusoma kila comment tukiamini kuna fact ndani yake....Kwahiyo hii stori katunga kwakweli kazi ipo Sijui kama maisha yako na ukoo wenu mtakua na akili
Masuala mengine muwe mnaacha yapite tu aggghhrr sioni umuhimu wa wewe kutia wino wako hapo,mnatupa tabu nakutulia unit zetu tunaopenda kusoma kila comment tukiamini kuna fact ndani yake....
Plagiarism as usual
What a superb replyUnatakiwa kuwa na imani na Mungu wako pekee. Sihitaji uwe na imani na mimi...
Nahitaji usome nilichoandika basi!! Na mpaka umecomment hapa maana yake umesoma na roho yangu imeridhika...
Karibu.