Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,780
- 13,684
Hivi ni kweli sioMkuu tangu ile kashfa ya wewe kuhongwa pesa na ONTARIO ili uipaishe forex nimekuwa sina imani na wewe.
Hivi ni kweli sioMkuu tangu ile kashfa ya wewe kuhongwa pesa na ONTARIO ili uipaishe forex nimekuwa sina imani na wewe.
Unatakiwa kuwa na imani na Mungu wako pekee. Sihitaji uwe na imani na mimi...Mkuu tangu ile kashfa ya wewe kuhongwa pesa na ONTARIO ili uipaishe forex nimekuwa sina imani na wewe.
acha roho ya uwivu wewe.. mandishi yako wewe yakwapi bora huyo "the bold" ata kama aoneshi quotation yoyote ila taarifa mbalimbali tunapata...Plagiarism as usual
hahaaa Vyuma vimekaza naona mvuvi karudi tena kuwavua samaki wake ..na kwa mtego wa hizi nyavu ..lazima tuwavue dadeqAsante japokua nilishasoma kwenye group lako ambalo watu wanalipia kiingilio Tsh 5000 na unaweka story tatu kwa mwezi mzima na buku tano inaishia hapo na bado vipolo kibao. Ukiambiwa unakua mkali na unakimbilia ku remove watu wanaokweleza ukweli. Plz Jirekebishe.
Cc: Habibu B. Anga.
Plagiarism as usual
Ze Buroka Na Opochuniti!!!Asante japokua nilishasoma kwenye group lako ambalo watu wanalipia kiingilio Tsh 5000 na unaweka story tatu kwa mwezi mzima na buku tano inaishia hapo na bado vipolo kibao. Ukiambiwa unakua mkali na unakimbilia ku remove watu wanaokweleza ukweli. Plz Jirekebishe.
Cc: Habibu B. Anga.
Asante japokua nilishasoma kwenye group lako ambalo watu wanalipia kiingilio Tsh 5000 na unaweka story tatu kwa mwezi mzima na buku tano inaishia hapo na bado vipolo kibao. Ukiambiwa unakua mkali na unakimbilia ku remove watu wanaokweleza ukweli. Plz Jirekebishe.
Cc: Habibu B. Anga.
Dah ,mkono wa kushoto kwa juu kidogo katikati nimeiona server yetu I mean ya JF,mtu akipigwa ban fasta inatunza taarifa.
Pamoja mkuu Habib TB ,kwa uzi maridhawa





Kuna watu wana wivu humu ndani....
Kuna watu wana wivu humu ndani....
"Wajinga Ndio Waliwao" - Wahenga.hahaaa Vyuma vimekaza naona mvuvi karudi tena kuwavua samaki wake ..na kwa mtego wa hizi nyavu ..lazima tuwavue dadeq
Ahhha hhhaa ya mshana yataunguza server yale aahha haaHata Data za mshana JR zinaweza kaa humo maana mambo yake ya uchawi yanaweza kaa kwenye saver kweli![]()
you said all broo"Wajinga Ndio Waliwao" - Wahenga.
NOTED ..wahenga walikuwaga na akili nyingi mno hao watu .."Wajinga Ndio Waliwao" - Wahenga.
Wana wivu mpaka wanakera.Hawataki kumpa jamaa heshima anayostahili,mara anatafsiri mara plajializimu.Wivu mtupu!Wengi wao wana umri zaid ya The bold na kawapita kimaisha wanapaniki mbaya.